Chonde chonde CHADEMA - msilipize kisasi kulipua bomu kwenye mikutano ya CCM mtajuta!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Maoni yangu hayo -- katu msifanye ushenzi kama huo kwenye mikutano yao. Mkifanya hivyo nawahakikishieni kabla masaa 12 kupita kamata kamata ya polisi ya viongozi wa CDM itakuwa ya kasi ya zimamoto! Watakamatwa viongozi wote wa taifa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi!

Jaribuni muone na mtajua kwamba polisi inatumikia nani hasa pamoja na kwamba Watz wote wanaligharamia jeshi hilo.!

By the way nauliza tu just for the matter of interest! Ni wangapi wameshakamatwa na polisi hadi sasa kutokana na tukio hilo a jana? Au ni dana dana ile ile a la Ulimboka na Kibanda?
 
CHADEMA sio mbulura, wala sisi hatujamtuma mtu kwenda nchini china, ambako ndo wamewapa vitendea kazi. Mungu atawaonyesha fimbo yake kwa hao waovu. Wananchi watalipiza kisasi 2015.
 
Kwa tukio la bomu Arusha, ccm wameshaona mwanya wa kutokea. Napenda kuwaonya Chadema kwamba kuanzia leo wawe waangalifu sana wanapoitisha mkutano wa hadhara; iwe ni wa M4C au mkusanyiko wowote, mkutano huo utalipuliwa na si ajabu kiongozi akauwawa. Mwigulu ana hulka ya kigaidi na udikteta. Ataleta maafa mengi kwa chadema.
 
Sidhani kama kuna kiongozi yeyote wa Chadema mwenye wazo la kuua/kumwaga damu.CCM ndiyo yenye dola,kwa nini hawataki kuunda tume ya kimahakama ili kuchunguza haya mauaji?Rais wetu ameshindwa kabisa kutulinda sisi raia.IGP amewaambia viongozi wa Kanisa wajilinde,maana yake kila kundi liwe na jeshi lake.
Ee Mola utunusuru na haya yanayoendelea ndani ya nchi yetu.AMEN
 
Chadema haina tabia ya kulipa visasi. Ni chama kistaarabu kinachopenda kuonea pale panapoonekana na kasoro lakini sio kutumia nguvu. Ingekuwa CDM wanapenda kulipiza visasi unadhani kwa vurugu walichofanyiwa makada wake si wangeshafanya fujo nyingi tu.
 
Maoni yangu hayo -- katu msifanye ushenzi kama huo kwenye mikutano yao. Mkifanya hivyo nawahakikishieni kabla masaa 12 kupita kamata kamata ya polisi ya viongozi wa CDM itakuwa ya kasi ya zimamoto! Watakamatwa viongozi wote wa taifa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi!

Jaribuni muone na mtajua kwamba polisi inatumikia nani hasa pamoja na kwamba Watz wote wanaligharamia jeshi hilo.!

By the way nauliza tu just for the matter of interest! Ni wangapi wameshakamatwa na polisi hadi sasa kutokana na tukio hilo a jana? Au ni dana dana ile ile a la Ulimboka na Kibanda?

pumbavu mkubwa na mchochezi wewe,aliyekuambia ccm ndo wamelipua bomu Arusha ni nani
 
CCM ndiyo wanakabana koo na CDM, halafu bomu linalipuka kwenye mkutano wa CDM. Sasa, who is the first suspect?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
CDM HAIOGOPI NA WALA HAITAOGOPA POLISI WA TANZANIA , MAANA UOGA NDIYO DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE ! BALI cdm haiwezi kuua binadamu kwa minajili ya kulipa kisasi kwa hii mipango mibovu ya akina Mwigulu & co , Maana cdm tunatambua Haki ya Msingi kabisa ya kila Binadamu ya kuishi , Siyo kwa ccm tu , bali hata kwa vyama vingine na hata kwa wale wasio na vyama !
 
Hatulipizi kisasi ila God atawalipa ccm siku moja kwa hii damu inayomwagika.
 
pumbavu mkubwa na mchochezi wewe,aliyekuambia ccm ndo wamelipua bomu Arusha ni nani
Povu linakutoka kwa kutetea kitu ambacho kipo wazi kabisa na kwa taarifa yako wewe unayetetea hili ndiyo Mpumbavu uliyepitiliza.Kama CCM hawakuhusika basi waliohusika watakamatwa kama imehusika utaona mwendelezo wa utafutaji wa watuhumiwa.
 
Sidhani kama kuna kiongozi yeyote wa Chadema mwenye wazo la kuua/kumwaga damu.CCM ndiyo yenye dola,kwa nini hawataki kuunda tume ya kimahakama ili kuchunguza haya mauaji?Rais wetu ameshindwa kabisa kutulinda sisi raia.IGP amewaambia viongozi wa Kanisa wajilinde,maana yake kila kundi liwe na jeshi lake.
Ee Mola utunusuru na haya yanayoendelea ndani ya nchi yetu.AMEN
Umeongea vizuri mwisho lkn umeharibu mwanzo utaifa kwanza mabo mengine baadaye

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Povu linakutoka kwa kutetea kitu ambacho kipo wazi kabisa na kwa taarifa yako wewe unayetetea hili ndiyo Mpumbavu uliyepitiliza.Kama CCM hawakuhusika basi waliohusika watakamatwa kama imehusika utaona mwendelezo wa utafutaji wa watuhumiwa.

Ufinyu wa kuwaza na uvivu wa ubongo wako ndo unaokufanya uteme pumba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ufinyu wa kuwaza na uvivu wa ubongo wako ndo unaokufanya uteme pumba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Join Date : 24th March 2013
Posts : 16
Rep Power : 316
Likes Received0
Likes Given0

Hakuna unachokijua na inaonyesha michango yako yote huwa ni pumba kwani inajidhihirisha kwa record iliyopo.
 
Chadema wawe makini sana kuanzia sasa, mwigulu kaenda china kusomea ugaidi na umafia namna ya kuua na kudhuru wafuasi na viongozi wa chadema! Ndo maana sehemu mbalimbali chadema wamepigwa na waeuasi wa ccm kama sehemu ya mafunzo kwa vitendo kwa kile alichojifunza mwigulu huko china!
 
Maoni yangu hayo -- katu msifanye ushenzi kama huo kwenye mikutano yao. Mkifanya hivyo nawahakikishieni kabla masaa 12 kupita kamata kamata ya polisi ya viongozi wa CDM itakuwa ya kasi ya zimamoto! Watakamatwa viongozi wote wa taifa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi!

Jaribuni muone na mtajua kwamba polisi inatumikia nani hasa pamoja na kwamba Watz wote wanaligharamia jeshi hilo.!

By the way nauliza tu just for the matter of interest! Ni wangapi wameshakamatwa na polisi hadi sasa kutokana na tukio hilo a jana? Au ni dana dana ile ile a la Ulimboka na Kibanda?

Si mbaya wakisaidiwa hayo mabomu yawe yanalipuka ktk makabidhiano na hao wanaojitoa mhanga.Yakimlipukia mwigulu wakati anademonstrate kwa hao wawatumao.

Madai ayo watalii wasije arusha waseme ni CDM...by the way wazungu wanaweza ruka kwa ndege bila kupita mjini.Kwanza 90% ya wageni hawapiti mjini Arusha.Ila wazungu wa pale mjini wapo very curious na walikuwa wakiambiwa kuwa mikutano ya CDM ni vibrant ila haina uchokozi kwa wapita njia hata wa kizalendo.Haya mabomu na behaviour za JK wanamashaka sana na mienendo ya mafisadi wa CCM.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom