Chombezo: Bao tatu za mgeni!

Chombezo…………BAO TATU ZA MKWEZI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 41

Zubeda hakujua kuwa Lukas amepewa masharti kwa mganga,kwake kumuona ilikuwa ni furaha isiyo kifani,alishangaa Lukas hakumchangamkia zaidi alimsukumia mbali akaendelea na safari!
Zubeda na Zahara walibaki wanashangaa na kuangaliana kwa zamu wasiamini kilichotokea,wakiwa wanashangaa Lukas alikuwa anachapa lapa bila kugeuka hasivunje masharti!
“Shoga huyu jamaa hajapona na nina wasiwasi katoroka kwa mganga!”,alisema Zahara na Zubeda naye akakubakliana naye!
“Sasa anaenda wapi jamani,twende tumfate tuone!”
Walimkimbilia na kumkuita Lukas yuko bize anakata mitaa,hawakuwa na namna
“Lukas mpenzi ina maana hunikumbuki kabisa?”
“Jamani Lukas mimi ni Zubeda mpenzi wangu!”
“Kumbuka basi hata kidogo jamani!”
Aliongea sana Zubeda lakini hakuna alichojibiwa,akaona isiwe tabu alitenbea haraka akasimama mbele ya nia na kunyoosha mikono akiitanua akasema?!
“Hupiti hapa Lukas,mpaka uniambie umenikumbuka!”
Lukas alisimama akamuanagalia Zubeda kwa hasira akiamni anapoelekea anaenda kumvunia masharti yake kabisa!
Alichokifanya alijaribu kupita kwa ustaarabu lakini haikuwa rahisi Zubeda alitanda njia nzima,aliamua kheri lawama kuliko hasara!
Alimsukuma Zubeda akaangukia pembeni kwenye majani Zahara akamuwahi,hata yeye alijiuliza Luka kapatwa na nini?
“Limerogwa hili likaka achana nalo shoga yangu!”
“Hapana siwezi Zahara niacheee,lazima nijue anakoenda!”
Zubeda alisimama wakaanza kumfuata nyuma Lukas lakini safari hii hawakumghasi kwa lolote,walichotaka ni kujua safari ya Lukas itaishia wapi?
Kilichowashangaza ni kuona Lukas anashika barabara ya kwenda kwao,wakajiuliza kazijuaje njia zile huku hajawahi kuzipita!
Hawakuwa na majibu waliendelea kumfuatilia Lukas ambaye sasa alionekana hakuna sehemu anaenda zaidi ya kwa kina Zubeda!
“Anaenda nyumbaniiiiii!”,alisema Zubeda baada ya kumuona Lukas anaingia kwao!
Hatimaye Lukas alifika kwa Mzee Jomo,moja kwa moja akaingia kwenye kijumba chake,Zubeda alipoona Lukas kaingia kwenye kijumba chake alikimbilia ndani na kuwaita ndugu zake!
“Mamaaa!mamaaaa!”
Furaha aliyokuwa nayo haikuelezeka,akaingia ndani bila hodi na kuwakuta wenzake wanakula!
“Weee!vipi mbona tunashtuana?”,aliwaka Johari!
“Mamaaa Lukas karudiiii,mgeni karudi nimemuonaaaa!”
Kauli ile haikuwa na maswali mama Zubeda aliinuka kwa kasi,Selina akafuatia na wa mwisho akiwa Suzy,aliyebaki ndani ni Johari tu ambaye hakuwa na habari kabisa na mgeni!
“Ivi nyie mna akili kweli?mnaacha kula sababu ya huyo mpuuzi anayechunga ng’ombe kwenye mashamba ya wachawi?”
Alisema Johari huku akiendelea kula bila kujali habari zile ambazo hazikuwa na mashiko kabisa kwake,kuacha kula kumkimbilia Lukas kwake ulikuwa ni upuuzi ulipita viwango vya kimataifa!

Familia nzima ilitoka nje kasoro mgumu mmoja tu,wote macho yao yalikua kwa Zubeda wakimuuliza yuko wapi huyo Lukas!
“Mama yupo ndani nimemuona kabisa kaingia!”
“Una uhakika?”
“Nina uhakika kabisa,nimemuona kwa macho yangu muulizeni hata Zahara!”

Lukas alipofika ndani alihema kwa nguvu akiamini amefanikiwa kufika salama bila kuvunja masharti ya mganga,japo Zubeda alitaka kuharibu kila kitu!
Akiwa ndani alisikia sauti ya mama Zubeda inamuita kwa nje,alinyamaza mpaka walipomuita mara tatu!
“Naam!”
Hakuitika tu bali pia alitoka nje kabisa,kitendo cha kutoka nje tu,Selina alipomuona alimrukia akafuatia Suzy na Zubeda pia!
Mama yao ilibidi ajikaze ili hasionekane kummiss sana mgeni,ila kitendo cha wanae kumrukia kilimpa maswali mengi sana,akajiuliza mbona wanae wanampenda sana?
Aliyapotezea mawazo yale aliamini labda wanampenda sababu anaishi nao,hakujua kuwa nyuma ya pazia anashea mwiko mmoja na wanae!
Hata wanae hawakujuwa kuwa wanashea isipokuwa ni Selina na Suzy tu ndiyo wanajuana kabisa,sababu mara ya mwisho anapotelea shambani ni kwa sababu alikuwa anawapa dozi machungani!
Walifurahi sana siku ile na kumkaribisha tena Lukas nyumbani,kwa muda mfupi aliokuwa kwa mganga kwao ilikuwa kama mwaka mzima!
Siku ile alishikwa jogoo mkubwa aliyenona akachinjwa kumkaribisha mgeni tena nyumbani,ilikuwa faraja kwa mgeni,sababu mwanzoni alipokelewa kwa hofu na maswali mengi ila sasa alipokelewa kwa jogoo mkubwa aliyenona!
Mgeni alipakuliwa mapaja na kula kwa raha zake,nyama zote tamu alikula yeye siku ile,kitendo kile kilimkera Johari!
Kama ni damu kupishana basi Luka na Johari walipishana damu,siku ile ndiyo Lukas aligundua Johari anamchukia!Baada ya kumaliza kula Lukas alitoka nje,hapo hapo Johari akainuka na kumfuata nyuma,alitaka akampe vidonge vyake!
JE JOHARI ANATAKA BIFU NA LUKAS ATALIWEZA KWELI?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 42

Lukas hakuwa na habari,baada ya kukandamiza zake nyama ya jogoo aliyenona,alijisomba na kuelekea anakoegesha mbavu zake,ila kabla hajafika alisikia sauti ikimuita kwa nyuma!
“We kakaa!”
Aligeuka na kukutana na Johari msichana pekee ambaye hajaonja rungu lake pale ndani,alishangaa sababu hajawahi kuwa na mazoea kabisa na binti yule!
Johari alifika akasimama na kumshikia kiuno,kwa namna alivyoonekana moja kwa moja tu ule mwito haukuwa wa kheri!
“We msukule!”
Kauli ile ilimfanya Lukas aamini mawazo yake yalikuwa sahihi kuwa binti yule hakuja kwa kheri,alijipa ukimya kuona matokeo ya shari lile!
“Ina maana hunisikii we msukule?”
“Kuna tatizo mbona sikuelewi?”
“Hunielewi eeh!utanielewa tu,unajikuta wewe ndiyo Mzee Jomo hapa eti?unakula mipaja tu unatokwa mishavu eeeh?”
Johari aliropoka maneno machafu kiasi kwamba mpaka Lukas ustaarabu ukamshinda,bahati nzuri mama Zubeda kumbe aliyasikia yale maneno!
“We Johari!unamtamkiaje maneno machafu ivyo kijana wa watu,kakukosea nini?”
“Si aende kwao kwani hana kwao huyu ovyooo,msyuuuuu!”
Licha ya mama yake kuja pale bado Johari aliongea maneno yake na kuondoka zake,akamuacha mama yake kashikwa na butwaa!
Luka alihisi kudhalilika sana,aligeuka ili aingie ndani lakini mama Zubeda akamzuia kwa kumshika mkono!
“Lukas achana nae yule chizi usisikilize maneno yake!”
Lukas hakuwa katika wakati mzuri,tayari hasira yake ilikuwa usoni,alijitoa mkono akaingia ndani!Alijitupia kitandani akiwa na mawazo sana!
Kudharauliwa na mwanamke ni kitu ambacho hajawahi kukikubali kabisa maishani mwake,alianza kumuwazia Johari!
“Nitamfanya kitu hatoamini,mimi ndiyo Lukas!”
Mawazo yake siku ile yalikuwa kwa binti yule ambaye hajawahi kumkubali hata kidogo!Baada ya kuwaza sana aliamua kulala!
Ila moyoni alijua usiku ule lazima kuna shughuli ingetokea tu,aliwaza kwa jinsi amekaa muda mrefu bila kuwapa dozi basi lazima mtu usiku kuchukua dozi yake!

