Chonde chonde kwa wanaotarajia kufunga ndoa

Kichwa kisikuume,harusi haifanywi na bwana harusi bali wadau watakaoudhulia hiyo shughuli.Tafuta michango kadri uwezavyo,watakaokuchangia hadi dakika ya mwisho fanya nao sherehe hao,hata kama mtakua watu 10.[/QUOT

huoni kwamba unasumbua wadau mkuu? kwani na mke atakuwa wa wote au? tafakari kaka
 
uzoefu wangu ni kuwa gharama za sherehe za harusi huchangwa na wanajamii. bw. harusi anaweza asitoe hata senti!

unafikiri gauni, suti, viatu na maandalizi anafanya huyo jamii? Tena omba bi harusi awe wa familia nzuri, maana kitchen, sendoff utagharamia mwenyewe.
 
ndo maana kun amichango na watuwanapewa kadi kuchanga.........kama ww ulikopa ili ulipie arusi pole yako...........watu tumetajirika kupitia arusi we unaniambia nini,,,mie nilitoka na 5m cash baada ya arusi...na vikorombwezo vyote sikuota ata kibaru mfukoni,....arusi ni ww nanetwork ya ndugu zako na marafiki zako..kama huna kakope babuuuuuuuuu
 
Tukumbuke hari za uchumi zinatofautina ana ujue kuwa si wote pesa inatosha kupitia michango..muhimu nikufanya kulingana na uwezo wako.ninamshauri Bwana harusi mtarajiwa asingie kwenye ushawishi wa mikopo..kwa ajili ya kugharamia vitu vingine..aridhike harusi hata siku moja harusi haikwami kwa ajili ya pesa..na hata ukipata pesa bado utaona haitoshi..

Kuna bwana mmoja alihitaji kufanya harusi babu kubwa..alichokifanya alikopa pesa na kuweka gari yake rehani akiamini kuwa baada ya harusi yake atatafuta pesa arudishie ili akomboe gari yake..hari ilikuwa tofauti sana baada harusi akakutana na mambo mengi yaliyomkabili na pesa yote ilikuwa imekwisha na hakuwa na namna nyingine kupata pesa,alipoteza gari yake nzuri ya kisasa akiwa anaioona sababu alikopa pesa kidogo kulingana na thamani ya gari ilikuwa bado kubwa..

Baada ya Bwana harusi afurahie ndoa yake kwa mapenzi motomoto hapo haiwezekani tena kwa kuwa Bwana arusi anaumia moyoni kwa kupoteza gari ambayo pesa yake watu wametumia kula na kunywa..
 
Ushauri mzuri sana
Washirikishe jamaa zako,marafiki zako au ndugu zako wakupe support ya kimwazo au kifedha

Kaa na zungumza na rafiki yako wa jamaa yako wa karibu aliyefunga ndoa siku si nyingi uone namna gani atakavyokushauri kupunguza gharama au kuepuka matatizo yaliyojitokeza kipindi cha sherehe yake

 
ndo maana kun amichango na watuwanapewa kadi kuchanga.........kama ww ulikopa ili ulipie arusi pole yako...........watu tumetajirika kupitia arusi we unaniambia nini,,,mie nilitoka na 5m cash baada ya arusi...na vikorombwezo vyote sikuota ata kibaru mfukoni,....arusi ni ww nanetwork ya ndugu zako na marafiki zako..kama huna kakope babuuuuuuuuu

i beg to differ haya ni mawazo mgando sana, kweli unaweza kujisifia ulibaki na 5m cash na wajua umechangiwa. Duh sijui wengine wana mioyo gani I feel not comfortable using other people's money. Ndio maana I dont trust kuchangisha harusi at all. Kama ni shule na afya sana , na yangu iliyokuwa 10+ years sikuchangisha so i dont expect anyone to point fingers
 
Back
Top Bottom