Chonde chonde chama changu CHADEMA

Ok!Just in it if you wish or against it if you dont!God will make the way for CHADEMA.
utaenda lakini au ndo vile nani atamfunga paka kengele??
 
we HATUTAKI stori zako za UDINI hapa majini yako peleka baharini tunaongelea vyama hatuko kidini sie katika suala hilo niko serious sitaki kabisa tupishe sawa usitugawe
 

MKUU labda nisaidie maana ya neno maandamano
 
Hiyo post yenyewe imekaa kama kishabiki sana na kitoto sana hivyo ni bora sana kuona kufanya maandamano bila kukoma na kuona watu wote wanashiriki pia
 
By

Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHIS



nimeipenda hii
Nimwupenda unafiki wako pia!!ni kama kinyago cha mmasai kwenye jumba la makumbusho,unapompenda adui yako!!!think twice
 
Udini umetoka wapi tena mkuu?Nia ni kuwaeleza wananchi wanavyonyimwa haki zao kupitia wawakilishi wao bungeni!Kova anatakiwa kutoa ushirikiano wa ulinzi na siyo kujaza mabomu na risasi kwa ajili ya waandamanaji!Polisi wapo kwa ajili ya ulinzi wa raia na siyo kujaza risasi na mabomu kwa ajili ya kuua raia!He can do what ever he want but he will end the normal natural end(death) like others!Auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
 
Mnakuja kuleta msongamano wa magari tu na maandamano yenu ya kipuuzi. Huruma za wanadar hamtakuja kuzipata. Tafuteni mbinu zingine.
 
hahaha tofauti yangu mi na wewe ni kwamba wewe umeshajikinai

Lione linavyocheka wakati linaelewa uongozi mgando unavyomkandamiza... Utakua wa mwisho kuelewa... Wacha tuwaoneshe wengine jinsi ya kudai haki ....
 

Uoga ndio kaburi lako..... Udini haukusaidii lolote!!! Babako ndo DJ
 
Mnakuja kuleta msongamano wa magari tu na maandamano yenu ya kipuuzi. Huruma za wanadar hamtakuja kuzipata. Tafuteni mbinu zingine.

Kesho ni siku ya jumapili huo msongamano utatokea wapi??? ----!!!!
 
umesahau?? morogoro,, arusha nk. halafu kinachotia hofu ni lengo kuu lililobeba hayo maandamano

We jamaa husaidiki, kesho sali siku nzima basi ili kuepusha hizo vurugu unazoziwaza!!! Lazima kuwe na lengo la kuandamana
 

Usi nukuu vifungu usivyo vijua unajua kuwa hata shetani ni mamlaka,Hivyo shetani akikwambia mtukane Mungu utamtii?
 
Lione linavyocheka wakati linaelewa uongozi mgando unavyomkandamiza... Utakua wa mwisho kuelewa... Wacha tuwaoneshe wengine jinsi ya kudai haki ....
wewe unapiga domo tu huna ubavu wa kusogelea kitu chenye ncha kali
 

sentesi za mwanzo nilikua nacrush huyo jamaa na tabia ya kutuwekea vifungu vya kidini katika siasa.
Kusema wokovu wa kislaa ni fake nina maana hata hao kina slaa wakikamata madaraka watafanya madudu hayohayo tena kwakuwa wawe wataingia wakiwa masikini hadi wakawe matajiri na wawe na mamilioni uswisi ndo waanze kuwajali wananchi sio leo.
Nchi za kiafrika kama kenya,zambia,malawi walishavitoa vyama tawala kwa ahadi ya kubadili hali za wananchi hadi leo hakuna mabadiliko yeyote,huo ndio uwokovu fake.
Kama leo hii mgombea urais mtarajiwa wa cdm anaweza kujikopesha mamilioni ya pesa za chama kinyemele,vipi akikamata madaraka?
 
By

mbona nanyi hamuumii polisi kuuwawa???????

Ishara nyingine kuwa wewe ni m ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…