Karibu maeneo yote ambayo nimepita na kuhitaji huduma na kuona utendaJI WA viongozi wa CDM kuanzia mtaa, wanatekeleza maoni ya wengi. Mf. mahali ambapo kuna M/kiti wa serikali ya Kijiji toka CDM hakuna malipo yoyote ya kujaza form ambapo ni kinyume na mahali inapoongoza CCM. Kuhusu wabunge, mi wa kwangu ni CDM kwa mara ya pili, Mh. Zitto Kabwe, tayari barabara ya lami ipo na ameahidi umeme na maji na tayari viashiria vya huduma hizo vipo nina uhakika 2015 akiamua kugombea atateleza tu