Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
- Thread starter
- #41
CHANDUKA (22)
AGE 18
BY HAFIDHI J IKRAM
WHATSAPP
0675082390
--------------
Bibiye Husnaty hakuwa na jinsi zaidi ya kujiandaa aondoke hapa nchini arudi nyumbani kwao Brazil.
ndani ya uwanja wa kuna mabinti kama wawili hivi wameongozana
hatimae wakaingia ndani ya ndege KLM tukiachana na hao tunamuona Bibiye Husnaty nae akiwa na
Mkuu wa jeshi la police akiwa kamsindikiza hii ni baada ya wiki moja sasa.
Tokea litokee tukio lile
La Chanduka kuchafua jiji
Husnaty mchozi ukamtoka na kusema
“najuwa naondoka kurudi nyumbani bila kuweza kuonana na Mume wangu kipenzi Afande kama ukibahatika kumuona mwambie nina mimba yake!"
“Sawa usijali bibiye nitaweza kumfikishia huo ujumbe kingine simchukulii kama ni muuwaji kutokana history niliyo pewa inasikitisha sana dahaa.
SONGA NAYO SASA
ENDELEA
Husnaty aliongea kwa uchungu sana
kwani anaondoka bila kufahamu mumewe Chanduka
yuko wapi kwa sasa nahuko alipo yupo katika hali gani ni mzima au amekufa maana nchi nzima inamsaka. Yule mkuu wa jeshi ikabidi awe na kibarua cha kumbembeleza kwa kumtoa hofu
“usijali Bibiye utakiwi kulia
ukiwa katika hali hii unaweza kukiletea matatizo kiumbe kilichoko tumboni kinacho takiwa wewe kwenda nyumbani. Kuhusu swala la Mumeo niachie Mimi
kila kitu kitakuwa sawa tu.
Husnaty hakuwa na jinsi zaidi ya kuagana na Kamanda yule.
Akapandisha ngazi juu ya ndege akaingia na kwenda kukaa kwenye siti muda wote macho yake dirishani huwenda anaweza kumuona mumewe mpendwa mpaka ndege inapaa angani mchozi ukabaki kumdondoka tu.
Makao makuu ya uwanja wa ndege kwenye kitengo maarumu walikuwa wakipitia pitia video kazaa kuhusu abilia walioingia na kutoka siku hiyo mkuu wa kitengo akajikuta anasema
“embu stopisha hii video!"
basi ikastopishwa akasema embu zoom
ile picha ikavutwa kwa karibu zaidi na mtaaramu wa I.T baada kuivuta akaifanyia maujanja flani hivi
Ajabu kumbe kati ya wale Madada wawili mmoja wapo alikuwa Chanduka dahaa
Mkuu wakitengo akajikuta anasema shit! yani huyu mwanaharamu kashaondoka hapa nchini tena kizembe hivi.
Maisha yakawa ya huzuni sana katika familia ya marehemu Mzee furqan
Mkewe mwili wake ulipooza ghafla na kuwa kama mtu aliyeshikwa na ugonjwa wa degedege.
Usiombe kuwapoteza watu muhimu kiukweli Nusraty na Baba yake
walikuwa kama nembo ya familia hii.
Salma akiwa nyumbani kwake amekaa akiwaza na kuwazua
itakuwaje katika maisha haya
ataishi vipi bila Nusraty
Maana yeye ndio alikuwa kila kitu katika mustakabari mzima wa maisha yake. Leo hii amemuacha ghafla bila kumwambia kauli ya mwisho
Salma akabaki kudondosha machozi tu.
Kwa upande wa bibiye Mitchell tuseme Alhamdulillah hali yake iliweza kutengemaa akaweza kuruhusiwa kutoka hospital. Akaitaji kwenda kuliona kaburi la boss wake kwakuwa wakati anazikwa yeye alikuwa kalazwa.
Basi wakampeleka
Binafsi alilia sana na kusema
“Nusraty Dada yangu kwanini umeamua kutusariti ghafla hivyo yani umeondoka peke yako bila kutuaga
Kwanini umetufanyia hivyo kumbuka kauli yako uliyotuambia
kama kufa tutakufa wote tutazikwa pamoja iweje leo hii uikane kauli yako!"
