Hata kama yangekuwa ni maandamano,hii ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania!Hayo siyo maandamano ni matemebezi ya mshikamano.
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa chadema kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamanoAmani ni tunda la haki.Akina Mandela na Steve biko wangeendelea kuitii malaka ya Makaburu hadi leo hii sijui wangekua wapi..
Dunia Ingeendelea kutii Mamlaka ya Adolf Hitler na Hegemony ya chama chake cha NAZI sijui leo Dunia ingekuaje!
Hata mitume na Manabii wa dini zote walilazimika kupambana na mamlaka zilizokuwepo ili kuleta haki na ukombozi kwa watu.Itumie mishafu vizuri
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa chadema kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
mi ningeshauri wafanye tu mkutano wa hadhara na waseme kile wanachotaka kusema kwa sababu lengo ni kufikisha ujumbe haina mana kuwa na maandamaano yatakayoumiza watuLakini nami kwa ili pia kwa upande wangu namuunga mkono mleta mada, ccm washaijua nguvu ya chadema ivo hawana amani nahisi watapanga kutumia policcm kuwaadhibu watu pia wafuasi wa chadema kwa lengo la kujustify kuwa chadema ndo wamekuwa chanzo cha lolote, ivo nashauri uongoz wa chadema wafuate taratibu zote za kupata kibali pia ulinzi na apo sote tutafurika mkutanoni kuwalaki viongozi bila shaka pia wasiwasi wa ktokea maafa
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano