Chizi na Dockta

Chizi na Dockta

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Chizi kapelekwa hospitali mambo yakawa hivi

Doka: unatatizo gani

Chizi: Nikilala huwa naota nyani wanacheza mpira!!!

Dokta: Itabidi nikupe dawa ili usiote tena

Chizi : Labda unipe kesho maana leo ndo wanacheza fainali
..........................
 
Back
Top Bottom