Phazo Khan
Member
- Aug 26, 2019
- 70
- 80
Mwenetu ndi basi tena au..?
Atakuwa na yeye ameingia shambani kwa mzee mtataMwenetu ndi basi tena au..?
sijatamani ila siziaminiUshazitamani ee?
Usisahau kuleta mrejesho humuNikiwq mkubwa nataka kua kama lucas
Pia wakitaka kuachia movie naomba wanipe character ya lucas...sihitaji malipo hata mia
,,,,Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 31
Kati ya watu walikuwa na huzuni ya kumkosa Lukas ni Zubeda,hakula wala kufanya chochote,na kama tunavyomjua hana uvumilivu,moja kwa moja akaongoza njia mpaka kwa shoga yake Zahara!
Zahara alipomuona tu alijua tu kutakuwa na tatizo,maana sura aliyoingia nayo siyo kama kawaida yake!
“Shoga vipi una msiba!”,aliuliza Zahara!
Bila kusema neno Zubeda alikaa akashika shavu,jambo lile lilizidi kumtia shaka Zahara!
“Vipi shoga tunatishana,kuna msiba?”
“Bora msiba!”
“Sasa ni nini eti?”
“Mgeni!”
“Mgeni!!!Mgeni kafanya nini ?kaondoka?”
Zahara alishtuka hadi Zubeda akajiuliza kuna nini mbona shoga yake kapata mshtuko namna ile!
“Vipi kwani mbona umeshtuka sana?”
“Mhh..ha..hamna sasa si shem nisishtuke iyo vipi?”
“Basi ndiyo ivyo shemeji yako ana matatizo!”
“kafanya nini?”
Zubeda alimsimulia kila kitu Zahara kuanzia mwanzo mpaka mwisho,na kwamba mpaka sasa mgeni yupo kwa mganga Mzee Mtata!
“Sasa sikia tunaenda kwa huyo mzee!”,alisema Zahara kwa kujiamni!
“Wewe Zahara huogopi?”
“Niogope nini?mi nakuhurumia shoga yangu najua unampenda twende hata ukamuone!”
Zahara alisema huku moyoni mwake akiumia sana,sababu hata yeye alimpenda sana mgeni,Zubeda aliamua kuongozana na rafiki yake kwenda kwa mganga hasijue kama wanashea bakora moja!
Walifika wakapokelewa na kuulizwa shida yao,walisema wana mgonjwa wao pale,ndipo wakapelekwa moja kwa moja kwa mzee Mtata!
“Karibuni!”
“Ahsante baba shikamoo!”
“Marahaba Zubeda umekuwa sasa,ulikuwa mtoto juzi tu!”
“Ahsante baba!”
“Vipi ujio wenu huu niwasaidie nini?”
“Sisi tumekuja kumuona kaka yetu aliyepotelea kwenye shamba lako wakati anachunga!”
“Kaka yako?mbona mama yako kasema kaka yake ina maana wewe na mama yako mmezaliwa tumbo moja?”
“Aaaaah!nimesahau mjomba ni mjomba!”
“Sawa mtamuona ila bado hajakaa sawa tegemeeni chochote!”
Walichukuliwa mpaka kwenye kile kijumba alichomo Lukas wakamkuta kakaa kainama hana habari,kwa furaha Zubeda akamrukia na kuanguka naye kwenye ngozi ile ya ng’ombe!
“Nimekumiss mpenzi jamani mwaah!”
Zahara alihisi wivu lakini alivumilia tu maana akionyesha itakuwa vita kubwa na shoga yake,kilichowashangaza ni Lukas,hakuonyesha kufurahia wala kutabasamu alikuwa anashangaa tu!
“Lukas!”,aliita Zubeda baada ya kuona mgeni amchangamkii!
“Wewe ni nani?mimi naitwa Lukas!”
Kauli zake ziliwaacha hoi moja kwa moja wakajua Lukas hakuwa na kumbukumbu zozote,mpaka hapo hajui chochote!
“Lukas mimi Zubeda!mpenzi wako!”
“Mpenzi!!mi nina mpenzi?”
Machozi yalimtoka Zubeda akamuachia Lukas akaanza kulia kwa sauti kubwa,Zahara naye alishindwa kujizuia akawa analia kwa uchungu,kiufupi hakukuwa na wa kumbembeleza mwingine!
Walikuja kutolewa baada ya kuona kama wanamfanyia fujo mgonjwa anayehityaji utulivu ili kurejesha kumbukumbu zake!
Moja kwa moja Zubeda akaongoza mpaka kwa mzee Mtata akaingia kilingeni bila hata hodi,akamkuta yuko na mteja,machozi yaliufunika uso wake!Zahara alijaribu kumzuia akashindwa!
“Baba!msaidie mjomba wanguuuu…msaidieeee!”
“Zubedaaaaa,usinivurugeee nipo kazini nitakugeuza bata saivi!”
“Nigeuze hata kunguru mjomba wangu apone!”,Zubeda alijibu kwa ujasiri mpaka Zahara na yule mteja aliyekuwa mle ndani wakashika kichwa,kwa wanavyomjua mzee Mtata duh!
Mzee Mtata alimuangalia kwa hasira Zubeda kisha akatoa amri wengine watoke nje wamuache yeye na Zubeda,Zahara alitoka akijilaumu kumleta pale Zubeda ambaye sasa amejitafutia matatizo makubwa kwa kubishana na Mzee Mtata!
JE NINI KITAENDELEA?MZEE MTATA ATAMGEUZA ZUBEDA KUNGURU!
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 32
Hakuna aliyejua ndani ni nini kinaendelea,japokuwa kila mtu alimsikitia sana Zubeda kwa kosa alilolifanya,Zahara alikuwa nje anatetemeka kwa hofu,hakujua angeenda kusema nini kwa mama Zubeda endapo itatokea amepatwa na kitu kibaya!
Ndani baada ya wote kuondoka na kumuacha mzee Mtata na Zubeda,cha ajabu mzee Mtata alibadilika ghafla na kuonyesha tabasamu badala ya ukali!
Jambo lile lilimshangaza sana Zubeda akajiuliza imekuwaje mzee Mtata kawa mpole ghafla?
“Unamtaka Mjomba wako?”
Lilikuwa ni swali la kwanza kutoka kwa Mzee yule mtata kama jina lake,Zubeda alitikisa kichwa kuashiria kukubali!
“Sawa kuna mchezo tunatakiwa tucheze!”
“Mchezo gani?”
“Wa nipe nikupe!”
“Sijakuelewa baba!”
“Yani huelewi vipi hapo?namaanisha yaniii unanipa naniii tu chapchap kisha unampata mjomba!”
“Baba yani unataka uniiiii,we si sawa na baba yangu lakini!”
“Ni sawa ila siyo baba yako!”
“Hapana siwezi baki nae tu!”
Zubeda aliamka kwa hasira akamkuta Zahara nje akamshika mkono na kuanzxa kumvuita ili waondoke!
“Tuondokeee!”
“Kasemaje kwani?”
“Bhana tuondoke muache amchinje amle nyama!”
Zahara hakuwa na namna aliondoka na rafiki yake huku akiwa na shauku ya kutaka kujua Mzee Mtata kasema nini?
