Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Kwa tukio la bomu Arusha, ccm wameshaona mwanya wa kutokea. Napenda kuwaonya Chadema kwamba kuanzia leo wawe waangalifu sana wanapoitisha mkutano wa hadhara; iwe ni wa M4C au mkusanyiko wowote, mkutano huo utalipuliwa na si ajabu kiongozi akauwawa. Mwigulu ana hulka ya kigaidi na udikteta. Ataleta maafa mengi kwa chadema.CHADEMA sio mbulura, wala sisi hatujamtuma mtu kwenda nchini china, ambako ndo wamewapa vitendea kazi. Mungu atawaonyesha fimbo yake kwa hao waovu. Wananchi watalipiza kisasi 2015.
Maoni yangu hayo -- katu msifanye ushenzi kama huo kwenye mikutano yao. Mkifanya hivyo nawahakikishieni kabla masaa 12 kupita kamata kamata ya polisi ya viongozi wa CDM itakuwa ya kasi ya zimamoto! Watakamatwa viongozi wote wa taifa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi!
Jaribuni muone na mtajua kwamba polisi inatumikia nani hasa pamoja na kwamba Watz wote wanaligharamia jeshi hilo.!
By the way nauliza tu just for the matter of interest! Ni wangapi wameshakamatwa na polisi hadi sasa kutokana na tukio hilo a jana? Au ni dana dana ile ile a la Ulimboka na Kibanda?
chadema walipize kisasi kupitia sanduku la kura tu... Hakuna lingine..
pumbavu mkubwa na mchochezi wewe,aliyekuambia ccm ndo wamelipua bomu Arusha ni nani
Povu linakutoka kwa kutetea kitu ambacho kipo wazi kabisa na kwa taarifa yako wewe unayetetea hili ndiyo Mpumbavu uliyepitiliza.Kama CCM hawakuhusika basi waliohusika watakamatwa kama imehusika utaona mwendelezo wa utafutaji wa watuhumiwa.pumbavu mkubwa na mchochezi wewe,aliyekuambia ccm ndo wamelipua bomu Arusha ni nani
Umeongea vizuri mwisho lkn umeharibu mwanzo utaifa kwanza mabo mengine baadayeSidhani kama kuna kiongozi yeyote wa Chadema mwenye wazo la kuua/kumwaga damu.CCM ndiyo yenye dola,kwa nini hawataki kuunda tume ya kimahakama ili kuchunguza haya mauaji?Rais wetu ameshindwa kabisa kutulinda sisi raia.IGP amewaambia viongozi wa Kanisa wajilinde,maana yake kila kundi liwe na jeshi lake.
Ee Mola utunusuru na haya yanayoendelea ndani ya nchi yetu.AMEN
Povu linakutoka kwa kutetea kitu ambacho kipo wazi kabisa na kwa taarifa yako wewe unayetetea hili ndiyo Mpumbavu uliyepitiliza.Kama CCM hawakuhusika basi waliohusika watakamatwa kama imehusika utaona mwendelezo wa utafutaji wa watuhumiwa.
Ufinyu wa kuwaza na uvivu wa ubongo wako ndo unaokufanya uteme pumba
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums