chizi computer kaka yangu huwezi ukawa msikilizaji tu kama mimi?

Mtajua wenyewe kwanza mimi huko sipo mimikatika computer najua mouse keybrd,nakufungu nakuingi jamii basi!hivyo mkiongea vitu vyakitaalamu mimi naona sawa!
 
Haya bana natumai kijana kawasikia wote na anafanyia kazi ushauri wenu (kama bado ni mwana jamii mwenzetu.)
 
Mtajua wenyewe kwanza mimi huko sipo mimikatika computer najua mouse keybrd,nakufungu nakuingi jamii basi!hivyo mkiongea vitu vyakitaalamu mimi naona sawa!

heri yako mkuu wote tulianza ivyo ila naamini kabisa kwenye jukwaa hili unanufaika sana simaanishi malumbano bali michango yakitaaluma inayotolewa humu ikiwemo ya chizipc
 
Wiki jana huyu jamaa alitangaza rasmi kubwaga manyanga yahani kuhama kabisa JF.Hata tukimjadili haitasaidia sana kwani haumo tena humu

Ila tumkaribishe tena

Poleni mtaalam wetu
 
Wiki jana huyu jamaa alitangaza rasmi kubwaga manyanga yahani kuhama kabisa JF.Hata tukimjadili haitasaidia sana kwani haumo tena humu

Ila tumkaribishe tena

Poleni mtaalam wetu

nikweli alitangaza nia ya kujitoa ila ilikuwa kama kutikisa kiberiti akatangaza tena nia ya kurudi upya ila akupitia jukwaa la utambulisho kujitambulisha upya ila najua anakusanya material ya kuingia nayo tena au yupo busy na ile software ya kuwaunganisha wana JF wote
 
nawaomba mnielekeze hatua kwa hatua jinsi ya kuchakachua modem ili nipate unafuu,mada za mwanzoni kuhusu moderm sikuwepo kwa sasa bado mgeni,tafadhali nielimisheni maana somo nalipenda ingawa bado mchanga wa mambo haya.
 
NDUME HAPA HAPA ULIPO panda juu kabisa kuna neno limeandikwa DOWNLOADZingia humo bila shaka utapa kile unacho hitaji. Karibu sana mkuu.
 
Haya bana natumai kijana kawasikia wote na anafanyia kazi ushauri wenu (kama bado ni mwana jamii mwenzetu.)

sana tu.huyu bwana nimwenzetu na mtaalamu wetu kabisa.na sidhani kama kuna mtu hampendi.mm mwenyewe nasoma sana mada zake.
 
nawaomba mnielekeze hatua kwa hatua jinsi ya kuchakachua modem ili nipate unafuu,mada za mwanzoni kuhusu moderm sikuwepo kwa sasa bado mgeni,tafadhali nielimisheni maana somo nalipenda ingawa bado mchanga wa mambo haya.

ukishafata maelezo ya slave tafuta tena topic imeandikwa free huawei unlock code imeanzishwa na calvin tuma imei na model ya modem yako tukuchakachulie fasta mkuu
 
ni vizuri tukachangia vitu tunavyovielewa,kama huelewi ni vizuri ukauliza si dhambi,ujinga dakika tano za mwanzo tu ie wakati wa kuuliza!
 
mwambie tunamiss sana uku ila ninahofu utomkuta kwani yupo bze na new software yakuwaunganisha wana JF wote

Mwambieni tunangoja hy software kwa hamu, itasaidia pia kupruvu uume wake katika IT! teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom