chitchat haiwahuuuu!!!!!

chitchat haiwahuuuu!!!!!

Hehehehe KOKUTONA bana, hivi waweza ujua utamu wa biriani kwa kuliangalia? Na uchachu wa mtindi waweza utambua kwa macho? Ukitaka kujua utamu wa ngoma si shurti uingie ucheze au? Basi usijali bibie, nini kutapika bana, huna haja ya kutapika utatapishwa mama.:becky::becky::becky: (basi kuna vimjamaa vimekuonea wivu afu vitachonga ile mbaya. Damn hivi sahizi sangapi? Ngoja nijirudie kwa mamsap mie)

Hapo kwa blue umenena neno la neema, ulichokosea kuuliza tena kama naijua.

Unataka kunambia Asprin na uzee huo waweza kuntia kichefu chefu na kuntapisha wewe, mwenyewe amu naona keshazoea akipa kimoja ndo baasi tena, anafurahia hela tuuu. Maana hata kwenye sentensi szke hajasema kabisaa kuhusu yale mambo yale, mradi analamba bingo.

Let wait and see ukija Tanga, ila sitaki fujo baadae humu, nkisikia kelele tu nakugeuza kibuyu. Na umeanza kujiahami kuwa kuna wenye wifu watakuja, we ni multi plug?

Kwenye bluu nimekuelewa utaikuta. Waja lini?
 
Last edited by a moderator:

Wewe umetoka wapi na hiki kibabu Asprin!?
 
Shiiiiiiiii mdogo mdogo mamito, mambo mengine kwa PM. Watoto hawajalala ujue:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Wewe umetoka wapi na hiki kibabu Asprin!?
Filipo we acha tu, vibabu vya siku hizi havipitwi.

Namwangalia speed yake afu namwonea hurumaa, eti ana jeuri ya bingo na anapenda kufanywa ATM, ndo raha yake eti...
 
Last edited by a moderator:
mi sijasoma kabisaaaa yaani sijasoma kitu hapa na kama nimesoma basi sijaelewa

amu hajakuandikia wewe ameniandikia mimi ukome huwezi elewa ya wawili chumbani
 
Last edited by a moderator:
matatizo ya kula bwimbwi mpaka ukiwa na mwaka+!! Mzima wewe babito?? Kebby's nitakuja na bikini tu, staki jotro mie!

hahahaha naona utakuwa umeamua kuja kuuchukua kabisa moyo wa jiwe acha huo mpango wa kuvaa kandambili kiunoni

nchagulie basi white ya kupigilia siku hiyo... maana hm naaga kabisa..... kuwa ntarudi kesho yake
 
Back
Top Bottom