Mawazo yake yalikuwa sawa,usiku alihisi mlango unatikiswa akajua kumekucha!Baada ya kuingia alihisi kupapaswa,bado hakujua nani!
“Baby!”,sauti ile ilimjulisha mgeni yule hakuwa mwingine bali ni Zubeda,binti wa kwanza kabisa wa mzee Jomo!
Aljigeuza na kumkuta Zubeda kashasaula anamuangalia,mikono ya Zubeda ilikosa utulivu ikaingia ndani ya shuka na kuitoa bakora ya Lukas ambayo mnara ulishaanza kusoma!
“Kwanini mchana ulikuwa unanisukuma Lukas?”
“Umekuja kuenjoi au kunisomea kesi?”
“Jamani sasa nisiu….!”
Kabla hajamalizia Lukas alimpindua na kumlaza kitandani kisha ulimi wake ukazikamata zile embe mbichi za Zubeda!
“Jamani nijibuuu baasiiiii aaaahsiiiiii tamuuuu!”
Zubeda hakuwa na nguvu tena ya kuuliza maswali tayari mgeni kashamshika kubaya,ulimi wa mgeni ulikuwa kama una shoti,unapoangukia lazima usisimke!
Lukas aliazinyonya zile embe mbichi kisha akapandisha shingoni huko hakuchelewa akazama sikioni na kumfanya Zubeda aheme kwa kasi!
“Oooh!mamaaa!ooh mamaaa!”
Baada ya maandalizi ya kutosha na kuona chemchem imetoa maji tayari,aliishika bakora yake ila hakuingiza moja kwa moja!
Aliisugua kwa juu kama anampiga katerero,kitendo kile kilimfanya Zubeda ahisi utamu wa ajabu na kuanza kuwatukana wanaume wote aliowahi kufanya nao mapenzi!
Kitendo kile kilimfanya Lukas aongeze kasi,Zubeda akatangaza anataka kuvunja dafu lake mapema tu!
Kabla hajalivunja dafu lake Lukas aliizamisha bakora ghafla na kuisugua kwa nguvu kitendo kile kilimfanya apige kelele kubwa sana na kurusha bao lake lililomrukia kiunoni Lukas!

**********

Mama Zubeda alikuwa na mawazo kama ya mwanaye,alichokiwaza Zubeda na yeye ndicho alichokiwaza!
Alikuwa anasubiri wanae walale ili yeye atoke kwenda kwenye kijumba cha mgeni,alikuwa hoi maana tangu apate penzi la mgeni siku ile hakuwahi kupata tena mkuno wa kweli,achilia mbali siku ile ambayo mzee Mtata alimtia shombo!
Tatizo alikosea akaegesha kichwa kitandani,usingizi ulikuja kumchukua akaja kushtuka muda umeenda!
“dahh!hivi nililala,ila poa naenda!”,alisema Mama Zubeda!
Moyoni alijiapia kuwa lazima azamie kwa Lukas,alijichunguza na kuona yuko sawa akatoka chumbani ili kwenda kupata penzi la Lukas!

JE ITAKUWAJE NA ZUBEDA YUKO KWA LUKAS TAYARI?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 43

Wanasemaga kama arobaini zako hazijafika basi hazijafika tu,Mama Zubeda alikuwa anataka kwenda kwa Lukas,jambo ambalo lilikuwa ni hatari sana sababu mwanaye Zubeda alikuwa kwa Lukas wanafanya mapenzi!
Mama Zubeda alitoka chumbani taratibu akinyata mpaka mlangoni,akaushika mlango lakini haukufunguka!Alipojaribu kushika kitasa cha ndani hakikuwa kimefungwa!
“Ina maana mlango umefungwa kwa nje?”
Mama Zubeda alijiuliza lakini hilo ndiyo lilikuwa jibu sahihi,Zubeda aliufunga mlango kwa nje alipotoka tu kwenda kwa Lukas!
“Hiki kijiji hiki!au ndo tushaanza kuchezewa?’”
Aliwaza Mama Zubeda lakini ghafla akapata wazo lililomfanya ashtuke haraka akaingia kwenye chumba cha binti zake!
Alipofika aliwasha taa akahesabu mabinti zake akakuta mmoja amepungua,jambo lile lilimshtua akaanza kuzikagua sura ajue ni nani hayupo!
“Zubeda!nilijua tu ni huyu kahaba huyu mtoto huyu anataka niitwe bibi mapema hivi jamani?”
Alisema kisha akageuka kurudi chumbani kwake akiwa na jazba akiamni binti yake kaenda kwa mpenzi wake na kumkatili yeye kwenda kwa Lukas!
“Huyu mtoto mshenzi sana na kesho atanieleza alikokuwa!”
Mama Zubeda alilala akiwa na hasira kali,wazo la kuwa huwenda Zubeda yuko kwa Lukas hakuliwaza kabisa,angeanzaje kuwaza kuwa anashea bakora na binti yake!

