chitchat haiwahuuuu!!!!!

chitchat haiwahuuuu!!!!!

amu mama yangu nimchunge? Mama yangu anavyo tupenda watoto wake hawezi tuangusha
kwako mama yako kwa wengine mbebs!!tena nakkushauri utembee na gobore kwa jinsi alivyomcute
 
Last edited by a moderator:
Hehe naona wazee wa chitchat hamtaki stress. Samahani kwa kuwakwaza.
 
Leo nani anaoa au kuolewa? Haaa haa haa.

unataka mke??? Kila kinachoandikwa unachangia kwa ndoa tuu?? Useme wataka nini usaidiwe kama yawezekana ama haiwezekani bhassii
 
unanchekesha (source: faiza foxy)
Hivi kama ni kuchallenge si una challenge contents za individual thread,why attack individuals kwa kufurahia passion yao.
Btw chitchat inawahusu nini walimwengu nyie? Mmelazimishwa kuingia humu au mmesikia Cc kuna mamende mnakuja kurengeshea?

leo Bishanga umetokelezea leo nakupa mkumbato suluhisho wakianzisha kathread kao ni kuchakachua mpaka basi.
 
Bishanga na wengineo......tulizeni munkari......hamjui watu wanaingia humu kuponda ili wapate umaarufu????

Bai ze wei nimewamisi....sijatia timu CC muda....
 
Last edited by a moderator:
wanaCC tuko juuuuuuuuuuuuu! kama dege la obama.
nawashanga hao wanaopanga nyumba ya mganga halafu wanaogopa kunuvumba inahuuuu kwani???

walidhani ngomani kumbe mnadani watajibeba mwali na majungu yao ya ukoko wa mastresss.

kwanza niwaambien?? yaani iyo tarehe 26 itakuwa moto chini, pata chimbikaaa, manake ni ndani ya full kiyoyonzi na mikato ya nguvu lol!
btw Bishanga jibu pm basi??
 
kujibu pm gharama mpenzi gfsonwin , ntupie basi m pesa alfu kumi za kukutumia piem
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom