Chonde chonde mzee Lowassa hao wabunge na madiwani wako uliowaacha Chadema wasubiri hadi 2020 ndio wakufuate

Nasikia msukuma ndio amepewa jukumu la kuwa anamvalisha pampas kwa kipindi chote hadi 2020
 
Sababu ya Lowassa kurudi ccm sio kwa kumuunga mkono Magufuli, bali kuzikinga Mali zake pia kuna fununu timu ya Lowassa na kikwete wanampango wa kumgowa bwana misifa 2020.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Lowassa atashirikiana na mtu aliemkata? Aliemfrustrate? Kwelii?
 
Mwambie huyo dingi aondoke na ndama wake, CDM haitawahitaji.
Soon nafasi ya Naibu Katibu mkuu Zanzibar itakuwa wazi........itafuatiwa na Katibu mkuu na mwishowe JJ Mnyika atafunga kazi.
Naona Mwanahabari huru atakaimu nafasi zote hizo!
 
Nimeambiwa hapa kuwa kuna kundi kubwa la madiwani hasa mikoa ya kaskazini na baadhi ya wabunge wanapanga kuachana na Chadema na kuitikia kauli ya mzee Lowassa iliyowataka wafuasi wake kumuunga mkono Rais Magufuli.

Najua hili ni jambo jema na la kupendeza kwa CCM lakini kila nikifikiria gharama za chaguzi ndogo kiukweli naihurumia nchi yangu Tanzania.

Hivyo nakuomba sana mzee Lowassa washauri wote wenye mahaba nawe waliochaguliwa kama wabunge na madiwani wasubiri 2020 ndio warejeshe kadi za Chadema ili kutuondolea gharama za chaguzi ndogo.

Nakumbuka Zitto aliwahi kutumia busara hiyo akatuepusha na uchaguzi mdogo.

Maendeleo hayana vyama!

Muda wa uchaguzi wa marudio kwa Wabunge na Madiwani una kikomo cha kisheria.
Mwaka huu ni wa local Govt - Serikali za Mitaa na Vijiji.
 
Nimeambiwa hapa kuwa kuna kundi kubwa la madiwani hasa mikoa ya kaskazini na baadhi ya wabunge wanapanga kuachana na Chadema na kuitikia kauli ya mzee Lowassa iliyowataka wafuasi wake kumuunga mkono Rais Magufuli.

Najua hili ni jambo jema na la kupendeza kwa CCM lakini kila nikifikiria gharama za chaguzi ndogo kiukweli naihurumia nchi yangu Tanzania.

Hivyo nakuomba sana mzee Lowassa washauri wote wenye mahaba nawe waliochaguliwa kama wabunge na madiwani wasubiri 2020 ndio warejeshe kadi za Chadema ili kutuondolea gharama za chaguzi ndogo.

Nakumbuka Zitto aliwahi kutumia busara hiyo akatuepusha na uchaguzi mdogo.

Maendeleo hayana vyama!
Wazee wa mimavi
 
Back
Top Bottom