*******

Zubeda na Lukas walikuwa na siku nzuri sana siku ile,ni kama Zubeda alijua akafunga mlango kwa nje,bila ivyo mama yake angemfumania na sijui ingekuwaje?
Bado walikuwa wanasakata ngoma,uwanja mzima wakicheza wao na kujishangilia wao wenyewe,ilikuwa ni kulia kwa kuupokezana!
Zubeda alikuwa mpya siku hii,kiuno chake kilikuwa sumu kali kwa hisia za Lukas mpaka wakati huo alishavnja dafu mbili huku Zubeda akiwa amevunja dafu tano tena njia panda kabisa!
“Lukassiii…umeipakaaa asaaaliiiii babaaaaaaa!”
Alilalamika Zubeda akiwa kapiga magoti juu ya kitanda na kukibinua kiuno chake vizuri!Lukas alikuwa kwa nyuma mikono yake akiwa amekishika kiuno cha zubeda akiwa ansukuma nyonga kwa kasi hali iliyomfanya Zubeda atoe milio mingi ya mahaba!
“Najaaaa….naja mpenziiiii…najaaaaaaaa….nakojoa mimi ….nakojoaaa babaaa …bababababaaaa!”
Zubeda alikubali kuangusha dafu la sita kiurahisi,moyoni alikiri kuwa amefanya mapenzi na wanaume ila Lukas ni kiboko!
Mpaka wanamaliza kufanya yao Lukas alikuwa na bao zake tatu kali kama kawaida yake,bao za jasho siyo penati za mbeleko,huku Zubeda akiwa amevunja dafu nane za nguvu!
“Lukas!”,alimuita kwa sauti ya chini!
“Naam!”
“Naomba unioe!”
“Unasema?”,alishtuka Lukas, maana lile ni suala gumu sana sababu kashatembea na wadogo zake wawili na kingine kibaya zaidi ameshafanya mapenzi na mama yake,akajiuliza itawezekana vipi?na ataanzaje kumuita Mama Zubeda Mkwe?
“Mbona unashtuka Lukas naomba uwe mume wangu!”
“Unahisi wazazi wako watakubali?”
“Kwanini wakatae?wewe siyo ndugu yangu mi kesho namwambia mama kuwa wewe ni mpenzi wangu!”
“Unaona sasa ulivyo na haraka!”
“Kwani wewe unasemaje?”
“Subiri kwanza tufanye siri muda utafika tu,usiwe na haraka!”
“Kwa hiyo umekubali kunioa?”
“Ndiyo!”
Zubeda aliondoka akiwa na furaha sana akiamini si muda Lukas atakuwa mume wake,bila kujua Lukas ni sukari ya warembo,hajawahi kuwaza kuoa akiamini muda bado sana,japo kidogo Selina alimuingia sana akilini!
Mawazo ya Lukas muda huo yalianza kufikiria kurudi alipotoka,kitendo cha Mzee Mtata kusema kuwa anaweza kumpa dawa ya kuwafanya watu wamsahau na wasahau mabaya yake aliyofanya kilimpa nguvu sana!
Alitamani siku ziende haraka sana ili wiki iishe arudi zake kwa mganga kutibiwa,alikumbuka mengi starehe za mjini alizoziacha na wanawake aliowaacha mjini!
“Ntarudi mjini huku hakuna maisha!”
*********
Kulikucha Mama Zubeda akawa wa kwanza kuamka akawahi mlangoni,alipugusa akaonoa umefungwa kwa ndani kumaanisha kuwa Zubeda alirudi usiku!
Alitoka nje akiwa na hasira sana akaanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kukamua maziwa,asilimia kubwa ya maisha yao pale yaliendeshwa na kipato wanachokipata kwenye maziwa hasa Mzee Mtata anapokuiwa safari!
Alipomaliza aliingia zizini akawachukua ng’ombe watano akawaandaa vizuri kisha akaanza kuwakamua!
Zubeda aliamka akiwa hana hili wala lile akaingia zizini na kumsalimia mama yake,cha ajabu mama yake alimwangalia kwa jicho kali na hakuitikia salamu yake!
“Mama bhana mi nataka nikwambie kitu!”,alisema Z ubeda!
JE ZUBEDA ANATAKA KUMWAMBIA NINI MAMA YAKE?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 44

Mama Zubeda alikuwa na hasira sana,kitendo alichokifanya jana Zubeda kilimfanya akose penzi la Lukas!
Upande wa Zubeda yeye alimfuata mama yake ili ampe habari za Lukas,kitendo cha Lukas kumwambia eti asubiri hakikumuingia akilini kabisa,alitaka lile suala lijulikane kwa mama yake,bila kujua hata mama yake anampenda Lukas!Mapokezi ya mama yake yalimshangaza hakujua kwanini mama yake kamnunia!
“Mama usinune bhana nataka nikuambie kitu!”
“Nitolee upuuzi hapa unaenda kufanya umalaya usiku unatufungia mlango,kijumba chenyewe cha nyasi unataka kutuua?na tukibanwa haja tujisaidie kwenye mabakuli?”
“Mama jamani nilikuwa chooni!”
“NYINYINYUA NYOONI!nitolee upuuzi hapa mi siyo mtoto mwenzio!”
Zubeda alitoka akiwa amekosa nguvu kabisa ya kuongea jambo lake,isingewezekana tena kusikilizwa,mama yake alikuwa kachafukwa tayari!
Wakati anatoka alikutana na Lukas ambaye inaonekana alisikia kila kitu,hakumsemesha aliondoka zake kwa aibu aibu za kike!
Wakati Lukas anasogea pale,mama Zubeda alijua ni Zubeda karudi akaanza kupaka bila kujua aliyesimama ni Lukas!
“Nimesema nitokee hapa mpuuzi wewe unanichefua kwa….!”
Alisita baada ya kugeuka na kumkuta Lukas kasimama anamuangalia huku anatabasamu!
“Jamani mbona tunafokeana!”
“Ahh..samahani Lukas kuna mtu kanivuruga kazijua bakora sasa anajikuta kama utamu anaujua yeye tu!”
“Hhahahahah!”
“Yani kanivuruga nilikuwa na ratiba ya kuja kwako jana,kaondoka kwa bwana yake katufungia mlango mpuuzi kweli!
Kauli ile ilimfanya Lukas ashtuke baada ya kugundua kumbe jana ilikuwa wafumaniwe!
“Leo nakuja kwako usiku!”
Mama Zubeda alimalizia kwa kusema atakua mgeni wake usiku,Lukas hakuwa mchoyo alimkaribisha kisha akaendelea na taratibu zingine za kujiandaa kwenda machungani!
“Selina na Suzy watakupeleka machungani wakuonyeshe sehemu ambazo hazipo karibu na mashamba ya watu!
Moyo wa Lukas ulilipuka kwa furaha kubwa kusikia kuwa atakuwa na Selinma na Suzy machungani,maana anampenda sana Selina!
Kama ingetokea anaambiwa achague mwanamke pale kijijini basi chaguo lake lilikuwa Selina,ndiye aliyefanikiwa kuingia moyoni mwake!
Baada ya mama Zubeda kumaliza kukamua maziwa Lukas aliondoka machungani akiwa ameongozana na Selina pamoja na Suzy!
Safari yao ilikuwa ndefu sana sababu machungo ambayo yalikuwa mbali na mashamba ya watu yalikuwa mbali sana!
Walipoziacha mbali nyumba za watu,Selina na Suzy walianza kuonyesha hisia zao wazi wazi huku wakimshika shika Lukas ambaye sasa amekuwa mume wa familia!
“Tulikumiss!”,alisema Suzy huku anampapasa kifuani!
“Subirieni tufike bhana hapa njiani bhana!”
Walifika machungani wakaanza michezo yao iliyowafanya mifugo iingie kwenye mashamba ya watu siku ile!
Selina na Suzy walikuwa na kiu kikubwa cha mapenzi,walimfakamia kwa pupa Lukas ambaye aliwapa dozi inayostahili!

Lukas sasa akawa mtu wa dozi kwa ile familia akiwa nyumbani usiku hasipolala na Mama Zubeda basi ni Zubeda na Zahara pia alikuwa anapata penzi japo kwa wizi wizi!
Selina na Suzy wao walikuwa wakijisika kufanya mapenzi na Lukas wanamfuata machungani wanamalizana huko!
Hayo ndiyo yakawa maisha ya Lukas,malipo ya fadhila ya mzee Mtata ikawa ni kuivuruga familia yake bila huruma!
Licha ya yote aliyofanya Lukas hakuridhika kabisa,bado alimtaka Johari binti ambaye amekuwa akimdharau sana pale nyumbani!
Johari alikuwa na dharau iliyopitiliza,alifikia hatua hata akiwa na kiu anamtuma Lukas maji kitendo ambacho kilikuwa kinawashangaza hata ndugu zake!
“Lukas niletee maji ya kunywa!”
“Hiiiii dada jamani siunitume hata mimi?”,alidakia Selina!
“Usifundishe kwani huyu ana kazi gani hapa,anakula bure analala bure!”
“Kwani we dada unalipia nini?”,aliuliza Suzy!
“Usinifananishe mimi na vitu vya kipumbavu mi kojo la Mzee Mtata na huyu ni kojo la nani?”
Kauli ile ilimchefua Lukas akatamani aamke ampige hata kofi lakini akajizuia,Selina na Suzy hawakuwa na uwezo wa kumzuia dada yao walimuacha apake anavyoweza,Lukas alivyoona maneno yamezidi aliondoka akaingia ndani!
Selina na Suzy walimsubiri mama yao wakampa zile habari akaishia kumsema tu Johari,Zubeda hakuzipata habari zile,kama angezipata pangechimbika!
Siku moja sijui ilikuwaje bahati nzuri nyumbani walibaki wawili tu johari na Lukas,Johari kama kawaida yake alianza umwinyi wake!
“Lukas niletee maji ndani!”,Lukas alimuangalia Johari kwa hasira kisha akainuka na kuingia ndani akachukua maji ila kuna kitu aliweka ndani yake akampelekea Johari akanywa!
JE LUKAS AMEWEKA NINI KWENYE KILE KIKOMBE?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 45

