Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

Na maji kuruka ukiangusha msunari, ndio maana kuna toilet paper, we weka tp yako ndani ya choo kabla ya kuachia mzigo itazuia maji kukurukia, yani vyoo mkao ni if wewe ni msafi nyumbani kwako ila cha kuchuchumaa hata mchafu poa tu, ila ukiwa public place ukakuta choo mkao hapo naelewa wamezingua mi mwenyewe sitajisaidia hapo, eti imagine udondoshe mjengo wa maana af ndan choo cha kuchutama, au ungekuta kwny ndege una choo mchutamo iyo ingekua ndege au ngorika
 
Hii mada imenichekesha sana ila kiukweli hivi vyoo vya kukaa vinaboa sana tu,

Mm huwaga naweka tissues ndo nikae tena kukaa yenyewe ndo ile style ya kucheza rede upande upande, ukiachia unaruka usipokua na machejo maji yanakurukia hatar



Sent using Jamii Forums mobile app
Unatanguliza tissue kama hivyo tissue zingine unatupia pale kwenye maji ,unaweka mambo yako juu ya tissue unaflsh mchezo umeisha ,japo si vizuri sana hivi vyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vyoo vipo kwenue jengo letu jipya la ofisi aise ...huwa ni maajabu sana ......ukienda toilet unaweza ukajikuta shida zako zimekata ....fangasi ni kugusa kabisa

Sent using i phone x
 
Mi huwa na wasiwasi kwamba makalio yaliyonitangulia yalikuwa na vidonda? Majipu? Halafu ukifyatua mzigo maji ya chooni yanaruka juu mpaka kwenye kifyatulio. Mi huwa nasimama juu kwenye round na kuchuchumaa ili kukwepa mauzauza.
Ahaaaaasaaaasssss nimecheka hoi
 
Choo cha kukalia sio issue, vingi vinakua havijakamilika.

Vyoo vya kukalia vilivyo kamilika lazima ukuta tissue na dawa ya kusafishia (sanitizer)

Kwa hiyo kwa mtu mstaraabu atafuta sehemu ya kukalia na sawa akitumia tissue kabla na baada ya kukate magogo yake.


Tatizo watanzania sio wastaraabu

Unakuta jitu kinamwaga mikojo juu na linaacha hivohivo bila kufuta linaondoka wakati kuna tissue na dawa opo pembeni yake.


Mwingine unakut anakaa tuu juu bila kufuta sehemu ya kukalia wakati tissue zipo na dawa zipo.


Hii ji kwa ofisi ambazo zinajali afya za wateja na wafanyakazi.

Vyoo vya kuchuchumaa ni vizuri kwa afya pia


Mfano watoto ni vyema ukawawekea vyoo vya kuchuchumaa kwa sababu ile kitu inatika yote tena kama risasi.

Na pia vinapunguza maabukizi.


Lazima tukubali haya mambo yanahitaji kozi ya kujifunza.

Hata ukiweka kwa ajili ya baba na mama pekee kama bado mnaakili za vijijini bado ni tatizo na utakua ndio ugonvi wenu kila siku.

Mnaoana mmoja katoka sengerema mwingine nyanshozi kila mkoja ana ustaraabu wake.

Moja ya eneo ambalo najifunza hata kwa video za you tube ji usafi katika maeneo mbalimbali yanayo nizunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom