The Gold
JF-Expert Member
- Jul 13, 2017
- 435
- 2,477
- Thread starter
- #41
APPLE LIMEPEVUKA
EPSODE YA XX
Saa kumi za jioni juu ya alama, simu ya J ikaunguruma. Akaivuta kutokea kwenye meza maalumu ya kulandia, akatazama mpigaji kabla ya kuiweka sikioni.
"niambie mke wangu" alisema J.
"siyo niishie kuwa mkeo wa mdomoni tu, unioe kweli J" alideka msichana aliyepiga simu hiyo.
"hakuna mwingine wa kuwa na nafasi yako kwangu, wewe ni wa ukweli zaidi na nakupenda zaidi ya nikisema nakuhitaji" alizidi kuchombeza J.
"ok, tuachane na hilo, leo usiku ni mgeni wako,
ENJOY
nikitoka hapa hospitali napitia hapo nataka nilale na wewe hadi asubuhi mume wangu nimekuzunguusha kwa muda mrefu. Sasa nataka uje unifaidi usiku kucha"
"ooooh! Siamini ujue"
"amini tu mpenzi si unajua wewe ndiyo ua la pekee ulioota kwenye moyo wangu" alisema huyo dada kisha simu ikakatwa kuashiria kuwa makubaliano yamepita. J alirusha mikono hewani, hakuamini kama Batuli mtu aliyekuwa akimpa ahadi za uwongo na muda mwingine kumzunguusha eti, usiku ndiyo anakuja kuukalia. Alikuwa kichaa kwa muda mfupi sana. Mawazo kuwa alitakiwa kuoa pia yalipeperuka lakini wakati akiwa na furaha, kuna ugeni uliingia mahala hapo kimyakimya.
"ahaa, karibu sana kaka, nilikuwa nakusubiri wewe tu tuanze mazungumzo" alikaribisha J. fundi. Yule bwana akakaribia pale na kuchukua nafasi.
"nimesha karibia bwana. Kwa jina mimi ni Said maana hukuwa ukilijua jina langu kaka" alijibu ukaribisho huyo bwana aliyejitambulisha mahali hapo.
"ndiyo bwana Said" alianza maongezi J.
"mapenzi ni ya ajabu sana ndugu yangu na hadi hivi sasa mimi na wewe tunaongea, hakuna mtaalamu wa mapenzi aliyekuja na mbinu mpya ya kuyamudu mapenzi. Unaweza kujiona kama kituko tu kwenye dunia hii kama hujampata mtu mwenye kuithamini hali yako ya kimapenzi. Sijui kama utakuwa umenielewa?" aliweka alama ya kuuliza J, ili kuona kama ameeleweka. Saidi akatikisa kichwa kukataa kuwa hakumuelewa hata kidogo japo amemsikia. J hakutaka kurudia na hii ni taratibu yake, si mtu wa kurudia mara nyingi, alichokifanya ni kutumia njia rahisi yenye kueleweka vizuri zaidi.
"naomba nikuulize maswali mawili kabla sijaendelea. Moja litajitegemea ila la pili litalitegemea la kwanza" alisema kisha kumtazama bwana huyo usoni. Saidi alikuwa yupo tayari kuyapokea maswali hayo bila shida.
"naomba usinielewe vibaya, kazi ninayoifanya hapa ni kuingia ndani kabisa, sifanyi kazi ya kugusa juu juu kama wafanyavyo wanasihi wengine.....ah!, ah!,.....mimi siyo mnasihi lakini ninalengo pia la kuiweka ndoa yenu katika usalama hivyo usinielewe vibaya kwa kukuuliza maswali ya ndani"
"usijali kaka wewe kuwa huru kuuliza chochote kile ninachotaka kujua mimi ni wapi nakosea labda" J akapewa rungu, akaamua kuingia moja kwa moja kwenye maswali yake.
"hivi unapotaka kufanya mapenzi na mkeo, namaanisha unapotaka kupata haki ya ndoa kwa mkeo, ni kitu gani unamuonesha mkeo au unamuambia ambayo ni kama ishara ya kumtaka unyumba?" akatulia hapo kwa hilo swali la kwanza, hakutaka kumpa maswali yote mawili kwa wakati mmoja. Said akasema kuwa hakuna ishara anayoionesha kwa mkewe au kitu kingine anachokifanya zaidi ya kumwambia kwa amri kuwa anahitaji kufanya mapenzi.
"kosa" akasema J huku akiunganisha na swali la pili papo hapo.
"kuna maanadalizi yoyoye unayoyafanya ili kumuweka tayari kimwili mkeo?" hapa Said alitikisa kichwa kukataa kisha akasema kuwa kikubwa anapokuwa anahitaji penzi la mkewe au mtu yeyote yule asiye hata mkewe, ni kuhakikisha bakora yake imesimama, basi hapo yeye ni kulenga tundu na siyo kitu kingine.
"hili pia kosa Said......unachokifanya wewe ni mapenzi ya karne ya kumi na nane kumi na tisa, mapenzi yaliyokwisha kupitwa na wakati. Mapenzi ya leo Said yanamambo mengi, mapenzi ya leo yanahitaji mbwembwe na maandalizi. Usitake mapenzi ya kifalme Saidi ya kulala na mkeo hadi ukiwa na hitaji la kumuingilia kimwili. Kitu cha kwanza unachotakiwa kukifanya kabla ya yote, ni kumuandaa mkeo/mwenzi wako kiakili. Nasema hivi kwa sababu gani?" akatulia kidogo J kama anayengoja jibu kutoka kwa Said. Haikuwa hivyo, akarudi pale alipoishia na kuendelea.
"nasema hivi kwa sababu maalumu na ya msingi kabisa. Ni vema umuandae mwenzi wako kiakili kwanza. Muoneshe mkeo kuwa sasa uko katika kumuhitaji hata kama hutamuambia kwa lugha zoelefu. Unaweza ukajenga mazoea ya kuwa nyumbani tu siku hiyo au unaweza kuwa mchokozi tu kwake kwa muda huo ambao unamhitaji, liwe ni jambo tofauti lakini lenye kumjengea picha kuwa kwa muda huo, mpenzi wake anamuhitaji. Msifie sana, mwambie mzuri, ukimtazama kila wakati unatamani uwe naye tu kitandani, unatamani hata usiende kazini na ulale naye tu ukila mambo. Penda kuushikashika mwili wake, hata kama kumpigapiga makalio yake au kumkumbatia na kuyaminyaminya matiti yake kwa chati kidogo kisha unamuachia, mwambie unapenda kuyapata mate yake. Mwambie macho yake ndiyo yanayokuuwa kila akutazamapo hasa anapokuwa ameyalegeza hapo ndipo unapokuwa huna hali. Mwambie unapenda zaidi akiwa kwenye kanga moja tu bila chupi ndani, yani unapenda tu kuyaona makalio yake yanavyopambana na kanga hiyo nyepesi. Mwambie tu." akakomea hapo kisha akatulia tena kwa muda kabla ya kumuuliza swali la msingi sana ili kujua kama mpaka hapo wako pamoja.
"ulishawahi kumfanyia hata moja kati ya haya ninayokuambia hasa pale unapokuwa unataka kufanya tendo la ndoa na mkeo?" Said alijibu kuwa utaratibu huo kwenye maisha yake huwa haupo kabisa. J akamwambia sasa huo ndiyo muda wa kuyatumia hayo maneno ili tu kumuweka mkeo katika akili ya kukutamani au kutamani tendo.
Ndugu msomaji, mapenzi yanamambo sana na hapa ndipo unapokubaliana na maneno ya kuwa mapenzi ni utoto au maneno ya msanii wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la Darasa, kuwa mapenzi uchizi na kile unachokidharau wewe mwenzako kinamnyima usingizi. Mapenzi yanahitaji vitu vidogovidogo lakini vyenye mantiki kubwa sana. Wanawake ni kama watoto kwenu enyi wanaume na enyi wanawake, wanaume ni kama watoto kwenu pia. Msisite kuwafanyia michezo ya kitoto pale mnapohitajiana. Mnaweza hata kukimbizana ndani ya nyumba yenu kama bado hamjawa na familia kubwa kama mnayo basi mwaweza kufukuzana ndani tu ikiwa ni katika michezo na mwisho wa siku mkutane kwenye mpango wa kupeana haki ya kuitana wapenzi. Usiwe mbabe kwa mwenza wako eti, tu kwa sababu ni mtoto wa kike, hapo utakuwa hupati ladha ya ndoa au penzi tamu la mwenza wako kwa sababu atakuwa hayupo nawe kiakili bali atakuwa anakupa kwa sababu umemlazimisha na yeye ni mwanamke au mkeo, afanye nini sasa.
