trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
ndaga baba, uchunge lakini! Asprin atakuwa na AK47! shaurilo, mie simooooooooo! ila mwanaume kujiamini, achana na hao wach.mbi.a ----- wasiojua kati ya bahari kuna nini!!
Ondoa shaka,mzee tablet ni wa kisasa mno,hana hizo.
Yaani kukunyanyua ajili ya dance? Hilo tu...
Ila mwachie handbag yako na kiselula,asije kudhani umesevu namba mpya..
Last edited by a moderator: