Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
- Thread starter
-
- #81
CHANDUKA (36)
MWISHO
BY HAFIDHI J IKRAM
WHATSAPP
0765672880
---------------
Tulipoishia
Nusraty wakiwa mtu kati huku kidume kikiwa kimechoka hoi
Basi Nusraty akasema
“Tambua huwezi kupambana na Mimi hata kidogo na huku ulipokuja huwezi kutoka jino moja lazima ufe".....
Chanduka hakutaka kuongea kitu akajampu na kumrukia
Nusraty ikawa piga nikupige
Ajabu Nusrati akachomwa kisu cha tumboni akacheka tu kisha akakichomoa sehemu ya jeraha ikajiunga.
Chanduka atoa macho pima maana kile kisu amekiandaa spesho kwa ajili ya kuwauwa mizimu imekuwaje
Nusraty hajafa,,,
SONGA NAYO
SASA
Chanduka alikuwa katika kazi nzito sana alipambana vilivyo.
Siku zote kuzimu kunatisha nawala sio sehemu ya mchezo.
Nusraty nae alikuwa akitamba kwa kumzibiti
Chanduka ilibidi Zinduna aingilie kati maana aliona kama akizubaa
Chanduka anaweza kufa....
Nusraty akawaka kwa hasira na kuongea
“Binafsi wewe ni msariti mkubwa mjinga kabisa usiekuwa na haya.
Nawewe lazima ufe!"
Zinduna akujibu kitu akajipanga kupambana tu akaruka hewani kwenda kumvamia
Nusraty kitendo cha kumvamia tu akajikuta anatapika damu
Kumbe Nusraty kwa kutumia mkono wake wenye mikucha mirefu utazani reki akaweza kuupitisha mkono
Wake kwenye mwili wa
Zinduna ukazama ndani kabisa kisha akatoka na moyo wa
Zinduna. Dahaa ukawa ndio mwisho wa
Bibiye Zinduna mzimu uliotokea kumpenda
Chanduka ukajitolea kumsaidia kwa kila hali leo hii unapoteza maisha.
Nusraty akacheka sana kisha akautafuna ule moyo yani inatisha hii
Chanduka akiwa hoi taabani huku
Nusraty akimfata pale chini kwa nia ya kumuuwa
Ghafla kuna kitu kama radi sijui umeta kikapiga eneo lile kikamrusha mbaali
Nusraty akaenda kuanguka chini kwa kishindo na kujikuta akicheuwa damu
Kile kitu kikaingia mwilini mwa Chanduka akajiona anapata nguvu za ajabu kidume kikasimama
Sasa yuko (high voltage)
Akautizama mwili wa Zinduna na kujikuta akipiga ukelele wa ajabu
Zote zilikuwa hasira tu.
Baada kumuona Zinduna akiwa tayari ameshakufa
Nusraty nae akajampu kuja kumvamia
Chanduka akajikuta ananaswa kwa kukabwa roba nzito japokuwa
alijitahidi kujitoa akashindwa maana roba ilikuwa nzito kupitiliza
Nusraty akabaki kupapatika utafikili kuku kishingo
Kanasa kwenye ringi.
Ghafla kitu kikasikika kulia kohoo
Nusraty akatoa macho na urimi nnje kumbe tayari ameshavunjwa shingo
Hakuna cha mzimu wala nini
Chanduka baada kufanya kitendo kile cha kumvunja Nusraty shingo akastuka kama vile mtu aliyetoka
usingizini baada kumwagiwa maji ya baridi..
Akajikuta analia kumlilia
Nusraty hakutegemea kama atakuja kumuua wakati
Nusraty ameshakufa kitambo tu.
Sijui afe Mara ngapi,,,,,,,"
Tutoke kule kuzimu tuje huku kwenye dunia yetu hali ya hewa ikaweza kurudi kama awali watu wakaingia kwenye miangaiko yao kama kawaida
Huku
Salma akimtafuta Chanduka kila kona ya jiji asiweze kumpata hatimae miezi mitatu ikatimia pasipo Chanduka kuonekana
Sikuhiyo usiku akiwa amelala akaota ndoto ya kutisha baada kumuona
Chanduka akiwa kwenye kitu kama yai hivi akiangaika kutafuta sehemu ya kutokea.
Alikuja kustuka jasho likimvuja
Kesho yake Asubuhi na mapema akafunga safari mpaka magomeni kwa Shekhe mmoja hivi
Akaelezea shida yake. Yule shekhe akasoma aya kazaa na kusema
“Hakika mtu wako yupo kwenye mateso makubwa sana!"....yani ameweza kujitolea nafsi yake kwa ajili ya kupambana na Mizimu, sasa basi huko alipo hawezi kutoka kamwe maana mwenye funguo ya huko ameshakufa!"