Lukas baada ya kumpa maji aliondoka zake akaingia kwenye kijumba chake,alichokiweka kwenye maji alikijua yeye mwenyewe!
“Nimekupata leo subiri uone!”,alijsemea kisha akajilaza kusubiri matokeo!
Johari alijiona amemuweza Lukas bila kujua kuwa kama ni choo basi kaingia cha kiume,baada ya kunywa yale maji ilimchukua dakika tano tu akaanza kuhisi vitu vya tofauti mwilini mwake!
Alianza kujihisi msisimko wa ajabu mwili wake ulikuwa haueleweki kabisa,hata yeye alianza kujishangaa!
Kadri muda ulivyokwenda ndivyo hali ilizidi kuwa mbaya,alikimbilia chumbani akavua nguo zote akiwa haelewi nini kimemkuta!
Alipojigusa kwenye sehemu zake za siri zilikuwa zimelowa kama mtu aliyeandaliwa tayari kwa kuifanya mapenzi!
“Mama yangu!ni nini hiki?”
Johari alijikuta kwenye wakati mgumu sana,alianza kujipapasa labda itatulia lakini ndiyo kwanza ikazidi,alipojishika ili walau kujiridhisha na vidole haikuwezekana!
Alichukua kanga akakimbilia jikoni bahati nzuri akakutana na maji ya moto akayachukua na kuingia nayo bafuni,alijimwagia kidogo akahisi nafuu!
“kwani nimekuwaje mbona ghafla!”
Alijisemea akiamini hali ile imekwisha akaingia chumbani akajitupia kitandani,ghafla hali ile ikarudi kwa kasi kuliko mwanzo!
Alijikuta anatamani kupiga kelele kwa jinsi alivyokuwa anajisikia,alijihisi anaenda kuwa kichaa,hata kama hamu ya mapenzi ile ilizidi!
“Mama yangu nina nini mimi oooshiiiiii!”
Aliamka na kukimbilia tena jikoni lakini kabla hajaingia akakiona kijumba cha Lukas,hapo ndipo alipopata wazo ambalo alipingana nalo!
“Hapana siwezi mpa penzi yule mpuuzi,aaaahhsiiiii jamani sijui nimpe tu!”
Nafsi mbili zilikuwa zinabishana,moja ilimtaka aende akajipoze kwa Lukas nyingine ilimkumbusha vile alivyokuwa anamdharau,hakujua asimamie wapi?
“Potelea mballi!”
Kwa kasi ya kimbunga Johari aliingia ndani na kumkuta Lukas kajilaza,Lukas alipomuona alijifanya kushtuka japo moyoni alitegemea ugeni ule!
“Vipi?”
Johari hakuwa na muda wa kujieleza,hali yake ilikuwa mbaya bila aibu akavua nguo zake na kuzitupilia mbali,Lukas akabaki anamshangaa!
Johari alishadhamiria kama mbwai iwe mbwai tu,alimrukia Lukas kitandani mkono wake akauzamisha ndani ya suruali na kuichomoa bakora!
“Sitaki maswali nataka hii!”
Kabla hajajibiwa alimkalia Lukas na kuisukumia bakora yote chunguni,joto lilikuwa kali likamfanya Lukas asisimke kwa utamu!

*********

Huzuni ilitawala nyumbani kwa Mzee Mtata,baada ya kuondoka kwa Lukas ni kama walirudi kifungoni tena!
Hakukuwa na mwanaume mwingine pale kijijini wa kuwagusa wake wa yule mzee isipokuwa Lukas,Kijiji kizima kilimuogopa yule mzee!
Hakuna aliyethubutu hata kukatisha kwake,kiufupi huwezi kwenda kwa mzee yule bila kuwa na jambo maalumu,unaweza usirudi ukapotea kabisa!
Wake wa mzee Mtata waliamua kukaa kikao kuona wanatatuaje tatizo lile ambalo liliwamyima raha kabisa,walijikuta wamezoea bakora,penzi tamu la Lukas liliwaacha hoi!
“Jamani nadhani mnaona,hali imekuwa tete shoga zangu!”,alisema Chiku ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa kikao kile!
“Jamani mi nimefanya uchunguzi yule kijana anaishi kwa Mzee Jomo na anakaa kwenye kijumba chake cha pembeni,naona kama tungekuwa tunaenda usiku lakini siyo wote hata wawili wawili!”
Wote walikaa wakalitafakari wazo lile mwisho Chiku akaamua kusema!
“Jamani kama mnavyojua hakuna mwanaume wa kutugusa hapa kijijini,huyu mzee anaogopwa kama ukoma,mwanaume pekee wa kutupa tunachotaka ni Lukas,kama hilo wazo la mwenzangu naona liko sawa tuweke zamu za kwenda wawili wawili japo si kila siku!”
“Ila jamani huyu mzee si mchawi atashtuka!”,alisema Vero
“ Hana jeuri hiyo kilichokuwa kinamshtua nilishakitupilia mbali!,alisema Chiku!
Mwisho walikubaliana kufanya vile ila baada ya wiki moja mbele,kikao kilivunjwa wote wakaendelea na mambo yao!

*******
‘Usiyempenda kaja’,ndiyo kauli tunayoweza kuitumia kwenye hili sakata la Lukas na Johari!Hakuwa na ujanja tena,Johari alikuwa kalala kitandani mguu bara mguu pwani,huku Lukas akiwa katikati ya Zanziba na Tanganyika anafanaya yake!
“Aaaaasiiiiih…nakujaaaa…haaaaaaaaaashiiiiii”
Ilikuwa ni banduka bandua,licha ya kuvunja madafu kadhaa bado Johari aliitaka bakora ya mgeni,na kama tunavyojua mgeni siyo mchoyo,alimpa kitu roho inapenda!
Lukas aliamua kuua mende kwa rungu,alimpa penzi ambalo anaamini baada ya hapo Johari ataacha upuuzi wake kabisa!mchozi yalimtoka Johari aliguswa kwenye ngome ya raha,sehemu ambayo hajawahi kuguswa kabisa!
Sasa rasmi Lukas akawa kashafanya mapenzi na familia nzima ya mzee Jomo!
JE NINI KITAENDELEA BAADA YA HAPO JOHARI ATAFANYAJE!?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 46

Lukas alikuwa nafanya mapenzi ila kwa Johari ilikuwa ni tiba,tiba kwa ugonjwa uliomshika ghafla!japo tiba ile ilimfanya Johari agundue kuwa Lukas ni fundi sana kwenye sita kwa sita!
Kiu chake kilikatwa kwa bao tatu tamu mgeni,Johari alikuwa mwepesi kabisa,hali ile ilikata kabisa ila akabaki na aibu kubwa kiasi aligeukia pembeni!
Hakutaka kuamini kama mtu aliyekuwa anamdharau ndiye kamfuata tena yeye mwenyewe na kumvulia nguo bila hata kutongozwa!
Alitamani kufungua mdomo amshukuru Lukas lakini hakuweza kabisa,aibu iliufunika uso wake,licha ya kupewa tiba lakini alikiri moyoni kuwa Lukas amemfikisha ambapo hakuna mwanaume aliyewahi kumfikisha!Mgeni alikuwa bora sana kwenye hii sekta!
Kwa aibu alijizoa kitandani na kuvaa nguo zake alipomaliza alitoka bila kuaga akaishia zake huku Lukas akiwa amekaa kitandani anatabasamu!
“Kwisha habari yako nitukane tena sasa!”
Alijisifu Lukas kwa kufanikisha jambo lake,kwake mbali na kuenjoi mapenzi ila kilikuwa ni kisasi pia kwa lugha chafu alizokuwa anamwagiwa na yule binti!
Ile nafasi aliitafuta siku nyingi,aliamini ili aache kumdharau siyo kumpiga bali ni kumvua nguo yake ya ndani,sasa hakumvua wala kutumia nguvu nyingi!
Ukisikia kuku kukamatwa kwa mchele ndiyo kule sasa,Johari aliingia bila kuitwa na kusaula nguo zake bila kusurutishwa wala nini!
“Ivi imekuwaje?mbona ghafla?mbona nimejidhalilisha hivi jamani?Nimelogwa au?”,hayo ndiyo maswali alijiuliza Johari akiwa chumbani,kwake ilikuwa haijawahi kutokea kugawa penzi kirahisi namna ile,kujipeleka mwenyewe na kusaula mwenyewe!yalikuwa mambo mageni kwake!
“Yani kirahisi hivi,kwa hiyo atasema nilikuwa namchukia sababu namtaka?itakuwaje nyumbani wakijua,aah potelea mbali kwanza nimefaidi na ikibidi ntarudi tena!”
********
Baada ya wiki moja kupita Lukas alikumbuka ana miadi na mzee Mtata,akafunga safari mpaka kwa mzee yule anayeogopwa na kijiji kizima!
Alifika na kuwakuta wake wa Mzee wakiwa wanashughulika na shughuli zao mbali mbali,wa kwanza kumuona alikuwa ni Vero!
“LUKASIIII!”
Aliita kwa mshangao lakini hakumsogelea sababu mume wao alikuwepo,walimpokea kwa tabasamu wakiamini Lukas alirudi kwa ajili yao,biila kujuwa Lukas amefuata tiba kwa mzee Mtata,alipewa kiti akaketi!
“Vipi mzee yupo?”
“Jamani Lukas unamuulizia mzee tu ina maana hujatumiss?”
“Nina shida naye ya muhimu nyie tutaongea baadae!”
“Yupo kilingeni!”
“Yupo na mtu?”
“Hapana ngoja nikampe taarifa kama akikuruhusu uingie!”
“sawa!”
Chiku alienda kilingeni aliporudi alimchukua Lukas na kumpeleka kwa Mzee Mtata!
“Karibu kijana,karibu kijana hahahahahaha!”
“Ahsante sana mzee wangu shikamoo!”
“Marahaba kijana wangu!Karibu sana kijana naona umekuja kwenye lile zindiko eeh?”
“Ndiyo mzee wangu!”
“Hii dawa ni ya gharama sana,inagharimu laki tano!”
Kauli ile ilimfanya Lukas apate mawazo ya ghafla,maana alipo hana hata senti,tangu afike kijijini kazi kubwa anayofanya ni kuchunga mifugo tu na halipwi chochote,kiufupi hakuwa na uwezo wa kuipata hiyo pesa kabisa!
“Hahahaha kijana usiwaze,umeishi vizuri na familia yangu,hii dawa nitakufanyia bure kabisa!”
“Ahsante mzee wangu ahsante sana!”
“Usijali mshukuru aliyekufundisha busara,napenda vijana kama wewe,ungekuwa mwanangu ningekurithisha mikoba yangu hahahahaha!”
Tabasamu lilitawala usoni kwa Lukas,kuna muda alijihisi kujuta kwa matukio aliyomfanyia yule mzee,kitendo cha kutembea na wake zake wote kilimuuma sana!
Wanasema hata shetani kuna muda anakuwa mwema,Mzee Mtata aliamua kumtibu bure kabisa bila hata shilingi!
Maskini hakujua nyuma ya pazia Lukas ni mchepuko wa wakeze wote,hawezi kuhisi tena hiyo hali sababu Chiku alishaitoa dawa yake inayomjulisha mambo mengi,ile ilikuwa kama CCTV kwake!
Hakujua kuwa mkewe mkubwa ambaye ndiye msiri wake alishaitoa na kwenda kuitupilia mbali,bila kujali kuwa ile dawa ni ulinzi kwa mumewe anaoutegemea!
Bila kupoteza muda Mzee Mtata alianza kumfanyia dawa anazojua yeye,siku ile Lukas alikula nyungu mpaka akahisi kuchanganyiiwa,ilikuwa ni nyungu na kuoga madawa!
“Sasa kijana hapo kapumzike kwenye kile kibanda chako,usiku ntakufuata twende sehemu tukamalizie dawa!”
Lukas alitoka akiwa anahisi kizunguzungu,nyungu siku nzima haikuwa mchezo,aliingia kwenye kile kijumba akajilalia kwenye kingozi cha ng’ombe akiwa hoi!
Baada ya kupata chakula cha usiku alilala fofofo akisubiri Mzee Mtata aje amchukue waende kumalizia dawa!
Akiwa usingizini alihisi kupapaswa!aliposhtuka hakuamini alikutana na Vero na Lole wakiwa watupu ni wazi walitaka penzi lake,ilikuwa ni hatari sababu muda wowote Mzee Mtata anamfuata!
Kabla hajasema kitu alisikia sauti ya Mzee Mtata kwa nje ikimuita,siyo yeye wala wale wnawake wote walitetemeka!
“Kijana amka kumekucha!”
JE NINI KITAENDELEA?ATANUSURIKA TEANA Lukas?
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 47

