Chocolate ina maana gani kwenye mahusiano?

Chocolate ina maana gani kwenye mahusiano?

Anataka uoze meno akukimbie [emoji23]. Kula ni ishara ya upendo tu hiyo
 
Mimi namnunuliaga kwa sababu anaipenda sana hata nikimkosea akishaona chocolate hasira zote zinayeyuka
vibinti vyenye vichuchu vidogo vina raha na karaha yake
 
Back
Top Bottom