Chitanda ajiunga na CCM

Chitanda ajiunga na CCM

JOHN WA MARWA

Senior Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
100
Reaction score
61
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na CCM baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,
 
Mwigulu ameshakuwa naibu wa fedha unategemea nini kwa watu wavivu wa kufanya kazi?
 
tunamtakia kila laheri kwa maamuzi yake ni bora kuliko kungangania kwenye chama !!!
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,

Kilichopo ambacho watu wengi hasa vijana hawataki kuamini ni kwamba............kwawale woote walisoma shule za msingi kabla ya 1992....kulikuwa na siku maalumu katika wiki wanafunzi wanaapishwa kiapo cha kuitii na kuitumikia TANU/CCM kwa moyo na nguvu zote...........huku mwihoni tukisema ''eehhh Mwenyezi Mungu Nisaidie''..........kiapo hiki waliapa pia akina Slaa,Mtei,Lipumba,Mrema nk......so ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli kutokaana na viapo walivyofanya awali ndio maana kila kukicha ni kufukuzana , kuitana wasaliti nk..........ukweli ni kwamba vijana wengi wenye miaka chini ya 25 wanaweza kuwa wapinzani wa kweli ila viongozi wengi wa upinzani sio wa kweli...........!
 
Huyu chitanda alikuwa ni panya aliyekuwa akiishi nyumbani kwa binadamu wakati makazi yake halisi ni vichakani au kwenye mashina ya katani.Kwa hiyo ameona hawezi kuishi na binadamu ila ameamua kwenda kuishi na kenge na mijusi vichakani.Mla rushwa yeyote hawezi kukaa CDM Labda kama atakuwa amekuja kutarii tu.
 
ccm ni chama taasisi, ndio mana makada wake wakikengeuka mwisho wakijitambua hurudi kundini
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,

That is not fair comment.
 
Huyu chitanda alikuwa ni panya aliyekuwa akiishi nyumbani kwa binadamu wakati makazi yake halisi ni vichakani au kwenye mashina ya katani.Kwa hiyo ameona hawezi kuishi na binadamu ila ameamua kwenda kuishi na kenge na mijusi vichakani.Mla rushwa yeyote hawezi kukaa CDM Labda kama atakuwa amekuja kutarii tu.
angalia kwanza matatizo na uchafu wa ndani ya chadema uliomtoa chitanda.ndio umgeukie yeye
 
Kilichopo ambacho watu wengi hasa vijana hawataki kuamini ni kwamba............kwawale woote walisoma shule za msingi kabla ya 1992....kulikuwa na siku maalumu katika wiki wanafunzi wanaapishwa kiapo cha kuitii na kuitumikia TANU/CCM kwa moyo na nguvu zote...........huku mwihoni tukisema ''eehhh Mwenyezi Mungu Nisaidie''..........kiapo hiki waliapa pia akina Slaa,Mtei,Lipumba,Mrema nk......so ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli kutokaana na viapo walivyofanya awali ndio maana kila kukicha ni kufukuzana , kuitana wasaliti nk..........ukweli ni kwamba vijana wengi wenye miaka chini ya 25 wanaweza kuwa wapinzani wa kweli ila viongozi wengi wa upinzani sio wa kweli...........!

ila hawakuapa kuwa wapatapo madaraka wayatumie vbaya, wawe mafisad au wabake mabinti zetu.,, huoni hapo pia wapo wengi waliokiuka viapo hvyo kuliko hao wapinzan? Ni bora kuwa mpinzan kuliko kujifanya upo ccm alaf mnafiki
 
Siwalipanga wanaamia ACT?
Inamaana wasaliti wameshaanza kusalitiana kabla ya kuujenga umoja wa wasaliti?

Ebu tusubiri tuone Lowasa na Zitto itakuwaje mbele ya safari yao, nani mwenyekiti na nani atagombea uraisi.
 
Back
Top Bottom