Chonde chonde chama changu CHADEMA

mamlaka imekataa sasa utalazimisha?
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi!viongozi wa serikali ni waajiliwa wa wananchi,hivyo basi tamko la wananchi ni final and conclusive!
 

Kwa ushauri huu, nahisi wewe ni Jangili au Mtambo wa kufyatua matusi. Uhuru mnao nyie mafisadi mnao maliza tembo wetu na hakuna anaye wauliza. Kwanza umesha niudhi sana ................kilaza wewe !!!!!!!!!!!!!1
 
Nitashiriki endapo familia za hao tunaowapokea zitakuwa mstari wa mbele kwenye hayo matembezi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

usiogope, tutashinda hatimae!!
 
ndugu yangu naangalia interest za utaifa si familia

Interest za utaifa ni zipi??mimi naona ni zako binafsi.. Maana Watu kuheshimu katiba inayoruhusu maandamano wewe unaona ni kosa! Ni haki yetu..wewe kama unaona maandamano ni hatari ni muda wako wa kutoa maoni katika katiba mpya inayokuja ila wakati tunaisubiria hiyo katiba mpya sisi chadema tutaendelea kuiheshi na kuilinda iliyopo. Period.
 
CDM wamepanga MATEMBEZI YA KUONYESHA UPENDO NA MSHIKAMANO kichama na wabunge wake leo hii, sawa tu na matembezi kama hayo hayo ya kichama ambapo hata rais wa nchi naye alionyeshwa kushiriki kwake kwenye BETHIDEI ya chama cha mtaa wa Lumumba, na wala hakuna popote ambapo CHADEMA kimeelezea kutamani kuandamana hata kidogo.

Kwa misingi hii, hakuna hata Mtanzania mmoja anayetarajia kuona bughudha zozote kwa CHADEMA na wanachama wake katika tendo hili la kikatiba kwa kuwa hata watni zao wa Chamwino nao majuzi tu hakuna aliyeripotiwa kuwasukumia choko choko ya aina yoyote ile.
 
Wabunge wa chadema kuweni makini na mbatia huyo atawaharibia huyo anatetea ccm tu mjue,kusema kwamba shuleni hakuna mitaala ya kueundishia hata mmoja ni ujinga mana angeenda shule yoyote angepata angesema michache hapo anatengeneza kitu kuonyesha wapinzani waongo wakati yeye ndo muongo,hatar huyo ni janja ya ccm hyo.takecare.
 
Ndugu Saanane, kwa kauli hiyo hapo chini kwenye wino wa ki-CDM iliokolea; you make my day mkuu!!!!!!!!!!

Ben you can repeat that sentence a thousand times and Iwould still just be asking for more of its sounding in the ears of this 'police rule' type of government of the day that we are today surviving its undertakings against popular public will
!


 
endelea na mambo ya biblia utakuwa masikini

Masikini wa nini?? Be specific.. Ila kama unazungumzia uchumi.. Umemsahau Marx Weber ndie anaesema development of capitalism in europe ililetwa na "protestant ethics" ambapo walikuwa wanapewa biblia na kutakiwa kuiheshimu na kuifata ambapo vifungu kama asiefanya kazi na asile, kusave na kuepukana na anasa, kufanya kazi kwa bidii, na mifano kama ukipewa talanta lazma uifanyie kazi ilete faida. Kwa kipindi hicho spirit within christian religion was what led to development of capitalism(matajiri wengi walikuua waamini wa biblia/ukristo).. Hata ukitizama maeneo mengi ambayo yalikaliwa ama yenye wakristo wengi ulaya yameendelea mpaka sasa! Hivyo sio ukweli ukisoma biblia unakua maskini tafaadhali.
 
Maandamano yapo palepale sio wazalendo nyie tumechoka nakesho tukoteari kwanza 2015 mbali wafanye wanachotaka waone
 
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi!viongozi wa serikali ni waajiliwa wa wananchi,hivyo basi tamko la wananchi ni final and conclusive!
wananchi gani wametaka maandamano??
 
Maandamano yapo palepale sio wazalendo nyie tumechoka nakesho tukoteari kwanza 2015 mbali wafanye wanachotaka waone
wewe utaumia bureeee
 

Ben Saanane; Mitume na Manabii gani walipambana na Mamlaka zao/zipi?
 
Ndugu Mungwana, kuna uhusiano gani kati ya watu kutembea na kuumizwa?
Je hao watu kwa kawaida huwa wanaumia kila wanapotembea?

Usisahau WOGA ni DHAMBI.
 

Acha Unafiki.
Hauwezi ukawa mwana CHADEMA alafu ukapinga maandamano, kama hauwezi kutoa maoni yako huku umesimama kwenye itikadi yako ni bora ukae kimya.
 
wananchi gani wametaka maandamano??
Kwa Chadema kuitisha maandamano wewe kimekuuma kitu gani...kama hutaki si ukae nyumbani wewe na mke wako uone kama kuna mtu atakuja kukuita.
 

Na TANU ingesema "hata biblia inatuagiza" tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…