Choo cha kukalia sio issue, vingi vinakua havijakamilika.
Vyoo vya kukalia vilivyo kamilika lazima ukuta tissue na dawa ya kusafishia (sanitizer)
Kwa hiyo kwa mtu mstaraabu atafuta sehemu ya kukalia na sawa akitumia tissue kabla na baada ya kukate magogo yake.
Tatizo watanzania sio wastaraabu
Unakuta jitu kinamwaga mikojo juu na linaacha hivohivo bila kufuta linaondoka wakati kuna tissue na dawa opo pembeni yake.
Mwingine unakut anakaa tuu juu bila kufuta sehemu ya kukalia wakati tissue zipo na dawa zipo.
Hii ji kwa ofisi ambazo zinajali afya za wateja na wafanyakazi.
Vyoo vya kuchuchumaa ni vizuri kwa afya pia
Mfano watoto ni vyema ukawawekea vyoo vya kuchuchumaa kwa sababu ile kitu inatika yote tena kama risasi.
Na pia vinapunguza maabukizi.
Lazima tukubali haya mambo yanahitaji kozi ya kujifunza.
Hata ukiweka kwa ajili ya baba na mama pekee kama bado mnaakili za vijijini bado ni tatizo na utakua ndio ugonvi wenu kila siku.
Mnaoana mmoja katoka sengerema mwingine nyanshozi kila mkoja ana ustaraabu wake.
Moja ya eneo ambalo najifunza hata kwa video za you tube ji usafi katika maeneo mbalimbali yanayo nizunguka.
Sent using
Jamii Forums mobile app