Choo Cha Milioni 29 Shule ya Msingi Twiga Kinondoni

Choo Cha Milioni 29 Shule ya Msingi Twiga Kinondoni

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,434
Reaction score
10,970
Hivi huko hakuna Viongozi?

Wapuuzi wachache Kama hao ndio wanafanya Chadomo ipate kiki za kijinga na kuichafua Serikali 👇

Screenshot_20230108-182235.png


=====

"Hiki choo cha Shule ya Msingi Twiga, Mtaa wa Kisanga, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam, kimejengwa kwa gharama ya mil 29. CCM kwa UPIGAJI ni kila kona hata kwenye miradi midogo," Patrick John Assenga
Fl49eEoXwAAHX7f
 
Unashangaa choo cha milioni 29. Alafu kila siku unasifu chama cha majambazi .ofisi ya takukuru bilioni 5.ukiangalia inafanana ya kwenu
 
Waziri mkuu Majaliwe ndio hutumwa kukemea ubadhilifu vibanda kama hivyo. Mualikeni!
Kwani Mwenge haukupita huko?
 
Back
Top Bottom