Chombezo mkeo ndio alitaka

hahahπŸ˜…πŸ™Œ, me nataka nikae pekeyangu kwenye gari langu
Kwani gari sh ngapπŸ˜€ ngoja nitumbe maombi ya kazi ya ualimu. Nikipata kazi napata mkopo nakununulia gari mamsapπŸ˜€
 
Kwani gari sh ngapπŸ˜€ ngoja nitumbe maombi ya kazi ya ualimu. Nikipata kazi napata mkopo nakununulia gari mamsapπŸ˜€
eti kazi ya ualimu, si bora ukaombe ata kufanya usafi benki maeneo yenye helaπŸ˜…πŸ˜Ž
 
si utakua unaiba kidogo kidogo halafu tunanunua gari
Nilivyomaliza chuo miaka 8 iliyopita basi kuna baba yangu mdogo alikuja home akaniuliza ulisomea nini? nikamjib banking and finance. Akasema unataka kufanya kaz bank wanaume wenzako wakuletee hela uwahesabie. Yale maeno yaliniingia vibaya huwezi amini kazi ya bank ikaishia hapo🀣
 
ndo umwambie tena sasa akufanyie connection
 
kwahiyo sasa hivi umeamua ujiajiri kwa kupika mbege
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…