Hahahha ahahha hahha,
Kaka yangu mtu chake huku raha sana hasa ukiwa na mwenza,utamu wa huku tunaujua wa huku huku tu!
Nicas Mtei umeniacha hoi vile umekubali kutokwa mapovu kwasababu ya Yo Yo...
Ina mana kweli kabisa humjui Yo Yo kuwa ni mchokozi aliyeshindikana?
Hahahha hahha hahaha,Cantalisia shemeji yangu...hujambo bongolala?...bongolala mwenzio niko super...jitahidi boss wako asijue kuwa ww ni bongolala...utapewa kimemo!
Kwani vipi tena BAGAH?.... Kuna mahali nimefanya ndivyo sivyo?....unanitisha ujue, nitafsirie kwanza jina lako kwa kiswahili afu na mimi nitakutafsiria la kwangu...kwenye PM lakini!sweetlady hivi umekuwaje siku hizi?...alafu vip kuhusu utafsiri wa jina lako?...kiswahili chake?...
aiseee hamuwezi kunielewa......hebu shughulisgheni vichwa vyenu bana....
Nicas Mtei umeniacha hoi vile umekubali kutokwa mapovu kwasababu ya Yo Yo...
Ina mana kweli kabisa humjui Yo Yo kuwa ni mchokozi aliyeshindikana?
Hahahha ahahha hahha,
Kaka yangu mtu chake huku raha sana hasa ukiwa na mwenza,utamu wa huku tunaujua wa huku huku tu!
Lisa mzima anakunywa maziwa na corn flex sasa hivi.......arifu mie sio mchokozi sema nyie hamtaki kuukubali ukweli.....nikisema ukweli naambiwa mie mchokozi....Yo Yo inamana mie hunikutagi majukwaa mengine? Hakyanani nakuapia hujaijua raha ya chit chat arifu... Arifu siku ukiijua utalala humu afu mama nanlii akuchape makofi..
msalimie binti ako afu upunguze kuchokoza 'WEN DHIO'
kwikwikwi......lete bana jf udaku toleo la may!Ila mkuu wewe ni Mmbea, manake hata JF Udaku imekufanya chanzo chake cha kuaminika kwa habari moto moto... hehehe
Kwenye Chit Chat, ikitokea kumkwaza mtu, iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi, akilalamika unamtaka apunguze munkar, tupo Chit-Chat.
- Adui yako kwnye siasa anakuwa rafiki yako Chit-Chat (Cantalisia&Rejao mfano wa kuigwa).
- Kwenye Chit Chat unapata marafiki, kwenye Siasa unapata maadui.
- WanaChit Chat wanajua kuwa hawajui, WanaSiasa ama wanajua kuwa wanajua, au hawajui kuwa hawajui.
- Chit chat kuna ustaarabu, hakuna matusi ya nguoni na ikitokea kwa bahati mbaya mnaombana radhi, yamekwisha.
Kwenye Siasa visasi vyake vinadumu daima.
- Unaweza kuleta Siasa hapa ki-masihara, watu wakachangia kimasihara huku wanaambiana ukweli wa kufa mtu. Thubutu peleka Chit-Chat zako kwenye Siasa - Utatolewa kwa kiambazani.
- CHIT- CHAT ni jukwaa la majukwaa yote.
Just because it's Chit Chat. Ukiambiwa kumi shika moja na hilo nalo ulichunguze.Duuuuh mkuu umeipakulia sana Chit -Chat.
Yani huku source unakuwa wewe mwenyewe kwanza ahat ukileta ya uongo hakuna wa kukutolea mapovu lol!...niko dada. Cantalisia...yaani huku raha tupu...hakuna mambo ya tuwekee ushaidi,picha wala kujua chanzo cha habari
Yani hilo wala hujakosea mkuu,Kwenye Chit Chat, ikitokea kumkwaza mtu, iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi, akilalamika unamtaka apunguze munkar, tupo Chit-Chat.
- Adui yako kwnye siasa anakuwa rafiki yako Chit-Chat (Cantalisia&Rejao mfano wa kuigwa).
- Kwenye Chit Chat unapata marafiki, kwenye Siasa unapata maadui.
- WanaChit Chat wanajua kuwa hawajui, WanaSiasa ama wanajua kuwa wanajua, au hawajui kuwa hawajui.
- Chit chat kuna ustaarabu, hakuna matusi ya nguoni na ikitokea kwa bahati mbaya mnaombana radhi, yamekwisha.
Kwenye Siasa visasi vyake vinadumu daima.
- Unaweza kuleta Siasa hapa ki-masihara, watu wakachangia kimasihara huku wanaambiana ukweli wa kufa mtu. Thubutu peleka Chit-Chat zako kwenye Siasa - Utatolewa kwa kiambazani.
- CHIT- CHAT ni jukwaa la majukwaa yote.
..tena huku dada. Cantalisia..mnaruhusiwa kula vyenu...hata mchana...Yani hilo wala hujakosea mkuu,
Kule Rejao wangu anawasababishia vichefu chefu na kumchukia akija huko namwagia malove davi ya kufa mtu,
No stress wala nini nikupeana vitumbua na soseji tu kutwa mara 3 lol!
Sio kuishi kimagumashi gumashi bali ni suala la kuwa "kwenye vingi unaweza kuchagua - free style", na wengine tuko allergic na siasa - lol.Kumbe huku mnaishi kimagumashi mashi!!!!!