Chombezo: Shemeji wa Kizaramo

Haha sasa ulipoenda kumchungulia shemeji yako ulitegemea nae awe nasikilizia makelele ili upate mteremko?
Wewe ulishamtamani sema uzito wako/heshima yako kwake ndio iliyokuzuia that night mkuu
Uko sahihi kabisa mkuu wangu mm najiheshimu sana na huwa sio mtu wa kukurupuka niliwaza mengi sana nikaamua niachane na wazo hilo
 
Uko sahihi kabisa mkuu wangu mm najiheshimu sana na huwa sio mtu wa kukurupuka niliwaza mengi sana nikaamua niachane na wazo hilo
Ulichukua uamuzi bora kabisa kwa kipindi hiko ambacho mwili ulishakutuma ufanye hilo jambo. Ni wachache wanaoweza kuitiisha miili yao vinginevyo kesi za ubakaji zingekuwa chache sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom