Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Tutaongea jioni...
Nimeshtuka sana uliponiita! Halafu nimekuja hapa nimekuta vitu vyekundu vyekundu tu! Something must be wrong! Tutaongea hiyo baadae switii!
Tutaongea jioni...
Nimeshtuka sana uliponiita! Halafu nimekuja hapa nimekuta vitu vyekundu vyekundu tu! Something must be wrong! Tutaongea hiyo baadae switii!
he he he he he nicheke mieKuna muda nakasirika halafu najikuta tena kipimo cha upendo kwako kinazidi hasira.....
Filipo Filipo Filipo ?????????????????????????????????????????????????????????????????niambie muda wako na nafasi kama unayo mm niko free kuja huko utakako kwani ...............? imekuwa nongwa ila naomba umsaidie amu ananitukana bure mie sijui nimemfanyia nini naomba anisamehe kwani mie siwezi kuzungumza na vitoto jamani best fanya msaada kidogo hapo nimesikitika sana na sijapenda kwani anataka kuiondoa furaha niliyonayo hapa Filipo
Kuna muda nakasirika halafu najikuta tena kipimo cha upendo kwako kinazidi hasira.....
he he he he he nicheke mie
Mkuu Bishanga hawa wanataka kutibua udugu na umoja wetu.. Imagine kupitia CC baadhi ya members wamekutana live na kuenjoy,kubadilishana mawazo,etc.
Dawa ni unapoiona thread ya namna hiyo unaichakachua positively... Mods nieleweni...
ahahahhahahhahhahahha mtakoma sana CC!kama inawakera kiasi hiki huwa mnapita kufanya nini huku!
au ndo yale yale mi sikujua kuwa huu ndo mlango wa huku!?amsbnmjhsdcnsdjsfnbws]fsbfiuwfkwfiuwefwehfuiwedwifwdfwuwdisdcbsdnsddgsc zako!
Kideri ni ugonjwa wa kuku ukimpata binadamu anakuwa kama kichaa..
uliitwa?mbona waji pendekeza?
Ndo mnaokwenda kama mnakuja, unaingia mahali hata hupajui only to find yourself in a wrong place. ptuuuu!!!!!
uliitwa au ndo kujipendekeza????
Lione kwanza
Wasalimie wote.
Erickb52 kinauma kibuti achaa, kisikilizie kwa mwenzio, tena cha hadharani? amu hakuna jinsi tunaeza leta upatanishi?Hahahaaaaa KIBUTU KINAUMA mweeeeeee!
Copy kwa PakaJimmy LiverpoolFC sweetlady Blaki Womani Lily Flower Mungi Arabela KOKUTONA Arushaone Dark City Asprin Mzee wa Rula Bishanga Mr Rocky nitonye Vin Diesel Mamndenyi
yani mpenzi kuna wanaotuona wanachitchat vilaza kweli
Haaaa, wanaleta petroli kwenye moto tutawalipuaa.
Wala usijali love, ntakununulia kiwembe kipya tena Gillette, unichune utakavyo. Ngozi yako hii mama.....:majani7::majani7:
Binti amu ukisoma hapo kwa red huoni kuna kadalili ka wivu wa kike?
Waambie tena wasijaribu kuleta unanii wao