mweh! nimeshindwa kula..
wanashindwa kumlipa mtu kila siku tsh 10.000 asafishe?ningekuwa mmiliki nafukuza wote madirectorMKuu lile ndo eneo la mashalo -B wa Bongo sijui wanakulaje pale samaki katika hali hii!! Hakika Bongoz mambo uvumilivu, mtu unaumia kwa hela yako. Pale Samakisamaki kuna menyu moja ya fish inafika mpaka 65,000Tshs. lakini kuboresha mazingira pale ni zero!!.
Asante lwa taarifa