Salma machozi yakaanza kumtoka mwishoe akaangua kilio huku akimuomba Shekhe aweze kumsaidia
“Hiii...nisaidie Shekhe wangu..ili Chanduka aweze kutoka huko kwani ndio thamani pekee ninayo itegemea..
Shekhe akamtizama Salma kwa muda kisha akamwambia
“Sawa nitakusaidia binti"
Salma akajifuta machozi akakaa vizuri na kumsikiliza Shekhe atasemaje.
“Sasa naomba unisikilize kwa umakini sana binti"
Salma akaitikia sawa,
“Kuanzia sasa hutakiwi kuwa na hii minywere ya kishetani kichwani kwako sijui wigi au nini hutakiwi kutembea kichwa wazi tena usinywe pombe usivae mavazi ya kiume
Simamisha swala tano kwa kila kipindi achana na mambo ya kipumbavu yote fanya ibada usiku na mchana Muombe Mwenyezi Mungu aweze kumfanyia wepesi mtu wako aweze kutoka salama huko!",,,,,
Salma aliweza kuitikia kila neno alilo ambiwa akatoka kwa nyumbani kwa Shekhe akaenda Saloni akanyoa nywere zake na kuziacha
Ndogo akaenda kununua
Madera nikabu baibui na tasbihi kwa Msahafu akarudi navyo nyumbani kwake jumba lote kabaki peke yake hakuna hata panya.
Akaanza kufanya ibada usiku na mchana yani aliamka usiku saa nane akafanya toba ya kumuomba Mwenyezi Mungu aweze kumsamehe madhambi yake akawa anaenda msikitini kujifunza kusoma Qur'an japokuwa alikuwa mtoto wa kiislamu hakuwai kuingia Madrasa udogoni kwake
Maisha yakazidi kusonga hatimae mwaka mmoja umetimia
Ndani ya nyumba kuliweza kuchangamka baada
Salma kuleta ndugu zake kutoka kijijini jumla ndani ya nyumba hiyo kulikuwa na jumla ya watu sita Mama zake wadogo wawili na baba mdogo kaka zake yani upande wa Mama zake wadogo na wadogo zake basi furaha ikalejea ndani ya nyumba
Salma siku hiyo akiwa maeneo ya super market pale tangi bovu akaweza kugongana na kijana mmoja hivi handsome boy na kujikuta mfuko alioubeba wenye bidhaa ukidondoka chini.
(I'm sorry) Dada yangu"
Alitamka kijana huyo huku akiinama na kuokota vile vitu akaviweka kwenye mfuko na kumpatia Salma
Macho yao yakagongana kuna ishara furani hivi ikajengeka kwenye mioyo yao.
Salma siku hiyo hakuweza kulala aliwaza tayari yupo kifuani mwa yule handsome kumbuka maisha yanaenda kasi sana.
Salma uvimilivu ukamshinda na kujikuta akijenga mahusiano mapya na kijana yule Anaekwenda kwa jina la Cloud.
Baada hatimae miaka miwili ikatimia
Salma akiwa kwenye penzi motomoto akaweza kumsahau
Chanduka kwani Cloud alikuwa ndio kila kitu kwake pasipo kufahamu kumbe ni Jambazi hatari sana.
Salma akiwa sebureni anakunywa chai gafla mlinzi akaingia ndani.
Kila mmoja akamtizama
Salma akamuuliza
“Vipi tena mwenzetu unakuja mbiombio kutaka kustuana au.
Kabla hajamaliza kuongea wakastuka baada kusikia geti likilia buuhu,,,,,
Kila mmoja akauliza kwa mshangao nini?
Geti likazidi kulia kwa kupigwa
Mlinzi akasema huku akiwa na kitetemeshi...
“kuna chizi huko nnje boss"
Cloud akasimama na kusema huku akitoka kwenda nnje
“pumbavu zake naenda kumvunja kiuno kama yeye chizi Mimi kichaa...
Akafungua mlango wa geti na kumuona yule chizi akitafuta mawe akaenda kumtia zinga la teke ajabu yule chizi akakwepa kwanza alikuwa kampa mgongo sijui alijuwaje
kama kuna mtu anakuja nyuma yake kumpiga.
Cloud akacheka maana hakutegemea chizi kufanya kitendo kama kile akamsogerea
Ampige kofi akajikuta anadakwa na kuvunjwa mkono
Cloud akapiga yowe zito la maumivu kabla hajasindikizwa na teke kutoka kwa yule anaesemekana ni
Chizi
Salma na ndugu zake wakatoka mbiombio baada kusikia kelele
Za Cloud na kumkuta akiwa amelala chini huku damu zikimtoka
Salma kwa gadhabu akajipanga kumvamia yule chizi
Huku akimtusi.