Dada mbona umetuacha peke yetu
Nakuahidi kuwa bega kwa bega kuakikisha nitamsaka huyo aliyesababisha kifo chako nitakuwa bega kwa bega na Dada
Salma sitoweza kumtenga nitamsaidia kwa hali na mari mpaka siku nitakayokuja huko ulipo.
Bibiye Mitchell aliongea maneno mengi sana akala kiapo
Cha kumsaka Chanduka popote alipo
pasipo kufahamu ndio aliyesababisha yeye alazwe kitandani wiki mbili
Baada mapambano makali kule diamond jubilee.
“Chanduka kwanini umefanya unyama kama huu hakika kamwe sitoweza kukusamehe kwa nini ulichukuwa maamuzi yasiyokuwa na busara hata kidogo. Chanduka nitakuuwa kwa mkono wangu sitojali kama wewe ni Baba wa mtoto wangu.
Nitakuuwa nasema subili na tuone bora usingerudi hapa Tanzania ungekufia hukohuko pusi wewe!"
Ni maneno ya bibiye Salma akiongea na picha ya Chanduka huku akiitoboa toboa kwa kisu alichokishika
Ghafla Saidi akaingia akiwa anahema na kusema
“hapana Mama huwezi kumuuwa Baba yangu kwanza hana kosa lolote kwanini utake kumuuwa?"
Salma akamkata jicho mwanae kabla ya kumkunja na kumwambia
“wee pusi nyang'au
hayo maneno ya kipumbavu unamwambia nani kenge wewe!"
Siku zote mtoto wa nyoka ni nyoka tu
Saidi japokuwa Mama yake kamkazia uso huku macho yamemuwiva nakuwa mekundu nae
akakaza false
Na kusema
“niko Tayari kuona nachinjwa sasa hivi ila sipo tayari kumuona
Baba yangu akifa nitalipa nasema!"
akajitoa mikononi mwa Mama yake akatoka zake nnje.
Salma akabaki kuduwaa tu.
Katika jiji la Shanghai nchini china
Kwenye super market moja hivi tunamuona bibiye Glory minja kama unakumbuka huyu ndie aliyemsaidia
Chanduka kumficha kama wiki tatu hivi zilizopita nchini Tanzania.
leo tunamuona yupo nchini China dahaa sijui wamefikaje ila ndio hivyo.
Basi akachukuwa mahitaji muhimu
baada kufanya malipo akatoka na kuingia ndani ya gari huyoo akaondoka
Ndani ya China town
kulikuwa na mapambano ya Merantau
kutoka kule nchini Thailand kwakina ong back
ndani ya ulingo tunamuona kamanda wetu Chanduka akiwasha moto
kwa kupiga style za ajabu.
baada kushinda mapambano kama matatu hivi akashuka ulingoni huku mashabiki wakimzonga zonga na kutaka sahihi yake basi akafanya kusain akapanda kwenye pikipiki yake huyoo.
Tanzania
Salma alipigiwa simu na Kaka yake Nusraty na kumuomba aje nyumbani mara moja kwani Mama anamuitaji Salma akatoka haraka haraka na kwenda nyumbani kwa kina Nusraty
Nyumba ilikuwa imepooza kinyama yani.
Salma akaenda kumsikiliza Mama yake
Nusraty akiwa kitandani inaitajika umuinamie utege sikio kumsikiliza yani sauti yake kama ananong'ona vile.
Salma akaita
“Mama"
Nae akapepesa macho baada kusikia anaitwa basi Salma akatega sikio akaambiwa mambo mengi tu.
Akatoka na kwenda Chumba alichokuwa anakaa marehemu Nusraty kabla ya kununua nyumba masaki.
Akaanza kufanya search kwenye
droo za kabati na kukutana
na moja kati ya counte book.
Akaanza kulipekuwa kwa kusoma maelezo ya mule ndani kumbe ni dayar ya maisha yake
Nusraty yani kila anacho kifanya lazima aandike humo
Salma akastuka baada kukutana na maneno flani hivi yanayo sema
Nitauwa Wanaume wote pasipo kujali huyu nani wala nani nitakuwa nikiacha arama ya Chandu kwa kila nitakaye muuwa hii yote siwapendi Wanaume
Sijui huyu Chanduka
anakitu gani cha ziada mpaka kaniteka hivi hakika nampenda namjali ipo siku naweza nikafa kwa ajili yake sipo tayali kumpoteza.