Sauti ile iliwapa hofu sana,Lukas alijua haukuwa muda wa kulaumiana,maana wale wake zake walikuja bila kujua,kibaya na yeye alisahau kuwaambia kuwa usiku ule atatoka na Mzee Mtata!
“Kijana ina maana umelala?”
Mzee Mtata sasa aliongea huku anaingia ndani akakutana na Lukas aliyetanda mlangoni,Mzee Mtata akawa ameishia hapo!
“Nilijua umelala nikuamshe!”
“Haa…hapana mzee nilikuwa macho!”
“Sawa nifuate!”
Siku ile ngamia alipita kwenye tundu la sindano,Lukas hakuamini kama amenusurika kufumaniwa na Mzee yule anayeogopwa hata na mbwa wa pale kijijini!
Alimshukuru Mungu kwa kumuepusha na msala ule,amfuata yule mzee nyuma bila kujua wanaenda wapi?
Safari ilikuwa ya lisaa lizima mwisho wakatokea makaburini na safari ikawa imeishia hapo,Lukas alibaki ameduwaaa,hakuwaza kama tiba yenyewe ni kupelekana makaburini!
“Kijana ulitaka tiba,sasa utalala kaburini siku tatu,kisha nitakuja kukutoa,kule ulikofanya utakuwa mpya,tutakuwa tumeyazika mambo yako yote na utakuwa mpya!”
Lukas alibaki anatetemeka kwa hofu kubwa,kitendo cha kuambiwa alale kaburini ulikuwa mtihani mkubwa kwake!
“Kwa…kwani hamna tiba nyingine?”
“Uliniambia nikutibu kumbe unaweza kujitibu,jitibu basiii!”
“Haa…hapana mzee tuendelee!”
Mzee Mtata alisogea karibu kaburi moja la zamani sana alipofika alichukua kibuyu ambacho kilikuwa na maji meusi!
Aliulowanisha usinga wake akaanza kuyarusha yale maji huku anaongea kwa lugha ambayo aliielewa mwenyewe!
Baada ya muda lile kaburi lilianza kutoa moshi mweusi,akaendelea kusema lugha zake mpaka ukatoka moshi mwekundu,akaendelea tena mpaka ukaja moshi mweupe!
Moshi mweusi wa kwanza ulimaanisha kuwa maiti iliyozikwa pale alikuwa imekasirika na kama angeacha na kuitoa muda ule ingewadhuru,na ule moshi mwekundu ulimaanisha kuwa sasa haina hasira ila inataka damu,kwahiyo ingetoka muda ule,ingeenda kijijini na kudhuru watu!Lakini ule mweupe wa mwisho ulimaanisha kuwa sasa amani ipo,mzimu hautakuwa na fujo!
Baada ya ule moshi mweupe kutoka mzee Mtata alisita kusema akanyamaza,ghafla kaburi lile likafunguka na jeneza likajileta juu lenyewe!
Mzee Mtata aliendelea kulirushia jeneza maji kwa usinga wake mpaka likafunguka ikaonekana maiti iliyokuwa imefungwa sanda!
Mzee Mtata aliita kwa jina lake ikaanza kuamka mpaka ikasimama na kutoka ndani ya jeneza!
Lukas haja kubwa iligonga hodi achilia mbali mkojo ambao ulikuwa umepita kabisa alikuwa anatetemeka kama katoka kulala ndani ya friji!
“Samahani ninakupa matembezi ya siku tatu,nataka kijana wangu atumie kitanda chako,alale kwenye nyumba yako kwa siku tatu,baada ya hapo utarudi nyumbani kwako tena,ila usidhuru watu sababu sitakuja kukupa matembezi tena!”
Ile mzimu ulikuwa umesimama tu hausemi chochote,Mzee Mtata aliusogelea akaupiga na usinga kichwani akauamrisha ukaondoka taratibu kwa mwendo wa kizombi mpaka ukapotelea kizani!
Akamgeukia Lukas ambaye alikuwa anatetemeka kwa hofu,akaanza kumsogelea alitaka kukimbia lakini alimchapa usinga kichwani akabaki kaduwaa!
Kuanzia hapo ikawa kila anachoambiwa anatii bila shuruti,kiufupi ni kama Mzee Mtata alimchota akili zake na kumfanya zuzu kwa muda!
Mzee mtata alisogea kwenye lile jeneza akalifanyia dawa zake kisha akamgeukia tena Lukas ambaye alikuwa kasimama kama sanamu!
“Ingia humo,usifanye fujo kwenye nyumba ya watu kama king’amuzi kimeisha umnunulie sawa!”
“Sawa mzee!”
Bila uoga Lukas aliingia kwenye jeneza likajifunga kisha taratibu likaanza kuingia kaburini kisha kaburi likajifukia na kuwa kama hamna chochote kilichotokea!
Baada ya kumaliza kufanya yake ,mzee Mtata aliondoka na kumuacha Lukas kaburini,ambaye haikujulikana atatoka mzima au lah!

*******

Mama Zubeda alishangaa kutokumuona Lukas,mwanzo alijua kuwa amelala lakini kadri muda ulivyokwenda ndivyo wasiwasi uliongezeka!
“Selina ebhu kamuangalie Lukas humo ndani!muamshe mbona kalala sana leo!”
“Subiri nikamuamshe mimi”,alidakia Johari mpaka kila mtu akabaki anamshangaa!
“Kulikoni unataka ukamtie makofi mkaka wa watu huko eeh!”,alisema mama Zubeda hakumuamini kabisa Johari sababu anamchukia sana Lukas,bila kujua Lukas alishambadilisha sasa anampenda kufa!
Johari alirudi na majibu kuwa Lukas hakuwepo!walijuliza kaenda wapi?Waliamua wavute subira pengine atarudi lakini mpaka jua linazama Lukas hakutokea!
Siku ikapita Lukas haonekani,ndipo kesho yake Mama Zubeda aliamkia kwa mzee Mtata kujua tatizo ni nini?
Alifika na kumkuta Mzee Mtata kilingeni kajaa tele,alipomuona tu akatabasamu akamkaribisha kwa bashasha!
“Mzee mdogo wangu haonekani,usinambie umemchukua tena!”
“Lakini hukutimiza matakwa yetu,au umesahau mpenzi?”,Mzee Mtata aliamua kutumia fursa!
JE NINI KITAENDELEA?MAMA ZUBEDA ATAKUBALI KUMPA MZEE TIGOPESA?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 48

Mzee mtata hakuwa amemchukua Lukas kama kipindi kile,tatizo Lukas hakuwa ameaga nyumbani na alifanya ivyo akiamini angerudi siku ile,hakujua kama atalazwa ndani ya kaburi siku tatu!
Mzee Mtata hakuwa na mpango na ahadi aliyowekeana na mama Zubeda kipindi kile,alikuwa ameshaipotezea,ila alipomuona kaja pale kisa hamuoni Lukas nyumbanui na yeye akaamua kuitumia ile kama fursa!
Akakubali kuwa amemchukua Lukas kimazingara kwa sababu hakutimiza ahadi yao waliyokuwa wamewekeana!
“Kwahiyo unamtesa mtoto wa watu sababu ya hiyo kitu kweli mzee Mtata!”,alihoji mama Zubeda!
“We unaona kidogo icho?”
“Lakini si tufanye kawaida tu kwani lazima mpaka unifanye huko jamani?”
“Usivunje ahadi!”
Mzee yule aliamka bila aya na kuanza kumpapasa Mama Zubeda,hakuwa na haya alitaka kufanya uchafu ule palepale kilingeni bila kujali kama mizimu ingekasirika!
“Mzee Mtata subiri,subiri kwanza naomba nikuahidi kuwa ukimuachia safari hii nakupa unachokitaka!”
“Una uhakika?”
“Ndiyo ila hatutofanyia hapa mi naogopa matunguli yako,tutakutana kule kwenye shamba lako!”
“Sawa nitamrudisha kesho kutwa,atakuwa mzima mwenye afya na nguvu kuliko mwanzoni!”
Walikubaliana ivyo huku ikiwa ni janja ya yule mzee akiamni atamtoa kaburini Lukas baada ya siku tatu!
Mama Zubeda aliondoka huku akijilaumu kwanini hakumpa yule mzee anachotaka mapema,yasingetokea yale,bila kujua Lukas alikuwa anatibiwa ili arudi mjini!

