Chitchat camp wacheni umbea! Mpumue

Mkuu unadhani treni zote ni kama za Mwakyembe!? We dandia tu kwa mbele kama kifanyio hakijaamia usoni!
wacha majelous si umenikataa siku nyingi wewe niwache nipumue na huyu jamaa!
 
Mkuu unadhani treni zote ni kama za Mwakyembe!? We dandia tu kwa mbele kama kifanyio hakijaamia usoni!
Mkuu Filipo acha Noum ndoa yako Nai heshimu sana na Marejesho sasa tuachie basi na ss ma bachelor tujivinjari alaaaah!!
 
Last edited by a moderator:
Unatuonea gere?mbona hivyo hivi Smile unapenda CC ila unashindwa pakuanzia ila karibu!
 
Last edited by a moderator:
nakulove sana mume wangu wa zamani ,nakuombea kwa mungu ubarikiwe hadi kuku wa jirani watage nyumbani kwako na wamama wote mtaani kwako wabebe mimba zako mwaka huu..heri ya mwaka mpya.nimemiss kweli arachuga

mmhh hili sasa smile ni balaa unamwombea, bora hata ungesema wadada unasema wamama?? ya kuku wa jirani nimeikubali
 
Mi nimesema tu lakini . . . tusijepunguziana imani! BTW, athante kwa mathifaaaa! lol
 
Last edited by a moderator:
ndo hapo sasa . Kipipi unajua maneno ambao huyasikii hayaumi.ndo maana huwa nawaambia maneno yao siyo sumu sijipi pressure sijiweki roho juu naendelea kubanjuka tu.
Habari ndo hiyo. . . zero entertainment to such facts!
 
😕umbea unalipa???......if yes ngoja nifungue butik ya umbea.....:gossip:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…