***********
Wake wa Mzee Mtata walishaandaa mipango yao,Chiku mke mkubwa yeye ndiye alikuwa anaongoza kundi lile,alijua moja kwa moja mzee Mtata atakuwa kamfanyia dawa yule mgonjwa jogoo wake hasiwike!
Kutokana na kuwa karibu sana na mzee Mtata kwa miaka mingi,tayari alishajua madawa mbalimbali ya kutibu watu!
Kwake haikuwa ngumu kumtibu Kukas ili awape raha,alichokifanya alivizia wakati ambao mzee Mtata ametoka kilingeni,aliingia akachukua dawa aliyoitaka kisha akatoka!
Moja kwa moja akaenda kwa Vero ambaye ndiye mwenye kibarua cha kufanya mapenzi na Luka baada Lole kufeli!
“Naomba ustuangushe!”
“Siwezi yani hapa nawashwa hatari,siwezi kufeli mi mwenyewe nimemiss kufanya mapenzi niridhike!”
“Kazi kwako nimesikia ana kombola kama bunduki ya mkoloni”
“Ndo naitaka hiyo!”
“Hapa ushindwe mwenyewe!”
Chiku aliondoka na kumtakia ushindi Vero kwenye kibarua chake cha usiku,Vero alibaki anaombea kukuche mapema ili akabanjuke na mgonjwa!
Hayawi hayawi mwisho yakawa,ule muda Vero aliusubiri kwa hamu ukafika,alichungulia baada tu ya mumewe kuzama kwenye nyumba ya Chiku mke mkubwa maana ndiyo zamu yake,na yeye akazamia kwenye kijumba cha mgonjwa!
Alimkuta Lukas amejilaza hana habari,alikuwa kifua wazi na pensi yake,kilichomsisimua Vero ni baada ya kuiona bakora ya Lukas ikiwa imelala imejitokeza nje ya pensi!
“Hiiiiii huyu kaka jamaniiiii kumbe kweliiiiii?”
Alisema Vero kwa pupa akachukua kichupa kile cha dawa akamvamia Lukas kitandani moja kwa moja akajipaka ile dawa akaipaka mikononi na kuanza kuichua bakora ya Luka!
Luka akiwa usingizi alihisi uwepo wa mtu mkle ndani,alishtuka kumkuta Vero anahangaika na bakora yake!
Alijua moja kwa moja ni yule yule mdada aliyekuja usiku,alibaki anamuangalia tu lakini kiukweli hakuhisi kitu chochote kabisa!
Vero aliipaka dawa ile bakora hadi akachoka,jogoo bado aligoma kuwika,mwisho alichoka akakaa pembeni akimuangalia Luka kwa matamanio,ni kweli alimtaka lakini tatizo hasimamishi!
“We kaka,kwani we ni shoga!”
“Sijui!”
Vero hakuamini kama kweli anaenda kuikosa bakora ile,alitamani hata aishike fanye vilevile ikiwa imelala!
Ghafla kuna kitu alikumbuka,alikumbuka Chiku alimwambia maneno fulani ya kusema ndiyo ampake dawa!
Alikurupuka akachukua kile kichupa akaanza kuyataja yale maneno kwa ufasaha kisha akamsogelea Lukas,akaishika bakora akaichua kisha alipomaliza akasema yale maneno tena!
Baada ya dakika mbili bakora ilianza kusimama na kukaza misuli mpka ikasimama kabisa,Vero alitaka kuzimia kwa furaha,alimrukia Lukas wakaanguka chini!
JE NINI KITAENDELEA?JOGOO KAWIKA MZEE MTATA KIUFUPI ATAJUTA!!
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 33
Furaha ya Vero ilionekana dhahiri mara baada ya kuona mashine imesimama tena imekaza kweli,kiufupi ilikuwa ni kama mtu mwenye njaa kali ghafla anaona chakula tena kizuri!
Maisha ya Mzee Mtata ni kama yalikuwa ya kitumwa sababu hata kuolewa kwao ni kama Mzee Mtata aliwachota akili,wake wote wa Mzee Mtata ukiwauliza waliolewaje na yule mzee hawajui!
Kiufupi hazikuwa akili zao na kwa lugha nyepesi ni kuwa mzee Mtata aliwafanyia uswahili,inamaanisha Mzee Mtata akimtaka mwanamke anamroga ili ampate!
Vero alikuwa na kiu kikali,wakati anaolewa na yule mzee alikuwa na mpenzi wake aliyempenda,lakini hata yeye haelewi alimkataa vipi na kukubali kuolewa na mzee huyu Mtata!
Tangu aolewe hakuna siku amepata kufurahia mapenzi,Mzee Mtata hajui chochote kuhusu maandalizi na kingine ambacho ni kibaya zaidi ana kibamia!
Vero alimrukia Lukas ambaye ni kama hakuwa na maamuzi yoyote,kwake kila kilichotokea aliona sawa tu!
Kwa pupa Vero alianza kumlamba shingoni Lukas amabaye mwili wake ulikuwa unanukia madawa ya kienyeji kutokana na kuogeshwa madawa kila siku!
Aliishika bakora muda huo alishazitupa nguo zake mbali,hakutaka kuchelewa asali yake ilikuwa imevujia tayari na kutoa utelezi unaomkaribisha mlinaji ndani kiurahisi!
Alimkalia Lukas baada ya kumuona yupo yupo kama zoba tu,aliishika bakora akataka kuiingiza kwa pupa pangoni,lakini aligundua asali yake imekuwa ndogo kutokana na kukaa muda mrefu bila kukutana na mikikimikiki ya nguvu!
Ilibidi apunguze pupa na kuizamisha taratibu bakora ikazama japo kwa tabu,raha aliyoisikia wakati tu bakora inaingia ndani ilimfanya amwage machozi ya raha!
“Ooooooshiiiiii…!”
Taratibu alianza kukizungusha kiuno taratibu akipanda na kushuka,alijipimia saizi yake kwa raha zake!
Uso wake ulikuwa unamwaga machozi tu,Vero alikuwa ananyonga kiuno huku analia!alionekana kujutia kuwa mke wa Mzee Mtata!
Raha kama zile anazikosa sababu ameolewa na mzee Mtata,mganga mabaye amaeshindwa kabisa kujiganga!
“Mhhh!aaaahhhhh!tamuuuuuu aaaaahhhghhhh nakojoaaaa mimi mamaaaa maamaaaa maamama nakufaaa uwiiiiih!”
Vero aliongeza kasi ya kunyonga kiuno chake na muda huo aliiruhusu bakora iingie yote bila kujali ukubwa wake!
Aliizungusha nyonga kama anacheza sebene la kikongo,sauti aliitoa machozi yalimtoka na kujikuta anavunja dafu na kutulia kifuani kwa Lukas huku anahema kwa kasi!
Lukas ni kama akili zake zilikuwa zinarudi kwa mbali,ufahamu wake ukawa unakuja na kupotea,alikuwa anakumbuka kitu kisha kinapotea!
Vero alikuwa ametulia tuli anavuta nguvu ili aanza tena kasheshe zake,ghafla alishtuka baada ya Luka kumshika kiuno chake na kuanza kumpapasa!
