Tidito L Member Joined Jan 23, 2011 Posts 97 Reaction score 16 Aug 15, 2011 #1 Walianza maji tukakubali kwa ahadi,wakaji umeme tukazoea,ikawa mafuta ikawa ni kuamka alfajiri kuwai foleni. Chonde chonde msije mkaingia kwenye bia maana hizo ndo zinatupotezea mawazo.
Walianza maji tukakubali kwa ahadi,wakaji umeme tukazoea,ikawa mafuta ikawa ni kuamka alfajiri kuwai foleni. Chonde chonde msije mkaingia kwenye bia maana hizo ndo zinatupotezea mawazo.
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Aug 15, 2011 #2 duh! mkuu tidito hapo umenena, wakifika huko hatutaelewana kabisaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
J JACADUOGO2. JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 930 Reaction score 220 Aug 15, 2011 #3 Bia hata wafungie ila za kienyeji watuachie!