Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,065
Kwenye Safari ya Maisha, Kwenye Kila Jambo au Makubaliano lolote linaweza tokea mda wowote.
Usiamini Mtu yeyote katika Haya Maisha Jambo lolote linaweza tokea.
Kwenye huu ulimwengu wa Sasa ambao ukweli unazidi kupotea ishi ukiamini chochote kitatokea, andaa akili kupokea Baya na zuri mda wowote.