"ukishakuwa tayari katika harakati za kumuandaa mwenzi wako kiakili na tayari yuko kifuani kwako ama pembeni yako kwa mahitaji zaidi. Hapo ndipo unapoingia kwenye upande wa pili wa sarafu, hapa ndipo unakuja ule muda wa kumuandaa kimwili yaani hapa namaanisha kumuweka mkeo katika hali ya kuwa sasa anahitaji kuingiliwa nawe. Uandae mwili wake uwe tayari kukupokea kwa ajili ya kuustarehesha na kukustarehesha pia. Tumia viungo vya mwili wako kuhakikisha mwenzi wako anakuwa hana ujanja tena kwako. Tumia mikono yako kuhakikisha mwili wake unaongea nawe kihisia, ondoa nguo zako za juu kabisa ukipenda kisha msogelee mkeo eidha kitandani ama popote pale, anza kuitoa nguo yake ya juu kama utapenda kufanya hivyo. Usisubiri mkeo avue nguo mwenyewe, kumvua nguo wewe kunafaida kubwa sana moja kuu ikiwa ni kuwa karibu zaidi kinwili na inapelekea wewe kuwa na mzuka mwingi kila unapoyaona maungo yake kwa wakati huo. Ukisha kuitoa nguo yake ya juu, anza kumpapasa mwili wake, usipende hisia zikuendeshe kwani kama hisia zitakuongoza na siyo wewe kuziongoza hisia hakika utashindwa kufanya haya. Utumie mwili wake vile utakavyo ili tu uhakikishe umemroga mazima. Fanya kila kitu kwa utaratibu mkubwa tembea na viungo vyako kwenye mwili wake, shika kila panapotakiwa kushikwa ikiwezekana tumia hata vidole vyako kumtekenya kwenye tamu yake. Kama unaweza pia, tumia ulimi wako kumtia nyege kwa kunyonya chuchu zake, kulamba kitovu chake na kama unauwezo zaidi nyonya hadi chini huko chumvini, hapo lazima mkeo alie hata kama hajawahi kulia kwenye mapenzi abadani. Ukishaona sasa mwili wake uko tayari kwa kuingiliwa, unaweza sasa kumuingilia na kufaidi tunda tamu la mkeo. Kwenye kumuingilia pia usingoje mkeo akatike kaka, wewe ndiyo usukani kwenye tendo hilo, hivyo wewe ndiyo unatakiwa umsugue tena umsugue kwelikweli, usilalamike kuwa eti, kiuno cha mkeo kigumu mara ooh mke wangu hakatiki. Wewe nenda kamsugue ukishamfanyia kila kitu nilichokuelekeza hapo juu, utakuja kuniambia kitakachotokea" alimaliza J kwa kukomea hapo, Said akashukuru sana na kuahidi kuwa ni lazima atafanya kila alilomuelekeza mahali hapo na atakuja kumpa majibu kwa itakavyokuwa. Akaondoka zake. J. fundi akajua kwa hapo kidogo atakuwa ametengeneza kimtindo, mkewe atakapokuja ndipo atamuambia umuhimu wa kutumia kiuno chake awapo kwenye uwanja wa fundi seremala. Alitabasamu kidogo kisha kutazama muda kwenye simu yake. Daaah! Muda ulikuwa umekimbia sana, aliamka na kujiuliza kuhusu mteja wa lile sofa kwanini anachelewa kuja kulichukua wakati amekwisha kulimaliza tayari lakini wakati anawaza hayo, jamaa huyo alifika hapo na kumwambia kuwa kwa muda huo amechelewa sana na usafiri wa kulibebea hana hivyo anaomba libaki hapo hadi kesho asubuhi. J akamuomba wasaidiane kuliingiza ndani. Walipomaliza, alifanya usafi wa hapa na pale na kutulia kumsubiria Batuli. Muda wa kusubiri haukuwa mrefu sana, msubiriwa akawa ameshawasili mahali hapo. J akamkaribisha ndani mgeni wake
"karibu sana mke wangu?" alikaribisha namna hiyo J.
"nimeshakaribia mume wangu, niambie lakini, mambo yanasemaje?" alijibu ukaribisho huo Batuli kisha kuendelea na salamu. J akajibu kuwa hapo ni buheri kabisa. Yakafuatia maongezi mengine ya kunogesha muda kisha wote wakaelekea jikoni kuandaa chakula cha usiku. Kilikuwa ni chakula chepesi hivyo hakikuchukua muda mrefu kuwa tayari wakala na walipomaliza. Batuli akasema kuwa anakwenda kuoga, J akamchokoza na kumwambia kuwa anaonaje kama watakwenda kuoga wote, Batuli akaona aibu kidogo na kushindwa kulijibu hilo swali lakini ishara zilionesha kuwa yupo tayari kama akipenda kufanya hivyo. J akajifanya kuvunga kwanza kidogo kisha akasema moyoni mwake,
"wacha atangulie kwanza afanye yote ya awali kisha namvamia huko huko. Alitulia hapo hadi muda ambao alipanga kufanya hilo shtukizi. Alichukua taolo jingine kisha kuvua nguo zake zote, akajifunga taulo hilo na kuelekea bafuni ghafla bin vuu. Kitendo kile cha kuvamia bafuni kilimshtua sana Batuli, alikuwa hana nguo yoyote mwilini mwake.
ITAENDELEA