Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Vyoo na masinki kwenye vijiji cha wanamichezo huko Delhi
kama kweli kuna watu wana National Interest in their heart sidhani kama watathubutu kutaka kupeleka timu yetu ya TAIFA kwenye jahanamu inayowasubiri kule India.
Pamoja na mapungufu yetu lakini hawa Indians wameweka rekodi...lakini why should we worry sana wakati mtaa wa ZANAKI mjini wananunua vyakula ambavyo vimewekwa chini kwenye machi ya choo...kama huamini pita pale karibu na DTV utaona walivyopangiwa matunda na mboga za majani kwenye maji ya choo or if not tazama hali ilivyo kwenye INDIAN QUATER aka MAENEO WALIYOJAZANA WAHINDI MJINI
so why should we commit dada zatu na kaka zetu kwenye uchafu uliokithiri NEW DELHI kwenye mashindano ya Commonwealth?
Kama TANZANIA OLYMPIC COMMITTEE wakikataa kilio chetu na wakapeleka wajumbe luluki halafu wanamichezo wetu wakapatwa na janga loloe then DAMU ITAKUWA MIKONONI MWA ERAASTO ZAMBI (kama bado yupo) na WAZIRI WA MICHEZO...as it is, wahindi watawapa ulinzi na huduma bora zaidi mataifa makubwa huku ndugu zetu kwa AMRI ya waziri wetu wa Mihezo na mambo ya nje na wanaotaka PER DIEM watalazimishwa kupewa huduma duni
trust me this is what is going to happen