Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Ikiwa bado siku 5 kuanza kwa bunge la bajeti, ni masikitiko makubwa kwa wakazi wa majimbo ya
1. Kawe,
2. Mbeya Mjini
3. Hai
4. Nyamagana
5. Ubungo,
6. Singida Mashariki
Wabunge wa majimbo husika wameshindwa kukutana na wananchi ili kupata maoni yao kuyafikisha bungeni BADALA yake wametumia pesa na marupurupu yatokanayo na ubunge kufanya mikutano ya chadema nje ya majimbo yao.
Tafadhali wabunge wa majimbo niliyoyataja geukeni nyuma na kukumbuka nyinyi ni wawakilishi wa wapiga kura ambao mnatakiwa kuweka mbele mahitaji ya wapiga kura. BADILIKENI mtumikie wana jimbo wenu!!
Kila siku twawasikia kiguu na njia mara Mtwara, Masasi, Newala wakati Sugu ukitamba Dar Live badala ya kupita maeneo ya Mwanjelwa, Soweto, masite nk. kuongea na wapiga kura; HIYO NI HAKI, MTAFAKARI!!!

Nina mashaka na utafiti wako kwaniMAFILILI, hii issue lazima tuiangalie kwa darubini, jamaa wamekuwa watalii, unajua ile michango yetu ya toka Arumeru imewachanganya sasa kila mbunge anataka apate gawio.
Jamaa wamekuwa watalii. yaani 2015 ni mbali sana, majaribio ya kuchagua upinzani yanatutokea puani.
mkubwa!mtajificha mwaka huu,umeanza kukikana chama chako mchana kweupe,na bado mpaka mtakimbia nchiMkuu wangu, ingawa mimi si CCM ni mwanachama wa ADC, ila unapaswa uelewe kuwa system ya CCM ni tofauti sana na vyama vingine, wana hadi mabalozi wa nyumba 10, kwa hiyo mfumo wa mawasiliano wa hiki chama ni tofauti na vyama vingine.
MAFILILI, hii issue lazima tuiangalie kwa darubini, jamaa wamekuwa watalii, unajua ile michango yetu ya toka Arumeru imewachanganya sasa kila mbunge anataka apate gawio.
Jamaa wamekuwa watalii. yaani 2015 ni mbali sana, majaribio ya kuchagua upinzani yanatutokea puani.
Mkuu wangu, ingawa mimi si CCM ni mwanachama wa ADC, ila unapaswa uelewe kuwa system ya CCM ni tofauti sana na vyama vingine, wana hadi mabalozi wa nyumba 10, kwa hiyo mfumo wa mawasiliano wa hiki chama ni tofauti na vyama vingine.
MAFILILI, hii issue lazima tuiangalie kwa darubini, jamaa wamekuwa watalii, unajua ile michango yetu ya toka Arumeru imewachanganya sasa kila mbunge anataka apate gawio.
Jamaa wamekuwa watalii. yaani 2015 ni mbali sana, majaribio ya kuchagua upinzani yanatutokea puani.
Mkuu Mafilili, mbona unawasahau wapiga kura wa jimbo la Bahi ambao mbunge wao badala ya kwenda kuchukua hoja zao azipeleke bungeni yeye akaishia Mkuranga kwa mama Spora Liana kumdai rushwa ya milioni! au tuseme ile milioni ya rushwa angeitumia kuleta maendeleo ya jimbo la Bahi?Ikiwa bado siku 5 kuanza kwa bunge la bajeti, ni masikitiko makubwa kwa wakazi wa majimbo ya
1. Kawe,
2. Mbeya Mjini
3. Hai
4. Nyamagana
5. Ubungo,
6. Singida Mashariki
Wabunge wa majimbo husika wameshindwa kukutana na wananchi ili kupata maoni yao kuyafikisha bungeni BADALA yake wametumia pesa na marupurupu yatokanayo na ubunge kufanya mikutano ya chadema nje ya majimbo yao.
Tafadhali wabunge wa majimbo niliyoyataja geukeni nyuma na kukumbuka nyinyi ni wawakilishi wa wapiga kura ambao mnatakiwa kuweka mbele mahitaji ya wapiga kura. BADILIKENI mtumikie wana jimbo wenu!!
Kila siku twawasikia kiguu na njia mara Mtwara, Masasi, Newala wakati Sugu ukitamba Dar Live badala ya kupita maeneo ya Mwanjelwa, Soweto, masite nk. kuongea na wapiga kura; HIYO NI HAKI, MTAFAKARI!!!
mafilili, hii issue lazima tuiangalie kwa darubini, jamaa wamekuwa watalii, unajua ile michango yetu ya toka arumeru imewachanganya sasa kila mbunge anataka apate gawio.
Jamaa wamekuwa watalii. Yaani 2015 ni mbali sana, majaribio ya kuchagua upinzani yanatutokea puani.