“Hiii wewe?umepona?umekumbuka kitu?”
Lukas hakujibu kitu ndiyo kwanza alimpindua Vero na kumlaza kifo cha mende,Vero alishangaa sana maana aliamini yule mgonjwa hajapona ivyo kila kitu atafanya yeye,sasa kule kupinduliwa na kulazwa kifo cha mende kulimshangaza!
Lukas alimuweka kifo cha mende kisha akaanza kumnyonya chuchu zake,kiufupi akili za lukas zilirudi kwa asilimia sabini!
Aliamua kumpa yule mke wa mganga dozi zake za bao tatu ambazo akikupa lazima ukasimulie wajukuu zako!
Kilichofuata baada ya hapo ni sauti ya kilio kisicho na mwisho,Vero alilia mpaka sauti ikakata,alivunja madafu mpaka yakaisha mnazini,Lukas alikuwa katika ubora wake!Lukas karudi!
*********
Mzee Mtata alikuwa ndani ya nyumba ya mke mkubwa akifanya yake,Chiku ni kama alikuwa anamsubiri avunje dafu basi alale,maana hakuna alichojisikia,mumewe alikuwa mbinafsi katika mapenzi anataka ajifurahishe yeye!
Kitendo kile kilikuwa kinawakera wake zake,maana akivunja dafu lake tu analala tena na kukoroma juu!
Mawazo ya Chiku hayakuwa hapo,alikuwa anamuwaza mke mwenzake ambaye ana imani huko alikuwa anapata dozi ya uhakika!
Alitamani kukuche mapema maana siku inayofuata ni zamu yake kuliwa na yule mgonjwa ambaye inasemekana abna bakora kama rungu la komredi kipepe!
Mzee baadab ya kushusha vitu vyake alitulia akajilaza pembeni akimuacha Chiku ana hasira sana,alichukia maisha yale,ni miaka mingi sasa amekuwa akiishi maisha yale!
Mzee Mtata ni kama machale yalimcheza alihisi kama nywele zinzmsisimka na hali ile humtokea kama kuna kitu kinafanyika ambacho siyo kizuri!
“Mkewangu!”,alimuita mkewe!
“Abee!”
“Ebhu tutoke nje!”
“kuna nini mume wangu jamani!”
“Nahisi kuna kitu kinafanyika kwenye ngome yangu ambacho si kizuri!”
Moyo wa Chiku uliingia hofu kubwa akajua mumewe amehisi Vero anachepuka kitu ambacho ni hatari sana kwake pamoja na mgonjwa!
JE NINI KITAENDELEA?ITAKUWAJE MZEE MTATA AKIMFUMANIA LUKAS?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 34
Lilikuwa ni jambo la ghafla sana kutokea,Chiku hakuwa amejiandaa kwa hilo!ilikuwa ni hatari sana kwa Vero kama akifumaniwa na mzee Mtata!
Kufumaniwa kwa Vero kunamaanisha pia ni mwisho wa Lukas,kama ni mwisho wa Lukas ina maana kwamba Chiku na wenzake waliobaki hawatapata penzi la Lukas,jambo ambalo hakukubaliana nalo kabisa!
“Mume wangu una nini leo?”
“Sielewi nahisi ngome yangu inachezewa!”
“Ivi mume wangu ulivyo jabali kweli unawaza kuna mtu wa kukuchezea hapa kijijini?au hujatosheka mume wangu nikuongeze!?”
Ilikuwa lazima akili ya ziada itumike ili kumzuia mzee yule kutoka nje,Chiku aliongea huku anampapasa mzee kifuani!
“Lakini nahisi kuna kitu!”
“Mume wangu usinambie nguvu zako zimeisha mi navyoamini hakuna wa kuingia kuleta fujo hapa!”
“Kweli eeh?”
“Mume wangu wewe ni jabali hapa,na hata mi mwenyewe najivunia kuwa na mume kama wewe!”
“Ila kweli hakuna wa kunichezea Mtata,tulale mkewangu!”
Samson alisalimu amri sembuse Mtata,hiyo ndiyo nguvu ya mwanamke,wanasemaga hakuna mkate mgumu mbele ya chai,kwa mara ya kwanza mzee Mtata akazisaliti hisia zake ambazo zilikuwa za ukweli!
Kama angetoka na kukagua ni wazi Lukas na Vero wangekuwa matatani siku ile,na kwa roho ya yule mzee sijui angewafanya nini?
*********
Kulikucha Mzee Mtata akaelekea kilingeni muda huo Chiku alishaamka alishaamka wamejikusanya na wenzake wanamsubiri Vero aamke!
Walisubiri sana siku hiyo hawakuona mtu mpaka inafika saa nne bado Vero alikuwa hajaamka!
“Jamani huyu Vero ebhu kamwangalieni!”,alisema Chiku!
“Ngoja mi nimpelekee mgeni dawa na chai nimuone kwanza au kapitiwa yuko huko?”
Alisema Lole wakamruhusu akaenda kwa mgonjwa,alimkuta Luka kalala,na kilichomshangaza ni kuona shuka limetuna kwa mbele,jambo lile lilimpa uhakika kabisa kuwa Vero alipata dozi ya uhakika!
Alijkuta damu inaenda mbio mate yakamtoka akatamani aipate bakora muda ule,lakini isingewezekana,kumsaliti mzee Mtata akiwa kwenye kilinge chake ni sawa na kwenda kujisaidia kwenye kambi ya jeshi!
Aliweka vile vitu kisha kishingo upande akageuka na kuondoka zake,alifika akakuta wenzake wanamsubiri kwa hamu!
“Vipi yumo?”
“Hapana hayumo atakuwa kwake!”
Wakati wanajiuliza Vero alitoka ndani akiwa anapiga miayo,tembea yake tu ilionyesha ni mtu aliyechoka sana!
Alikuja taratibu akawasalimia kisha bila kuuliza akazama jikoni wote wakaingia wakamkuta anakula vizi kwa pupa,alionekana ana njaa isiyo kifani!
“Shoga vipi?kwema?”,aliuliza Chiku!
“Jamani niacheni nile kwanza!”
Walibaki wanamkodolea macho mpaka alipomaliza kula akashushia na maji mengi kisha akatulia!
“Yule mkaka muuwaji!”
Hiyo ndiyo ilikuwa kauli ya kwanza kabisa kutoka kwa Vero,kauli ile iliwapa shauku ya kutaka kujua kilichotokea usiku!
Vero aliwasimulia kila kitu kilivyotokea huku akisema amepigwa bao tatu za nguvu zenye ujazo usiyoelezeka kabisa!
Simulizi ile iliwatoa udenda wenzake hasa Chiku ambaye siku hiyo ndiyo ilikuwa zamu yake ya kubanjuka na mgeni!
Baada ya simulizi ile yenye kusisimua,Chiku naye aliwapa simulizi ya kutisha!Aliwaambia jinsi mzee Mtata alivyotaka kushtuka na kutoka nje usiku!
Wote walimsifu kwa kumlaghai mzee Mtata hasitoke nje,la sivyo wangekuwa wanaongea vitu vingine kabisa!