********
Lukas alikuwa kama yupo kwenye ndoto nzito sana,usingizi ulimchukua na kuota ndoto zenye kutisha!
Maisha yake kaburini yalitawaliwa na ndoto zenye kutisha,aliota mara nyingi wale aliowakosea wanamkimbiza na mapanga!
Alikuwa naweweseka sana,jasho lilimtoka lakini cha ajabu alikuwa anapumua vizuri tu ila macho hayakufumbuka!
Zilikuwa ndoto zenye mateso makubwa,kukimbia huku na kule akitetea maisha yake,hayo ndiyo yalikuwa maisha yake ya ndotoni
********
Kijiji kilipata ugeni wa ajabu!ile mzimu uliofukuliwa na mzee Mtata ulianza kuleta ghasia kijijini!ulianza kuvamia nyumba za watu usiku wakiwa wamelala na kufanya mapenzi na mabinti!
Ilifikia hatua kila binti anaamka akiwa amebakwa,ulikuwa unatembea nyumba hata ishiruini na kufanya mapenzi na wanawake hata ishirini kwa usiku mmoja!Ulikuwa na moto Lukas anasubiri!
Wanawake walianza kulalamika juu ya mgeni yule wa ajabu,wengine walianza kukutana na ule mzimu maporini ukiwa unatembea!
Mashtaka yalizidi mzimu ulikuwa unatembeza dozi kama haina akili nzuri,viongozi wa kijiji ilibidi wakae wajadiliane juu ya mgeni yule wa ajabu!
“Jamani hii ni aibu,inauma ila niseme tu jana sijamgusa mkewangu ila asubuhi kaamka ananiuliza kama nimefanya naye mapenzi,acha huyo tu binti zangu wawili nao jana hiyo hiyo wamefanya mapenzi usiku na hicho kiumbe!”,alilalamika mjumbe wa kijiji!
“Jamani mimi kama mwenyekiti naona hili suala limekuwa zito sana!Na haliwezi kutatuliwa kisheria!”
“Sasa tufanyeje?”,aliuliza mjumbe!
“Mimi nina wazo!”
“Wazo gani?”,waliuliza kwa pamoja
“Kwanini tusimfuate mzee Mtata atusaidie kumaliza hili jambo,mnakumbuka zamani kuna kipindi ilishawahi kutokea maiti inatembea akairudisha,japo ile haikuwa kama hii!”;
“Wazo zuri naona twendeni sasa ivi!”
Wazee walijikusanya na kuanza safari kuelekea kwa mzee Mtata ambaye kwa asilimia zote anahusika na usumbufu wa ule mzimu,sababu ndiyo aliifukua na kumlaza Lukas!
Ule mzimu ni kama ulibadilishana makazi na Lukas,baada ya kufanya mizunguko yake yote na kutembeza bakora kijijini ulikuwa inarudi kwenye kijumba cha Lukas unalala!
Hakuna aliyejua sababu ilikuwa inalala chini ya kitanda!Na kingine ilitembeza bakora nyumba zote ila haikugusa nyumba ya mzee Jomo sijui kwanini!
Wazee walifika na kumkuta mzee Jomo kilingeni hana habari anavuta zake kiko,habari za mzimu wala hakuzisikia popote,kiufupi hakuwa na habari!
Ugeni ule ulimshtua sababu viongozi wote waliongozana,aliwakaribisha wakaketi kisha wasalimiana,wote walimuheshimu mzee yule mwenye sifa zake za utata pale kijjini!
“Mzee mwenzangu sijui una habari!”,mwenyekiti alifunguka!”
“Habari gani tena!”
“Kuna kiumbe kinabaka wanawake usiku,yaani kinazunguka kila nyumba na kufanya ufusika sijui utatusaidiaje!
Mzee Mtata alipopata habari zile alijua moja kwa moja ni mzimu aliyoufukua tu ndiyo unayoleta matatizo!
“Mnataka nifanyeje?”
“Kikamatwe na kidhibitiwe ikibidi kirudi kilipotoka!”
“hahahahahahahahahaha!”
JE NINI KITAENDELEA?MZEE MTATA ATAFANYAJE?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 49

Habari zile zilimshtua sana Mzee Mtata ila hakutaka kuonyesha hofu mbele ya viongozi wale wanaomwamini,kwa mara ya kwanza alianza kuhisi vitu vya tofauti,haikuwezekana hata kidogo mzimu aliyoufukua ufanye fujo namna ile!
Kuna kitu alianza kuhisi hakipo sawa,aliwaza kuwa atalifanyia kazi baadae!Ila vilevile alitaka kuitumia ile kama fursa!
Mzee Mtata aliwaza mali kwa tatizo alilolitengeneza mwenyewe!alikohoa kidogo kisha akawaangalia wale viongozi!
“Nitawasaidia ila nahitaji ng’ombe kumi na mbuzi watano!”
Wale viongozi waliangaliana malipo aliyotaka yalikuwa makubwa sana,ila hawakuwa na namna baada ya kimya kirefu mwenyekiti alifunguka!
“Kutokana na hili jambo lilipofikia mimi naona tutakupatia unachotaka ila tafadhali fanya mapema sana!”
“Sawa kesho nitaukamata huo mzimu!”
“umejuaje kama ni mzimu?”,mwenyekiti alishtuka kusikia mzee anasema ni mzimu na huku hajauona!
“Mimi ni mganga ujue,na usisahu wananiita mzee mtata!”
“Samahani ivi unamaanisha mkewangu alilala na mzimu na binti zangu pia?”
“Hhahahahahahaha!walibakwa siyo kulala!”,alijibu mzee Mtata!
Yule mjumbe aliinama chini kwa aibu,aliwaza mengi kitendo cha kusikia eti anayetembeza bakora ni maiti kilimchefua sana alihisi kinyaa!
Waliondoka na kumuacha mzee Mtata ambaye aliwataka kesho yake wapige ngoma kijiji kizima wakutane uwanja wa kijiji!
Siku ile ndiyo ilikuwa siku ya kumtoa Lukas aliyetimiza siku tatu kaburini,alijiandaa na kuweka vifaa vyake tayari kwa kazi ile ya usiku wa manane!
Alipanga amtoe Lukas ila maiti auache uendelee kutoa dozi mpaka alipwe ng’ombe kumi na mbuzi watano ndiyo aurudishe!
************
Siku ya tatu ilitimia Lukas akiwa kaburini kwenye usingizi mzito,,kadri siku zilivyokuwa zinasogea ndivyo hali ya ndoto zenye kutisha iliongezeka!
Alikuwa anaweweseka sana,watu aliowakosea walikuwa wanamkimbiza na siraha kali sana kama mapanga marungu,visu,mikuki nk!
Ilifikia sehemu akachoka kabisa ,alikimbizwa akafika sehemu hakuna njia,maadui zake walimfikia wakaanza kumpiga na kumchoma visu,wengine walimkata mapanga wakamchoma mkuki!
Kipigo kilizidi nguvu zikamuishia,alivuja damu kila kona,mwisho kabisa mmoja alikuja na jiwe akalinyanyua akilielekeza kichwani!
“Msiniueee!msiniueeee!”
Kelele zake hazikufua dafu yule aliebeba jiwe aliliachia Lukas akaliona linakuja kichwani alipiga kelele!
“Mamaaaaaaaa!”
Alipiga kelele lakini alishangaa jeneza linafunguka akajikuta yuko nje ya kaburi,alimuona mzee Mtata kasimama na usinga wake mkononi!”
Alianza kujikagua akijiangalia kama ana alama ya vitu,lakini hakuhisi maumivu sehemu yoyote ile!Alikumbuka lile jiwe lililotua kichwani,akajishika kichwa lakini hakikuwa na tatizo!
“SIJAFAAA!”,alishangaa sana Lukas!
“UMEKUFA MIOYONI MWAO!”,alijibu mzee Mtata!
“Unamaanisha nini?”,aliuliza Lukas huku anatoka ndani ya lile jeneza!
“Wamekuua kwenye mioyo yao,sasa utakuwa huru kwani ulishaona kuna mtu anaidai maiti?”
“Hapana!”
Mzee Mtata alilirudisha kaburi lilivyokuwa,jambo lile lilimshtua sana Lukas,maana alijua kabisa alitakiwa akitoka yeye kaburini ile mzimu urudi!
“Mzee ile maiti iko wapi?”
“Nina kazi nayo ila iwe siri yako kwa chochote kitakachotokea!”
“Sawa!”
Lukas hakujua mzimu umeliamsha dude kijijini untembeza bakora kama ukwaju wa bakhresa!
“Tuondoke!”
Safari yao iliishia nyumbani kwa mzee Mtata,waliingia kilingeni mzee akaanza upya kufanya mambo yake!
“Kijana!”
“Naam!”
“Sasa nataka nikupe kinga,kinga ambayo itakukinga na uchawi wa aina zote hata majini watakuogopa,hakuna atakayeweza kukuloga hata mimi pia!Sijawahi kumpa mtu hii kinga ila kwa kuwa nimekuona ni kijana mzuri basi nakupa hii kijana,ila usiitumie kuwadhuru watu!”
Machozi yalimtoka Lukas,yule mzee alionekana kuwa mwema sana kwake,alijuta kwanini alitembea na wake zake!
Baada ya kumpatia ile kinga alimruhusu akamwambia akalale kwenye kile kijumba,lakini Lukas alisema anaondoka nyumbani!
Hakutaka kulala pale sababu aliwahofia wake wa mzee Mtata wanaweza kumvamia,njiani wakati anarudi alishangaa baada ya kupishana na ile mzimu ukiwa na sanda!
Kwa ujasiri aklianza kuifuatilia kwa nyuma mpaka ikaingia kwenye nyumba moja hivi,liashangaa baada ya kuchungulia na kuiona inamvua nguo mdada mmoja kisha nayo ikatoa bakora tayari kwa kumuingilia,Lukas hakukubaliana na lile jambo akataka apambane na ile mzimu!
JE NINI KITAENDELEA?MASU ATAWEZA KUPAMABNANA NA ILE MAITI?

Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI!
Mtunzi……………….Jack Mambo
Whtsp………………..0752761388
Call…………………….0716352102
Umri…………………..18+

Sehemu ya 50

Maneno ya Mzee Mtata yalimjia kichwani kuhusu kinga aliyopewa,akajiona ni kama anaweza kupambana na ule mzimu!
Alimuonea huruma yule binti aliyekua kalala hajitambui huku mzimu ukifanya naye mapenzi,Lukas alishikwa na huruma pia wivu ulimkaba maana alikuwa anakula binti mrembo hatari!
Aliujua ule mzimu ni ule uliyofukuliwa ili yeye apate tiba,akakumbuka jibu alilopewa na Mzee Mtata kuhusu ule mzimu!
Mzee alisema ana kazi nao Lukas aliwaza labda ile ndiyo kazi yenyewe ile,alikumbuka pia aliambiwa afiche siri!
Nguvu zilimuishia akajikuta kaganda kama sanamu akishuhudia jinsi ule mzimu inavyosukuma kiuno chake kwa pupa!
Baada ya muda kama dakika ishirini ilimalizana na yule binti ikarudisha bakora yake kisha ikaondoka,cha ajabu ulimuona kabisa Lukas lakini haukuwa na muda naye,ni kama ulikuwa unamfahamu!
Lukas aliufuatilia tena ukazama kwenye nyumba nyingine kutoa dozi,aliufuatilia mpaka akachoka maana ulikuwa unatembeza dozi balaa!
Lukas alichoka akaamua kwenda zake nyumbani,alifika akaingia kwenye kijumba chake akaanza kutafakari!
Alikumbuka sana maisha ya mjini,akakumbuka vitu alivyoacha na kukimbilia kijijini kisa wanafunzi na wake za watu!
“Ivi sitakamatwa kweli?”
Alijiwazia bado hakuamini sana kauli ya mganga,hakutaka kuyaamini maneno ya mganga moja kwa moja!
Usingizi ulimchukua mpaka aliposhtuka baada ya kusikia kama kuna mtu mle ndani,hakuamini baada ya kuuona ule mzimu,wazo lililokuja ni kuwa mzimu unataka kumuambaruti!
“We vipi humu hakuna mwanamke!”
“Ina maana hunisikii?nimesema humu hamna mwanamke!”
Mzimu haukuwa na mpango naye uliingia chini ya uvungu ikalala zake,akabaki Lukas ana wasiwasi mkubwa!
Usiku ulikuwa mrefu sana kwake,aliogopa kulala akiamini mzimu utamfanyia mchezo mbaya!
Usigizi ulikuja ukamchukua akalala,alikuja kushtuka asubuhi kumekucha,kitu cha kwanza aliinama akaangalia uvunguni hakuona chochote!
Ule mzimu ulikuwa umeshaondoka,haraka akajishika ili ajue kama mzimu ulimfanyia mchezo mchafu,lakini alijikuta mzima malinda yalikuwa salama!
“Eeeefuuuuuuuuuuh!”
Aliivuta pumzi ndefu akazishusha,aliinuka akatoka nje akamkuta mama Zubeda anaandaa vifaa vyake aingie kukamua maziwa!
“Wow Lukas umerudi!”
Mama Zubeda alishindwa kujizuia akaweka chini vitu vyake akamkumbatia kwa furaha,bahati ilikuwa kwao sababu wanae walikuwa bado wamelala!
“Hey watatuona!”
Alisema Lukas akajitoa kwenye mikono ya Mama Zubeda,mama Zubeda akaona isiwe tabu alimshika mkono akamrudisha kwenye kijumba chake,humo akaanza kumpiga mabusu mfululizo!
Mama Zubeda alishindwa kuvumilia alijikuta anataka penzi asubuhi ile jambo ambalo Lukas hakutaka kukubaliana nalo!
“No!siyo saivi tutakutwa!”
“Nipe kidogo bhanaaaa!”
“Hapanaaa!”
Mama Zubeda aliambulia manyoya kwa Lukas,alimkazia akiamini si muda sahihi wa kufanya vile,kwa mara ya kwanza Lukas akajifunza uchoyo!
Mama Zubeda alitoka kishingo upande mpaka zizini akaanza kukamua ng’ombe,akili yake ilikuwa mbali sana!
Alijua kurudi kwa Lukas kunamaanisha nini?Aliikumbuka ahadi yake na Mzee Mtata anayeyataka malinda yake ili Lukas awe salama!
“Huyu mzee jamani,hivi kweli anataka kuniambaruti jamani kisa Lukas,Lukas mwenyewe ananipa kwa masharti wakati malinda yangu yako hatarini hapa!”

Familia nzima iliamka na wote walifurahi uwepo wa Lukas,sasa hata Johari alikuwa anampenda Lukas,alibadilika mpaka wenzake wakawa wanamshangaa!
Lukas alifurahi sana kumuona Selina,maana kati ya wote pale mahaba yake yalikuwa kwa Selina!
Alikuwa ameshaanza kuwaza kuondoka kijijini arudi zake mjini,maana alikuwa na uhakika kabisa kwa tiba aliyopewa na Mzee Mtata hakuna atakayemgusa mjini!
Kutokana na mahaba aliyokuwa nayo kwa Selina aliwaza akiondoka aondoke naye,tatizo lilikuwa je atakubali?
********
Ngoma ilipigwa kijijini ikiwataka wanakijiji wote waende kwenye uwanja wa kijiji kumshuhudia mzee Mtata akimkamata anayebaka wanawake usiku!
Zilikuwa ni habari njema sana kwao,wote walikusanyika uwanjani kumshuhudia huyo anayebaka watu usiku!
Mzee Mtata tayari alikuwa uwanjani na vifaa vyake,tayari kumtoa huyo anayesumbua kijini,Lukas naye alikuwa uwanjani tayari!
Lukas alijua kabisa ile ni janja ya mzee Mtata ambaye ndiye aliyeufufua ile mzimu ili kumtibu yeye,lakini sasa anautumia ili kupata mali,ilimbidi kukaa kimya kuitunza siri ile!
Mzee Mtata alianza kufanya yake,aliongea lugha zake huku watu wanasubiria maajabu!
JE NINI KITATOKEA?MZEE MTATA ATAFANIKIWA KUIRUDISHA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom