Chonde chonde chama changu CHADEMA

Mlioko Dar msituangushe..haya maandamano ni mhimu kwa mstakabali wa taifa letu..hakuna kurudi nyuma.!
 

mwungwana kwanza nikufahamishe kwamba hakuna mwanaChadema anayeweza kuwa na mawazo duni kama haya. Bila shaka haya ni mawazo ya magamba wanaojaribu kujivika ukamanda lakini bahati nzuri tunawang'amua mara moja!

Hatahivyo nakushauri siku nyingine ukitaka kuielewa Biblia, kabla hujaisoma omba uwezo wa Roho Mtakatifu akuongoze na kukupa ufahamu sahihi vinginevyo utakuwa na uelewa mdogo sana wa kuokoteza kama ulivyofanya hapa.
 
Last edited by a moderator:
mbona juzi ccm wameandamana huko kighoma hukuja hapa na hayo mambo yako ya amani,acha uoga na ubaguzi
 
mawazo kama haya aliwaza mdogo wangu akiwa darasa la tano mwaka 2010, sikuwahi fikiri kama jitu zima laweza kuwa na mawazo mgando kiasi hiki
 

AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI sawa tatizo ni nini? Kwanini wanazuiwa kuandamana wakati ni haki yao,Hiyo amani iwe na thamni kwa upinzani tu lakini kwa ccm hamna tatizo polisi watawalinda hadi mwisho sio?
Je polisi ni kwa ajili ya kulinda usalama au kwa ajili ya kuua upinzani?
 
sasa si mmesharuhusiwa maandamano yenu endeleeni kwa uzuri
 
Unaweza kuwaambia watu hapa, sheria ipi ya nchi au kifungu kipi cha katiba kinavunjwa kwenye mapokezi ya kesho kuwapokea wabunge wa upinzani.
haya sasa kazi kwenu mmeruhusiwa roho yangu ina amani na tutakuwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…