“Msijali mi najua alipoweka kitu kinachomfanya ashtuke kukitokea jambo hapa ngomeni,ntaenda kukitoa wala hatoshtuka tena!”,alisema Chiku mke mkubwa wa Mzee Mtata!
“Wacha weee!mbona atafurahi huyu mzee!”
“Ndiyo akome kuloga watu ili awaowe akijua hana uwezo wa kuwaridhisha,mwenzake kafia gesti juzi katakuja kutufia kifuani aka kazee!”
“Hahahahahahaha!”
Mzee Mtata sasa alikuwa anasalitiwa na kinyago alichokichonga mwenyewe,kama kuna mtu anamjua nje ndani ni Chiku,huyu ni mwanamke anayemuamini sana,alimfundisha hata baadhi ya uganga wake!
Chiku anazijua siri zote za Mzee Mtata,anaujua udhaifu na nguvu zake,alienda mpaka sehemu ambayo anajua mzee yule aliweka dawa ambayo inamuonyesha hatari ikiwepo kwake!
Hakujua ile ni nguvu kubwa ya mzee Mtata,dawa ile ilikuwa inampa nguv kubwa sana,kuitupa ni sawa na kutupa nusu ya nguvu zake,ile dawa ilikuwa inamuongezea nguvu hasa pale alipotumia nguvu nyingi kutibu watu na kadhalika!
Aliifukua na kwenda kuitupilia mbali,akiamini sasa watakuwa huru kabisa kufanya wapendacho na Lukas!
Aliporudi kutoka porini kutupa ile dawa alishangaa kupewa taarifa kuwa Mzee Mtata anamuhitaji kilingeni,alijiuliza kumetokea nini au kajua kuwa ametupa dawa yake?
JE NINI KITAENDELEA?KWANINI CHIKU KAITWA KILINGENI?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 35
Mapigo ya moyo yalimuenda mbio sana,wasiwasi ulimtawala bado hakujua kwanini kaitwa kilingeni!
Mambo yote yanayoendelea ni yeye anahusika,hata tego la Lukas kutosimamisha ni yeye alilitegua,jambo lile lilimuongezea wasiwasi zaidi!
“Jamani naogopa kwani kasemaje?”,aliuliza Chiku!
“Sisi hatujui!”
Taratibu akazipiga hatua kuelekea kilingeni,ungemuona ungemuhurumia kwa jinsi alivyokuwa anatia huruma!
Alifika akakuta Mzee Mtata yuko na mteja,akasubiri mpaka akatoka ndiyo akaingia ndani,alimkuta Mzee Mtata anamsubiri kwa hamu!
“Mume wangu mpenzi umeniita?”
“Keti!”
Alikaa huku akijitahidi kuificha hofu aliyokuwa nayo,anamjua mumewe kumgeuza msukule ni dakika moja tu!
“Nambie mume wangu!”
“Nimekuita hapa nikuulize hapa nikuulize yule mgonjwa anaendeleaje?maana nilikupa wewe jukumu la kumzindua !
“Mume wangu bado hajazinduka,bado kumbukumbu zake zinakuja na kupotea!”
“Ooh sawa jitahidi apone haraka,kwao wananisumbua!”
“Ni icho tu mumewangu?”
“Ndiyo unaweza kwenda!’
Kidogo amani ilirejea moyoni,akiamni mumewe hajagundua chochote bado!Alinyakunya na kuzipa hatua ila kabala hajatoka mumewe alimuita!
“Chiku!”
Moyo ulipiga paah!akageuka moyoni akiwa hofu kubwa,akakutana na tabasamu la mumewe!
“Jana umenionyesha unaniamini sana,umeniita jabali hahahahaha!nadhani hamna kilichotokea,ngome yangu haiwezi kuchezewa hahahahaha!”
Chiku alitabasamu akamwagia sifa mumewe kisha akaondoka zake,moyoni alijisemea,’Mwaka wako huu mzee utaisoma namba!”
Kuanzia siku hiyo sasa ikawa ni dozi tu,walienjoi wapendavyo,ilikuwa ni kila siku mmoja kati yao anapewa bao tatu za mgeni!
Walizidi kupendana na kuheshimu zamu zao za kuchepuka,tabasamu lilitawala nyuso zao,huzuni yao iliondoka kwa muda mfupi!
Aliyepewa jukumu la kumtibu Lukas ni Chiku,ivyo yeye ndiye aliyekuwa anaulizwa hali ya Lukas, na kili siku jibu lilikuwa bado hajapona!
Walimjali sana Lukas japo kwa siri,Lukas aliishi kifalme alikula kuku na mbuzi za kafara akaanza kunawiri na kupendeza sana!
Mzee Mtata ni kama baada ya dawa yake ya kunusa hatari kutolewa akili yake iliganda,hakujua chochote,yeye akiambiwa bado hajapona anaamini bila kusema neno!
Lukas alikula na kushiba hakuwa na mawazo,hata kumbukumbu zake zilisharudi tayari,lakini hata yeye alinogewa na wake wa mganga,na vile walimpenda akajikuta yeye kazi yake ni moja tu kuwatembezea bakora tu!na alizitembeza kweli kweli!
********
Mama Zubeda hakuwa na jinsi alisubiri hizo wiki mbili ziishe ili mgeni arudi tena nyumbani,upweke uliitawala nyumba ile,ni Johari peke yake alikuwa hana habari na Lukas!
Wote walioonja bakora ya mgeni walijikuta katika wakati mgumu,kwa kipindi kifupi alichokaa nao ilikuwa kama wameishi miaka mingi sana!
Mama Zubeda hakutaka kurudi kwa mganga akihofia kuwa Mzee yule angemuomba tena penzi lake,alidhalilika mara moja hakutaka kudhalilika tena!
Baada ya wiki mbili kuisha ndipo hofu uilianza kuwatawala,mgeni hakurudi na siku zilishazidi,hapo Mama Zubeda hakuwa na namna,aliifunga safari mpaka kwa mzee Mtata!
Alifika na kuta mzee Mtata kakaa nje anaota jua,Mzee yule alipomuona alitabasamu kisha wakaingia kilingeni!
“Karibu mpenzi!”
“Shemeji kuwa na aibu ile ilikuwa bahati mbaya mi siwezi kuwa mpenzi wako tuheshimiane kama zamani!”
“Sasa we uliona wapi mtu akuchungulie halfu hakuheshimu kama zamani,we kubai tu tuendelee,pia naweza kukuoa mimi uje uishi hapa!”
“We mzee unazeeka vibaya!hayo hayajanileta hapa nimemuijia kaka yangu wiki mbili zimeisha!”
“Hhahahaha umeufata msukule?”
“Unamaanisha nini?”
“Hajapona bado!”
Mzee Mtata alimuita mkewe Chiku akamuambia ampeleke Mama Zubeda akaone maendeleo ya mghonjwa wake!
Chiku aliongozana na Mama Zubeda huku akiwa na wasiwasi mkubwa sababu anajua Lukas alishapona kitambo ni yeye na wenzake ndiyo hawatakli aondoke!
Mama Zubeda aliingia kwenye kile kijumba na kumkuta mgeni kalala kwa uchovu wa mechi ya usiku!
