thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
- Thread starter
- #101
Huyu mwisho mitano ,wakilazimisha naenda msituni kupasua mbaoJpm aliwajali sana wasomi nchi hii,ndo Mana KWA wakati wake maproffesor,madr na wengi walosoma walipewa vitengo vya kuendesha.
Mama KWA Sasa anaenda na wapiga dili,ndo Mana hata watu ambao Wana ukakasi wa vyeti feki wanarudishwa kisa tu ni watoto wengi wa makada ambao yeye anataka wamuunge mkono,nchi KWA Sasa haipo ktk mikono salama kabisa.Tumuombee tu Ili walau astuke