Kumbuka serikali inakopa hailipi cash,na 18% VATMfumo wa manunuzi serikalini ni Upumbavu uliokubuhu.
Spare ya gari inaninuliwa zaidi ya mara 3 ya bei ya dukani

Kwani imeanza Kupigwa kila Kona awamu ya 6?Tukiongea tunaishia kuambiwa Sukuma Gang,
Wakati nchi inapigwa kila kona kuanzia Magogoni mpaka Namanga.