Chiku alimuamsha akaamka,Lukas alimtambua mama Zubeda kabisa sababu sasa anakumbuka kila kitu!
JE NINI KITAENDELEA?LUKAS ATAKUBALI KUONDOKA NA MAMA ZUBEDA?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 36
Wanasema mbegu huchipua na kumea kwenye rutuba,matunzo aliyopewa Lukas na wake wa Mzee Mtata ulimfanya anogewe na kusahau kabisa familia ya mzee Jomo!
Kitendo cha kumuona Mama Zubeda kulimaanisha kuwa anatakiwa kurudi kwenye familia ya mzee Jomo,nafsi yake bado ilitaka kula raha kwa mzee Mtata!
Alijua lazima ipo siku angerudi lakini si kwa muda ule,bado alitaka kuishi kifalme kwa mzee Mtata,hakujua kuwa anacheza na kiberiti kwenye tanki la mafuta!
“Lukas!”
Mama Zubeda alimuita Lukas kwa furaha lakini cha ajabu alibaki tu anamshangaa,jambo lile klilimtia huzuni Mama Zubeda!
“Lukas hunikumbuki?”
“Wewe ni nani?”
Kauli ile ilimchosha Mama Zubeda machozi yalimtoka,uchungu ulimkaba kwa hasira akatoka mle ndani na kukaa nje akaanza kulia!
Muda si mrefu alishangaa kuona bakuli la supu ya kuku linaingia kwenye kile kijumba hadi yeye mwenyewe akashangaa!
Aliamini labda ndivyo wagonjwa wanakula ivyo pale,hakuwa na namna alirudi kilingeni na kumkuta Mzee Jomo!
“Shemeji kwa hiyo kaka yangu anapona lini?”
“Sijui labda inamsmbua mizimu ya kwao nadhani tumpe wiki mbili tena!”
“Jamani shemeji mbona nyingiiii,mtibu apone ntakupa chochote unachotaka!”
“Hahahahaha!shemeji bhana,utanipa nini?”
“Chochote!”
“Hahahahah!utanipa tigopesa?”
“Nitakupa!”
“Hhahahahahaha!sawaq nipe siku tatu uje umchukue au atakuja mwenyewe!”
Mama zubeda aliondoka akiwa na furaha akiamini baada ya siku tatu tu mgeni atarudi nyumbani!
Ila njia nzima alikuwa anajiuliza kuhusu malinda yake,mchezo mchafu anaoutaka mganga ulimpatia hofu kubwa sana,hakuwa amewahi kufanya vile wala kufikiria kufanya vile!
“Ila kananii kake kadogo bhanaaa,mmh!ila huyu mzee kumbe mchafu hivi?usikute hata wake zake anawafanyia vile!”
Ni maswali aliyokuwa anajiuliza njia nzima,alidhamiria kufanya kila kitu ili Lukas atoke!
********
Chiku alikuwa kwenye kijumba cha mgonjwa akijifanya kama anampa dawa,kumbe alikuwa anapiga naye stori!
“Kwanini umejifanya humjui yule mama?”
“Kwani mnataka niondoke lini?”
“Mhh kwa kweli kati yetu,tunatamani ukae hapa hapa?”
“Hiyo haiwezekani ni lazima niondoke,mume wenu atanishtukia sasa!”
Wakiwa wanapiga stori ghafla Mzee Mtata aliingia ,bahati nzuri walikuwa hawajagusana,Alimkuta Chiku kasimama na bakuli la dawa!
Walishtuka sana ila walijitahidi kuificha hofu machoni kwa mzee Mtata!Chiku alisimama na bakuli lake la dawa!
“Vipi anaendeleaje?”
“Bado mume wangu,hata jina lake halikumbuki!”
“Anatakiwa arudi kwao baada ya siku tatu tu,mlete kilingeni nimshughulikie!”
Kauli ile ilimuumiza Chiku lakini hakuwa na jinsi,hakujua kwanini mume wake ameamua ghafla kuliingilia lile suala,bila kujua kuwa mumewe ameahidiwa tigopesa kama malipo ya kumzindua Lukas!
Mzee Mtata alitangulia huku nyuma wakabaki wawili,kwa hali ilipofikia ni wazi kuwa Lukas anarudi nyumbani!
“Lukas hakuna namna akikutibu jifanye umepona tu!”
“Sawa!”
“Ila tutakumiss sana!”
“Nitakuwa nakuja!”
“Mhh utapata wengine huko,utatukumbuka kweli sisi?”
“Siwezi kuwasahau!”
Hakukuwa na namna tena,Chiku alimuongoza mpaka kilingeni akamuacha ndani anatibiwa kisha akaondoka zake!
Alienda kuwapasha habari zile wake wenzie ambao walisikitika sana kwa taarifa ile,japo waliapa kuwa watakuwa wanamfuata usiku hadi anapoishi ili kupata penzi lake!
Mzee Mtata alichukua dawa akaanza kumfanyia kisha akamfukiza alipomaliza akawasha moto Lukas akauzunguka mara kumi!
Kisha baada ya kuuzunguka alihisi kama akili yake imekuwa nzito,alikaa chini akawa ameinamisha kichwa chake!
“LUKASIIIIIII!”,mzee mtata alimuita kwa nguvu kuona kama Lukasi atakuwa amekumbuka!
JE NINI KITAENDELEA?LUKAS ATAITIKA AU ATAKAUSHA?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 37
Hakuna chenye mwanzo kilichokosa mwisho,kila barabara ina mwisho wake,!Maigizo aliyofanya Lukas yalifikia mwisho,kwa jinsi yule mzee alivyomshughulikia kama angesema hajapona lazima angeshtuka!
Mzee Mtata baada ya kufanya manyanga yake aliamua kujaribu kuona kama tiba yake imefanya kazi,aliamua kumuita kwa nguvu!
“Lukasiiiiii!”
“Naaaaam!naitwa Lukas Mdafu mama yangu anaitwa Jenifa ni mnyakyusa wa mbeya nilizaliwa katika kijiji cha….!”
“BASIIIII!”
Mzee alimkatisha baada ya kuona kijana anataka kutaja mpaka kijiji alichozaliwa,ilionyesha kumbukumbu zilirudi kwa kasi isiyoelezeka,hata Lukas alibaki anajishangaa kwa jinsi alivyoropoka!
Kwa namna yoyote pale hata kama angepanga kuficha kuwa hajakumbuka angeumbuka tu,Mzee alimuangalia kisha akacheka akionyesha kufurahi!
“Kijana sasa umekumbuka utakaa hapa leo na kesho ya tatu watakuja kukuchukua au utaondoka mwenyewe!”
“Sawa mzee!”
“Unaweza kwenda kupumzika!”
Mzee Mtata alimuita mkewe mkubwa kilingeni ili ampe maelekezo,Chiku aliingia akiwa na uso wa huzuni!
“Nimekuita nikuambie huyo kijana kapona tayari,atakaa hapa siku mbili ya tatu ndugu zake watamuijia,kwahiyo endelea kumpa dawa!”
“Sawa mume wangu!”
