Chocolate ina maana gani kwenye mahusiano?

Kuna jamaa yangu anakula chocolate kama nini sijui juzi kati kaingia google kutafuta chocolate zina madhara gan...
Ila mkuu kula tu ila usifike level za huyu jamaa
 
Huyo jamaa yako anachokitafuta atakipata tu,ni suala la muda.
 
Nitajie jina la hyo chocolate Kwanza maana nyingine ni dawa za nguvu za kiume
 
Kuna jamaa yangu anakula chocolate kama nini sijui juzi kati kaingia google kutafuta chocolate zina madhara gan...
Ila mkuu kula tu ila usifike level za huyu jamaa
duh mimi kama zawadi tu mkuu si kilasiku kama huyo bingwa
 
Back
Top Bottom