yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Mambo aje wadau wa jukwaa hli mko poa aisee.....! basi kama ndo hivyo miamia.......
oy hebu tushirikishane hili.... hivi unajua mapenzi ni hisia...... sasa kama ndivyo tunathubutuje kuchezea hisia za watu mazee...unajua leo tunapea sure hapa bila kuvunga wala nini..! ukweli ndo huo binafsi sipend kuchezea hisia za mtu buree.. we kama ume fall in love thibitisha kwa matendo sio blabla nyiingi.. mfano utamkuta mkaka anampenda demu et kisa ana umbo, macho, nywele or kutembea kike... sasa we ulimpenda huyo manzi kweli or ulikuwa after something SIPENDI, hata nyie wadada kumpenda mtu kwa ajili ya mkwanja wake huko ni kupotezeana mda bure...
juzi nimesoma thread ya jamaa aliye kataliwa na manzi ake et kisa mkwanja hapa jukwaani niliumia sana, akanikumbusha na thread yaa jamaa huko nyumaa et wanawake wazuri wataishia kuwa mashemeji tuuu''''.....
Mapenzi ya sasa bwana majanga tuu et wewe unaamua kuwa na mamanzi weengi...., wa nini...? hivi uliwahi kufikiria tangu umeanza kuwabadlisha hao wadada umefaidika nini... or we mdada unaewabadilisha washikaji kama nguo zako za ndani.. umefaidika nini aisee... kwa utafit nilio ufanya hivi majuzi tu, unaonesha mtu mwenye wapenzi wengi yupo kwenye hatari kubwa ya maambukizi ya UKIMWI.... jamani najua imewatach wengi ila polee we badilika bana siku hizi ujanja ni kutulia na wako umpendae..... halafu hebu lidhika bas na uliye nae.... hakuna raha kama kutulia na umpendae huna presha et labda fulan atapiga au kutex uzime simu au ubadili laini.... utakaa kwa amani mnooo na utafanya mambo yako kwa uhuru na amani telee..
Kujiamini ni njia mojawapo ya kuimarisha mahusiano yenu, siku hizi watu wengi hwajiamini ndo maana anatafuta wengi ili akipigwa kibuti huku anahamia huku... mmmh wengine wakiwaona wenzi wao na mtu mwingine nae anatafuta mwingine lii waoneshane taiz huu ni upuuzi hautakusaidia chochote mazee... tena wadada ndo kabisaaa washa ona fashion kuwabadili wakaka kama magauni yao...... hivi uliwahi kufikria mmeo/ mkeo mtarajiwa atajivunia nini kutoka kwako... kama kila mtu anacheza na wewe mechi zetu.... umekuwa jamvi la wageni wewe hebu acha kujidharirisha aisee'' your still young bana hebu tubadilike washikaji hizi so ishu kabisa....
Nafungua mjadala wa wazi kwenu wadau kama nikukera sana NISAMEHE BURE nilipaswa niseme tuu naumia mnoo kama kijana narudia tena ''KUFANYA NGONO HOLELA SIO UJANJA... UJANJA NI KUTILIA NA UMPENDAE..''