“kingine naondoka naenda safari kidogo kwa siku mbili,nina kikao kongo kinshasa leo na kesho nitakuwa Nigeria,kwahiyo utabaki kilingeni watibu utakaoweza watakaokushinda waambie wanisubiri!”
“Sawa mume wangu!”
********
Taarifa ya safari ilirejesha tabasamu kwao,wakaona kama wautumie muda ule kuenjoi na Lukas!Baada tu ya Mzee Mtata kuondoka zake kimiujiza kwenda zake kongo,walianza mikakati huku mwenyekiti akiwa Chiku!
Walikubaliana hakuna tena mambo ya zamu,walikubaliana kwa vile zimebaki siku chache wafanye wote tu kwa pamoja!
Kama kuna kitu Mzee Mtata alikosea ni kujaribu kumfanya Lukas msukule,ni mara mia angemuua kabisa hasionekane,kuliko kumsamehe kwa rushwa ya ngono ya mama Zubeda!
Lukas alikuwa ndani anawaza maisha baada ya kutoka pale,ni wakati huo alionekana kuimiss sana familia ya mzee Jomo hasa Selina!
Kati ya wote Selina ndiyo alikuwa moyoni mwake ,bila kujua kuwa Selina ndiyo roho ya mzee Jomo!
Hata yeye hakujua kwanini hisia zake ziko kwa Selina tu,wengine wote ni kama aliwatumia ila kwa Selina ilikuwa tofauti!
Lukas alishindwa kusimamia misimamo yake,kila akisema anaacha kutembea na wanawake wanaomumweka kwenye hatari shetani anajitokeza na kuvunja misimamo yake!
Lukas alikuwa mtu wa kucheza michezo ya hatari kila siku,michezo iliyomkimbiza mjini na kumleta kijijini!
Muda nao ulitaradadi sana,jua likajichimbia mawinguni giza likachukua nafasi yake!Lukas hakujua kuwa usiku ule ni usiku wa vita!
Wake wa Mzee Mtata wamepanga kufanya naye mapenzi wote bila zamu tena kama walivyofanya mwanzoni!Wanafanya vile sababu anaondoka kesho kutwa!
Akiwa usngizini alihisi kama anapapaswa,hakushtuka sababu alishazoea ile hali,ndiyo maisha anayoishi na wale wanawake!
Alijua moja kwa moja muda umefika wa kulipa kuku na supu wanazompa kila siku,alitulia akajifanya amesinzia!
Shuka lilitupiliwa mbali pensi yake ikavuliwa kisha bakora yake ikaanza kupapaswa,tofauti na siku zote alihisi anapapaswa na mikono mingi sana!
Alishtuka alichokiona hakuamini!Wake wote wa mzee Mtata walikuwa ndani ya kile klijumba wakiwa watupu wakiongozwa na Chiku!
“Shiiiiiiiiiih!usiogope mzee hayupo,leo utatupa wote baba sawa neeh?”
Aliongea Chiku lakini Luka hakujibu kitu alichokiona kilimfanya apigwe na butwaa!Kushangaa kwake hakukuwafanya wanawake wale waache kufanya walichodhamiria!
Waliendelea kumgusa sehemu mbalimbali mwingine akimnyonya bakora mwingine kifua mwingine shingo,yaani ilikuwa balaa!
Kwenye kumbukumbu zake anakumbuka mechi kama ile alishaifanya mjini ila kwa wanawake watatu,lakini sasa hii kaongezeka mmoja!
Lukas alitabasamu na kujisemea moyoni,”hivyo ndivyo Lukas vitu anapenda!”
Akiwa hana hili wala lile Vero alimkalia na kuizamisha bakora yote mpaka ndani,alishaizoea sasa siyo kama mwanzoni!
Alianza kuikatikia huku anatoa milio iliyozidi kuwaongezea hisia wake wenzie,alikinyonga kiuno huku anauma meno na kufumba yake!
“Aaaaaaahsssiiiiiiihh jamaniiiiiii tamuuuuuu mmmhhhh…nakojoa!”
Vero alishusha dafu lake kisha akatulia kifuani,akasahau kama kuna wenzake wanaitaka bakora,Lolenza alimvuta na kumuweka pembeni kisha akataka kuikatia ila Luka akakataa,alisimama akamuinamisha kilichofuata hapo ni wimbo usio n kiitikio!
JE NINI KITAENDELEA?LUKAS ATAWEZANA NA HAO WANAWAKE?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 38
Ilikuwa vuta nikuvute patashika nguo kuchanika,mechi ilikuwa kali mpaka nyasi zilijutia kuotea pale,ilikuwa panda shusha,shuka panda!
Raha kulia mpokezane,ndivyo ilivyotokea akitoka huyu analizwa huyu,Lukas alikuwa kishoka siku ile,kama ni mchezaji basi alikuwa ni messi anapiga chenga na kufunga kama Ronaldo!
Siraha zake alizoziamini ni bao tatu tu za nguvu,siku ile alikuwa mgumu sana,mpaka anavunja dafu mbili wale wanawake wote walihisi kama asali zao zinawaka moto!
Lukas kawaida yake ni mpaka aangushe madafu matatu ndiyo kiu yake iishe,alivunja mbili la mwisho kila mtu alikuwa akimgusa anasema nimechoka!
Lukas hakukubali alimvuta Chiku ili abebe mizigo ya wengine,Chiku alikuwa vizuri mno,umbo lake lilikuwa si kubwa sana,alikuwa na bambataa lenye ushawishi!
“Jamani nimechoka mimi we kaka!”,alijitetea lakini Luka aliziba masikio,walianza shoo usiku lakini sasa kulikuwa kunataka kukucha huku Lukas akiwa bado wamoto!
Chiku aliomba aachwe lakini kashachaguliwa,wenzie walipoona mambo yamekuwa magumu walitoka na kuacha Chiku anapelekewa moto!
“Lukasiii nimebwana mkojooo jamaniiiii wee kakaaa!”
Lukas hakuwa na cha msalia mtume,alikuwa bize analitafuta bao lake la tatu kukamilisha hesabu yake ya siku!
Chiku alilia mwisho akanyamaza akasubiri tu Lukas amalize amuachie!Mpaka anashuka Chiku alikuwa hoi hajiwezi na usingizi ukamchukua moja kwa moja akalala mle mle ndani!
*******
Zubeda hakuwa na furaha ,alilimiss sana penzi la mgeni,kwa muda wa wiki mbili zile aliamua kumrudia mpenzi wake,lakini ilikuwa ni kazi bure,mpenzi wake alikuwa kama jogoo kupanda na kushuka!
Msiri wake alikuwa Zahara,ndiye aliyekuwa anamuelezea jinsi alivyommiss mgeni,bila kujua kuwa wote wanampenda mwanaume mmoja!
Hakujua kama Zahara pia alikuwa anatoka kimapenzi na mgeni,tena chanzo kikiwa yeye mwenyewe,Zahara alihamasika kutembea na mgeni sababu ya sifa alizoziskia kuhuhsu bao tatu za mgeni!
“Sasa shoga yangu wewe siku ile tumeenda kwa Mzee Mtata umetoka kilingeni bila hata kusema alichokuambia,umenificha mpaka leo!”
“Mhh!shoga yule mzee mashenzi alinambia eti kama nataka amzindue nimpe penzi!”
“Tobaaaaaa!kile kibabu kilikutaka?”
“Ndiyo ivyo shoga!”
Zahara aliwaza kitu baada ya kusikia kuwa mzee Mtata alimtaka Zubeda,akaona amtumie shoga yake tu,amshawishi ampe penzi mzee Mtata ili mgeni atoke!
“Ila shoga ningekuwa mimi ningempa tu mzee Mtata!”
“Unaongea nini wewe!”,alifoka Zubeda,kitendo cha kumtaka akubali kutembea na mwanaume mwenye umri pengine kuliko baba yake kilimchefua!
“Sasa shoga wewe unafurahi mpenzi wako anateseka huko,utakuwa humpendi wewe,mi nampenda mtu nishindwe kuvua nguo siku moja tu kumuokoa jamani!?”
Maneno ya shoga yake yalimchoma moyoni na kujikuta anashawishika kufanya mapenzi na mzee Mtata kumuokoa mpenzi wake!Bila kujua anaokoa danga la jamhuri!
“Sawa mi ntafanya naye ila siku moja tu!”
“Sasa kwani ameomba mara ngapi jamani ni mara moja tu!”
“Sawa ntafanya!”
“Kwahiyo nikusindikize saivi au?”
“Weeh leo simba wanacheza nadhani ntamaliza kesho twende keshokutwa!”
“Sawa!”
“Ila usinicheke!”
“Sa nikucheke nini na huku unafanya ushujaa kutuokolea mume wetu!”
“Umesema!!!!?”,alijisahau Zahara akaropoka!
“Haaaaa shosti namaanisha unamuokoa shemeji!”
Zubeda aliondoka huku akiwa ameahidiana na Zahara kuwa atampitia kesho kutwa waende kwa mganga kufanya kitendo cha kishujaa,mganga anataka rushwa ya ngono!
*********
Safari ya Mzee kwenda Congo ilifanikiwa kwenye kikao chao cha kichawi,lakini safari ya kwenda Nigeria ilihairishwa,hivyo ilibidi arudi zake nyumbani asubuhi!
Kama kawaida alipanda usafiri wake akatua kilingeni,alibadili nguo kisha akatoka nje,kitendo cha kutoka tu wake zake wakamuona walishtuka sana!
Mpaka muda huo Chiku alikuwa kwenye kijumba cha mgeni kalala hana habari,akiamini mumewe ana safari ya kwenda Nigeria bila kujua mipango siyo matumizi!
Mzee Mtata licha ya kuwa na wake wanne ila upendo ulikuwa kwa mke wake mkubwa,sababu ndiyo msiri wake mkubwa!
Wake zake walimsalimia akaitikia huku moja kwa moja akielekea kwenye nyumba ya Chiku,alifika akaingia akakuta patupu!
“Chiku yuko wapi?”,lilikuwa ni swali kwa wake zake wadogo wote wakaangaliana!
JE NINI KITAENDELEA?WATAMJIBU NINI MZEE MTATA?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 39
Mzee Mtata hakuwa na hofu baada ya kumkosa Chiku kwenye nyumba yake,ila alipata hofu baada ya uwauliza wake zake wengine wakamjibu kwa hofu na kujikanyaga!
Hakutaka kuamini kabisa kwamba mawazo yake yapo sahihi,kwamba Chiku ameanza kumsaliti,ni kitendo kisichowezekana kwake!
Aliamini mke wa Mzee Mtata hakuna anayeweza kuthubutu kumgusa kabisa achilia mbali kumtongoza tu,wote walikuwa wanamuogopa sana mzee yule katili!
“Mnasema hamjui halipo?”
“Ndiyo!”
Mzee Mtata alihisi kichwa kinauma,anajua alishatega alam yake hili jambo likitokea tu ajue lakini mbona mke wake hayupo na hana habari?
Aliingia ndani akatafuta jembe ila wakati anatoka alishangaa kumuona mkewe akiwa amebeba mfuko wa viazi!
Haikujulikana alikuwa anataka kwenda wapi na lile jembe,ila kitendo cha kumuona Chiku akiwa na mfuko wa viazi kilimshangaza na kumpoza!
“Mume wangu umerudi?”
“Ulikuwa wapi?”
“Nilimiss viazi nikaenda shamba mume wangu!”
Mzee Mtata alirudisha jembe ndani akatoka na kiti akakaa,akawasha kiko yake akaanza kuvuta!
********
Chiku alishtuka baada ya kusikia sauti ya mume wake ikimuulizia,alikurupuka hakuamini kama alilala kwa Lukas mpaka asubuhi,yaani siyo kumekucha tu bali ni asubuhi kabisa!
Mapigo ya moyo wake yaliongezeka kasi akajua siku hiyo ndiyo mwisho wa maisha yake,na siyo yeye tu hata Lukas pia!
Muda ule Lukas alikuwa hoi kalala,sifa alizofanya usiku hazikumuacha salama kabisa!Chiku hakutaka kumuamsha Lukas alitaka acheze mwenyewe mchezo ule wa kikomandoo,mchezo wa kifo au kuishi!
Wakati mzee Mtata ameingia ndani kuchukua jembe,Chiku alitoka kama umeme mpaka jikoni kulikuwa na mfuko wa viazi akatoka nalo haraka!
Wake wenzake waliona picha nzima ila walikausha kutokana na kwamba wanashirikiana,na walishaamua kuwa tatizo la mwenzao ni lao!
Chiku alicheza kama pele akafunga kama Ronaldo!wenzake walitamani kucheka lakini walijizuia!
***********
Lukas aliamka akiwa hana hili wala lile,alijinyoosha kutokana na uchovu mkubwa aliokuwa nao!Aliinuka na kukaa kitako huku anapiga miayo ya njaa!
Alikiangalia kile kijumba akavuta picha na kukumbuka filamu ya jana yake,moyoni alisijisemea kama ingekuwa picha ya ngono ingeuza sana,na bila shaka kama ni shujaa wa mchezo angekuwa ni yeye!
Alikumbuka jinsi alivyowasulubisha wake wa Mzee Mtata mpaka wakasalimu amri,
“Lukas!mwanaume wa shoka!”,alijisemea huku akitabasamu!
Alizichua nguo zake na kuzitupia mwilini,aliishukuru sana bakora yake kwa kumuheshimisha japo kuna muda hiyo heshima inamuweka matatani!
Alipomaliza kuvaa alitoka nje huku anapiga mluzi akiimba wimbo wa zuchu hakuna kulala,alishtuka baada ya kumuona mzee Mtata kakaa nje kwenye mlango wa Chiku!
Alikumbuka Chiku alimwambia kuwa mume wao kasafiri,alijiuliza karudi sangapi na kwanini kakaa nje na siyo kawaida yake kabisa!
Mapigo ya moyo yalimdunda kwa kasi huku kijasho chembamba kikimtoka,hakuwa na namna zaidi ya kwenda alipo yule mzee!
“Shikamoo mzee!”
“Marahaba kijana vipi unajisikiaje?”
“Niko vizuri nimekumbuka kila kitu!”