Salma akabaki kujiuliza inamaana
Nusraty alikuwa anauwa kwa sababu ipi hasa.
Akakosa jibu ikabidi aendelee kuangalia kurasa zingine na kukutana na maelezo mengi tu yakutisha
Binafsi kumbe marehemu
Nusraty hakuwa anauwa kisa Chanduka
Ni unyama aliotendewa katika usaliti wa mapenzi ndio ukampelekea kufanya hivyo.
Salma akatoka na ile dayar akaaga na kwenda nyumbani kwa marehemu maeneo ya masaki alipofika huko akapokelewa vizuri na three sisters
yani madada watu
Ubaya wa Nusraty alinunua nyumba masaki pasipo ndugu yake hata mmoja kufahamu zaidi ya shogaake
Salma.
China
Baada Chanduka kutoka kwenye mapambano akaweza kupokelewa kwa Kong fu na Babu mmoja hivi ikawa piga nikupige yule Mzee akadank na kwenda kutua juu ya pahaa la nyumba
Chanduka nae akadank na kwenda juu
Zikaendelea kupigwa tu
mpaka yule mzee akaomba poo
Chanduka kuongea kichina hawezi basi kwa kutumia ishara tu
Wanaelewana.
Akaingia ndani na kupokelewa na bibiye Glory ameshakuwa kipenzi chake.
Wakapigana mabusu kisha akaingia chumbani akiwa chumbani Chanduka
Mawazo mazito yakamsonga kuhusu kusababisha kifo cha mtu ampendae hakujuwa wala kufahamu kama hilo litatokea.
Kichwa kilimuuma hakufahamu nini hatima ya maisha yake
kama nchi aliyozaliwa na
kukulia inamsaka kwa kosa
la mauwaji je atawezaje kuishi ndani ya nchi hii yakigeni sijui wanakula chura nyoka konokono na vinginevyo
ambavyo nyumbani kwao Tanzania wanaona kama kinyaa
Mlango ukafunguliwa na bibiye Glory akaingia akiwa na sinia yenye mazagazaga kibao tu
“vipi Bby unaonekana kama unamawazo tele kichwani vipi unawaza nini wakati Mimi nipo!"
Chanduka akamtekenyenya kwenye mbavu nyanga
Glory akastuka nusunusu adondosha sinia
Chanduka akamdaka na kunyonya denda
Mmmmm,,,ohoooo,,,Glory akaanza kutoa miguno baada Chanduka kilichomoa embe boribo moja na kuanza kulinyonya
Glory akabaki kujinyonga nyonga tu ahaaaaa,,,,babiiii,,,tuleeee,,
,kwanzaaa,,,aaaaahaaa,,,assssss...
Tanzania
Salma hakupendezwa na kauli aliyomtolea mwanae alijiona ni mkosaji kwa kile alichomfanyia mwanae akaitaji ikabidi amtafute ili aweze kuongea nae vizuri
akaenda sehemu ambayo mwanae anapendaga kucheza hayupo akawauliza watoto wenzie wakajibu hawajamuona.
Basi akaenda Madrasa anaposoma
huko akapewa jibu ambalo lilimstusha kidogo akatoka mbiombio sijui anaenda wapi ila
akajikuta anafunga break ghafla miguu ikashikwa na ganzi akashindwa kutembea kwenda mbele akabaki kutetemeka tu.
Midomo ikimcheza dahaa
Saidi akiwa ameshikwa sijui na mzimu au vipi ni Mwanadada aliyetinga baibui jeusi na kuvaa nikabu kama Ninja
Vile kamuwekea kisu Saidi shingoni
Sauti ikatoka yenye kuunguruma
“hapo hapo ulipo ukipiga hatua moja mbele nakata kichwa
Hiki damu yake ni halali yangu!
Je nini kitaendelea?
Chanduka yuko kwa kina Jet lee anakula bata huku mwanae ndio anatakiwa kuchinjwa japo atambui kama amezaa na Salma huyu muuwaji anayetaka kumuuwa Saidi ni nani?" kwanini anataka kumuuwa!"