Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
kwa hiyo sio mchawi
Hakuna uchawi wala chombo kuanguka, ni upungufu wa akili au urabu.,period.
kwa hiyo sio mchawi
kwa hiyo sio mchawi
Mara nyingi katika jamii matendo kama haya huwa yanatokea; anakutwa mtu ana tatizo la akili na anashindwa kujieleza vyema na watu wana-conclude kwamba ni mchawi. Hii inatokana na tatizo la kuamini zaidi juu ya uchawi katika ya jamii zetu. Hebu watu wanapokutwa katika mazingira kama haya ni bora wakapatiwa hifadhi ya nguo kwanza na kuanza kuhojiwa kwa taratibu. Hata wewe wawezwa kukutwa katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida na ukajikuta unashindwa kujielezea.

Mbona wamemkawiza hadi akaanza kujitetea kwanini wasimtie moto tuu?
Mbona naona tu abiria je mabaki ya ndege na dhana za kufanyia kazi mbona hazionekani eneo la tukio?. Au tayar watanzania wameshapora mali za abiria kama kawaida yao ajali ikitokea
Na kwa macho kweli kajaliwa, maanake ni mijicho!Huyu jamaa anaitwa MACHO anakaa Mwananyamala.....na hapo ni karibu na MANGO imetokea leo usiku
Mbona naona tu abiria je mabaki ya ndege na dhana za kufanyia kazi mbona hazionekani eneo la tukio?. Au tayar watanzania wameshapora mali za abiria kama kawaida yao ajali ikitokea
na wewe macho nyoa mivuzi hiyo bana...aaaghh