“Hhahahahaha safi kwa hiyo umekumbuka kama uliingiza ng’ombe kwenye shamba langu?”
“Ndiyo mzee samahani sana ni bahati mbaya mimi sijui kuchunga ni mgeni!”
“Aaaah usijali kijana,Vero mkewangu mletee kiti kijana,anaonekana mstaarabu sana!”
Vero alileta kiti Lukas akakaa huku presha yake ikiwa imepungua sana,alijua labda mzee yule kagundua kuwa amelala na wake zake wote usiku wa jana,tena amewapa dozi mpaka wakamkimbia!
“Usijali kijana kesho asubuhi utaondoka hapa,utachagua mwenyewe kusubiri wakufuate au uondoke mwenyewe mi nitakuwa nimekuruhusu!
Walikaa wakapiga storina mzee Mtata ambaye kumbe jkuna muda anakuwa binadamu,Lukas alipata bahati ya kumjua mzee Mtata siku ile!
Aligundua ni mcheshi sana maana stori zake alikuwa anamsimulia anaishia kucheka sana,zilikuwa zinafurahisha sana!
“Kijana unawaonaje wake zangu?Hujawatamani kweli?”
Lilikuwa ni swali la ghafla ambalo hakutegemea kabisa kutoka kwa mzee yule,hakujua kwanini mzee yule amemuuliza swalin gumu namna ile!
JE LUKAS ATAMJIBU NINI MZEE MTATA?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+
Sehemu ya 40
Swali lile halikumshtua Luka peke yake ,hata wake wa mzee Mtata walishtuka sana!Hakuna hata mmoja aliyetegemea kama mzee atauliza swali lile!
Mapigo ya moyo yalienda mbio,swali lile lilimfanya Lukas awaze mengi,aliaza pengine yule mzee kashagundua mchezo wake,alipojumlisha na tukio la kurudi ghafla na huku alisema anasafiri siku mbili ilimtia hofu sana!
“Vipi kijana unawaonaje mbona unababaika!”
“Aaah!ni wazuri sana,hongera mzee unajua kuchagua!”
“Hhahahahahahaha!kwenye hii dunia jitahidi sana upate vitu viwili!”
“Vitu gani mzee?”
“Uwezo na umaarufu!ukikosa kimoja uwe nacho kimoja utaishi vizuri,ila ukitaka kuishi kwa amani epuka vitu viwili!”
“Vitu gani mzee!”
“Dhuluma na wake za watu au waume za watu!”
Moyo wa Luka ulipasuka kwa hofu sababu kama wake za watu yeye ndiyo fundi wa kuwachukua,hata wake zake kapita nao wote!
“Sawa mzee wangu hakika nimepata somo kubwa sana leo!”
“Hasiyefunzwa na mamaye ulimwengu upo kwaajili yake!”
Mzee Mtata aliongea vile kisha akaondoka zake na kumuacha Lukas akiwa na maswali mengi,alishindwa kuelewa yale ni maongezi ya kawaida au ni nini?Sababu Mzee Mtata alikuwa kama anamsema!
Lukas alijizoa akaingia bandani kwake akiwa na mawazo mengi sana,siku ile hata chakula alikula basi tu,maneno ya yule mzee yalimpa hofu kubwa!
Usiku wa siku ile hakuna aliyetokea kabisa kwenye gheto lake la muda,nadhani waliogopa maneno ya mzee Mtata au dozi ya jana ilikuwa kubwa!
Lukas alishukuru sana kutokutokea kwao maana kama wangetokea siku ile ingekuwa utata sababu hakuwa na hamu kabisa!
Kulikucha asubuhi Lukas akaamshwa na Mzee Mtata mapema,alitoka akamkuta kajifunga msuli wake anamsubiri!
“Shikamoo mzee!”
“Marahaba kijana,leo ni siku ya kuondoka hapa nimekuamsha nikufanyie dawa!”
“Sawa mzee wangu!”
Mzee Mtata alianza kumfanyia dawa huku na anamchapa na usinga muda huo Lukas ametulia tuli,alipomaliza akaenda naye kilingeni huko akamfanyia madawa yake kisha akamruhusu kuiondoka!
“Mzee samahani!”
“Vipi kuna shida gani tena Lukas!”
“Mzee mi shida yangu nilitaka kujua kama una dawa ya kumsaidia mtu kama alifanya jambo baya sehemu akakimbia hata akirudi sehemu yaani wasahau kabisa wasi…..!”
“Hhahahahahaha!kijanaaaa nishakuelewa mimi ndiyo mzee Mtata hilo kwangu ni jambo dogo sanaaaa!”
“Nisaidie mzee wangu!”
“Kuna jamaa alikuja hapa kachafua hali ya hewa huko mjini,alikuwa jambazi muuwaji anayetafutwa kila kona ya jiji,alikaa hapa siku mbili tu nikamuambia rudi mjini,mpaka sasa anaishi hakuna anayemfanyia fujo!”
“Mzee nisaidie hata mimi nimechafua sana mjini,hapa naishi roho juu juu!”
“Usijali nenda urudi hapa baada ya wiki moja!”
“Sawa Mzee!”
“Ila ukiwa humu unaweza kuaga na kuongea,lakini ukitoka kwenye hii ngome hakikisha ugeuki nyuma na huzungumzi na yoyote mpaka unafika!
“Sawa Mzee ila tatizo sipajui nyumbani vzuri!”
“Usijali utafika wala usiwe na hofu,ila chonde usiongee na mtu usigeuke!”
Lukas alitoka akaingia kwenye kile kijumba punde tu Chiku akaingia huku uso wake umetanda simanzi kubwa,alifika akawa anamuangalia Lukas kwa huruma!
“Kwahiyo ndiyo unaondoka?”
“Ndiyo!”
“Jamani sasa si utakuwa unakuja lakini?”
“Nitakuja msijali!”
Machozi yalimtoka Chiku,ilikuwa ni habari mbaya sana kwao,yeye na wake wenzake ni kama walikuwa wamemgeuza Lukas mume wao!
Maneno ya Mzee Mtata bado yalikuwa akilini,aliogopa lisije likamkuta jambo,alichofanya taratibu akazipiga hatua akatoka kwenye kile kijumba na kumuacha Chiku kasimama!
Wake wengine wa Mzee Mtata walikuwa nje wakamsindikiza Lukas kwa macho na kumuona akitokomea zake kurudi kwenye makazi yake!
Huzuni aliwatawala lakini kila chenye mwanzo kina mwisho,ingawa bado walijipa tumaini kuwa bado Lukas ataendelea kuwapa penzi kama kawaida!
Lukas kama yalivyokuwa maelezo ya mganga alisonga na kukata mitaa akiwa haelewi anakokwenda,isipokuwa nafsi ilimpeleka akiamini anakopita ni njia ya kwenda nyumbani!
Akiwa njiani ghafla anakutana na Zubeda na Zahara ambao walikuwa wanaenda kule anakotoka,Zubeda alipomuona Lukas alishindwa kujizuia ,alimkimbilia na kumkumbatia kwa furaha bila kujua kapewa masharti na mganga!
JE NINI KITAENDELEA?LUKAS ATAVUNJA MASHARTI?