kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Kilichopo ambacho watu wengi hasa vijana hawataki kuamini ni kwamba............kwawale woote walisoma shule za msingi kabla ya 1992....kulikuwa na siku maalumu katika wiki wanafunzi wanaapishwa kiapo cha kuitii na kuitumikia TANU/CCM kwa moyo na nguvu zote...........huku mwihoni tukisema ''eehhh Mwenyezi Mungu Nisaidie''..........kiapo hiki waliapa pia akina Slaa,Mtei,Lipumba,Mrema nk......so ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli kutokaana na viapo walivyofanya awali ndio maana kila kukicha ni kufukuzana , kuitana wasaliti nk..........ukweli ni kwamba vijana wengi wenye miaka chini ya 25 wanaweza kuwa wapinzani wa kweli ila viongozi wengi wa upinzani sio wa kweli...........!
Kuna wakati kama hujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kusema kwa hisia na kuonyesha up.um.bavu wako.Wako watu wengi hawajawahi kuiamini ccm kabla hata ya vyama vya upinzani kurudi mara ya pili.Suala la mtu kununuliwa na ccm ni la kibinafsi.Huyo Chitanda si ndiye kundi lenu na huyo zitto?Kwa nini wewe hujaenda wakati unaonekana unawatamani wasaliti?Huwezi kuleta confusion CDM kwa maneno yako! kanuni ambayo shetani huitumia ili watu washindwe kujua Mungu ni nani na ndiyo kanuni mnayotumia wafuasi wa zzk ili watu wasijue tofauti kati ya ccm na vyama vya upinzani chitanda akiwa mmoja wao na kwa mchango wako naona hata wewe ni mmoja wa😵le wako basi!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
wewe unaitumia vipi taaluma yako??
kuwekwa ndan kufua nguo za mtoto wa dr slaa nako ni kutumia taaluma??
zuzu kweli wewe
He is jus another fvcker
Njaa imemrudisha kwa mafisadi.
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na CCM baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,
Kakaataa kuwa msukule