Chombo cha Anga cha tua kwa dharula Bagamoyo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chombo cha Anga cha tua kwa dharula Bagamoyo!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Apr 15, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  chombo.jpg
  Chombo kimetua kwa dharula huko Bagamoyo kwa sababu ya hali ya hewa!!
   
 2. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mbona wamemkawiza hadi akaanza kujitetea kwanini wasimtie moto tuu?
   
 3. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hii ni hatari, ina maana hakua na mawasiliano na mwongoza ndege? Abilia wamesalimika kweli?
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kakakiiza umeipata wapi hii!duh mbona hatari sana ni mbongo huyu?mambo haya bado yapo?inasikitisha sana!
   
 5. M

  Mama PC Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndio maana nchi haiendelei kwa kuendekeza ushirikina. Tunawateketeza kwa moto wa Damu ya Yesu.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,514
  Likes Received: 19,931
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi hawa jamaa huwa haiwezekani kusafiri wakiwa wamevaa nguo?maana naona hapo yupo uchi wa mnyama anatudharirisha wanaume kwa hao wakina mama na angekua wa kike je wanaume wangejaa kumuangalia hivyo na watoto pia!!!apelekwe kwa babu huyo akapate kikombe!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa anaitwa MACHO anakaa Mwananyamala.....na hapo ni karibu na MANGO imetokea leo usiku
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,514
  Likes Received: 19,931
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo sio mchawi
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Hilo silijui.....vile mimi siamini uchawi.......mtazamo wangu huyu ni mgonjwa wa akili......nasisitiza tukio halikuwa Bagamoyo
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Thanks kutujuza,mengi tutasikia.
   
 12. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini wanaotumia usafiri wa aina hii wote sura zao za kutisha? Mbona wale wa NASA huwa wako soap soap?
   
 13. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ohh! basi inaweza ikawa na mgonjwa wa akili kweli...
   
 14. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi katika jamii matendo kama haya huwa yanatokea; anakutwa mtu ana tatizo la akili na anashindwa kujieleza vyema na watu wana-conclude kwamba ni mchawi. Hii inatokana na tatizo la kuamini zaidi juu ya uchawi katika ya jamii zetu. Hebu watu wanapokutwa katika mazingira kama haya ni bora wakapatiwa hifadhi ya nguo kwanza na kuanza kuhojiwa kwa taratibu. Hata wewe wawezwa kukutwa katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida na ukajikuta unashindwa kujielezea.
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bilashaka chombo hiki kilipata itilafu kwenye ingini yake kama siyo kuchemsha....
   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mbona naona tu abiria je mabaki ya ndege na dhana za kufanyia kazi mbona hazionekani eneo la tukio?. Au tayar watanzania wameshapora mali za abiria kama kawaida yao ajali ikitokea
   
 17. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  duh!hiii ni noma jamaaa kama alivyozaliwa
  :tape::help::disapointed::love::rip::noidea::A S 2152:

   
 18. s

  sharobaby Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  jaman waweza kuta ni mgonjwa wa akili huyo jaman au kapombeka sana mpaka kapoteza network hapo ndo inarudi
   
 19. s

  sharobaby Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  mgombezi nakusapport kwa asilimia 100 kuna bibi mmoja alikuwa anakaa ilala alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya akili kwa mda mrefu sana na alikuwa akiishi na mwanawe wa kiume mkubwa tu amabye amshaoa wenyewe walikuwa wanajitahidi sana kumfungia ndani kunasiku akapata upenyo akatoroka tena kama alivyozaliwa, walimsaka for two days mpaka wakakata tamaa, after that ndo wakapata taarifa kuwa yupo kituo cha polisi alikamatwa na wananchi wenye hasira wakampa na kipigo wakidhani ni mchawi...yaani inauma sana pata picha ndo mzazi wako
   
 20. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  police naomba waintervene huyu ni mgonjwa wa akili kabla hajashushiwa kipigo.
   
Loading...