“m****nge...mamaye zako....utampigaje mume wangu...nakuuwa nasema"
Akarusha Kofi mkono ukadakwa kisha akavutwa mbele ikawa face 2 face wanatizamana
Salma akastuka kumbe ni
Chanduka dahaa...
Kwa sauti ya kuunguruma...
Chanduka akaanza kuongea kwa kusema
“Sijaja hapa kufanya fujo nimekuja hapa kutoa shukrani zangu kwako hakika nilikuwa katika hatua za mwisho kuishi katika dunia hii kupitia sala zako maombi yako yakaweza kunitoa kule kuzimu japokuwa ilichukuwa muda mrefu sana Mimi kurudi duniani.
Maombi yako yakazidisha nguvu na wepesi wamie kurudi huku
Salma ulishindwa kuwa na subira kabisa ndio ni haki yako kufanya hivyo kama uliweza kukaa wewe na
Nusraty miaka zaidi ya mitano kuningojea Mimi umeshindwaje kuningojea tena?........
Kaa utambuwe
Chanduka amerudi tena nitakuja kuhudhuria ndoa yako,,,,,,"
Salma kwa sauti ya kilio akapaza sauti kwa kuongea
“hapana Chanduka usiseme hivyo usiniache kwa kosa hili.nitakufa eti,,,,,,sitaki kuolewa na huyu simpendi kabisa nihurumie mpenzi wangu. Kumbuka tumetoka mbali sana
iweje uniache kwa kosa moja?"
Ving'ora vya magari ya police vikasikika mwishoe defender kama mbili zikafunga break eneo hilo na
Kamanda wa kikosi akauliza pasipo kutoa Salamu
“yuko wapi huyo chizi japokuwa kimavazi alionekana Chanduka ajabu
Salma akamuonyesha
Cloud ila mapolice wakamkamata
Chanduka sema Afande mmoja akastuka na kujikuta akipiga saruti huku akisema
“heshima yako mkuu Chanduka",,
Kila Afande akapiga Saruti baada kumtambua
Yule sio chizi ni kamanda wa kikosi aliyepotea miaka miwili iliyopita.
Cloud akajikuta anabebwa yeye ikaja kubainika kumbe ni jambazi sugu aliyekuwa akisakwa kwa udi na uvumba
Chanduka akaweza kufanyiwa Sherehe kubwa sana
Na ikawekwa siku maalumu ya kuadhimisha siku ya
Chanduka
Chanduka alikuwa na mengi ya kuongea katika Sherehe hiyo
Bibiye Husnaty kina Hisra alikuwepo pia
Salma nae.
“Kwanza kabisa sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu muweza wa yote kisha nitoe shukurani zangu za dhati kwa wazazi wangu.
Hakika history yangu inasikitisha kuhuzunisha kufurahisha!"
Basi Chanduka akaweza kusimulia history nzima ya maisha yake wakati akisimulia kuna muda watu walilia kuna muda watu wakacheka hakika ilikuwa kama kituko tena ajabu baada Chanduka kusema aliweza kutia mimba wanawake kama tisini hivi kwenye kisiwa kimoja huko Brazil
Kuna wengine wamejifungua mapacha yani sijui anawatoto wangapi kudadeki
Salma alicheka
Mpaka akajikuta analia dahaa
Sherehe ilikuwa kubwa watu walikula wakasaza
Chanduka akapewa cheo kikubwa sana yani kuwa mkuu wa majeshi nchi nzima akaweza kupewa zawadi kibao na kupewa ulaiya wa nchi mbili yani Brazil na Tanzania kwani Wakuu wa nchi mbalimbali waliweza kufika
Kuja kushuhudia
Tukio la kihistory
Raisi kutoka Brazil akapeana mikono na.
Chanduka wakakumbatiana.
Kwa furaha.
Chanduka hakuweza kujua amuoe nani. Wakati tayari anamke kutoka Brazil bibiye Husnaty
Salma akakubali kuwa mke wa pili
Nae akaolewa
Chanduka akaweza kupeleka misaada kibao kila kijiji hapa nchini
Binafsi akawa ni mkombozi kwa wanyonge
Chanduka akasema hivi
“Niwepo Brazil au Tanzania popote pale nitapambana kuitetea dunia Niko hapa
Na my wife number 3 Hisra katika visiwa vya Bama tunakula bata
Huku Salma nae kitumbo ndii....
Ameshashiba ujiii....
Ha!ha!ha!ha!
****MWISHO***
Kutoka mzoa takataka mpaka kuja kuwa shujaa mwenye kuheshimika kuna mengi kapitia Kamanda wetu huyu binafsi huwezi juwa wala kutambua kesho utakuwa nani maana kuna, wengine wanaondoka duniani pasipo kukamilisha ndoto zao
Chanduka katufunza mambo mengi sana pambana ujenge heshima
Huu ndio MWISHO wa story hii