The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
View attachment 53474
Halafu dogo umesahau kumwambia kama stress hazitaisha akamate kitu NDOVU baridiiiiiiiiiiiii atashangaa yuko waaaaaa
View attachment 53474
afrodenzi wakitaka kutufungia tunamuomba Mod atupunguzie adhabuhahahahahahaha he imetengezwa kulekele sehemu ile ile mahali pale pale hahahalol..
dahhhhh tupunguze makali basi tusije tukafungiwa bure...
cheeressssssssssss..
Jagwa - YouTube
Hii stress free song inawafaa sana afrodenzi Lizzy FirstLady1 Gaijin ​@klorokwin na mpwa fidel
The Finest asante sana Birthday Imeshaje? wamekubakiza salama mkwe?Jagwa - YouTube
Hii stress free song inawafaa sana afrodenzi Lizzy FirstLady1 Gaijin ​@klorokwin na mpwa fidel
Hivi vinywaji vinafaa kusukumia Mkate na Chapati......
Hahahaaaa sasa siitakuwa ngano kwa ngano?Hivi vinywaji vinafaa kusukumia Mkate na Chapati......
Hahahaha!!! afrodenzi hapo haujamuona klorokwini anaruka hayo majoka...loldahhhhhh The Finest we hapana loohh asante
afrodenzi wakitaka kutufungia tunamuomba Mod atupunguzie adhabu
Tunamwambia Mod wetu RussianRoulette ni stress tu za maisha..mwenyewe ataona vimiminika vilivyoshamili kwenye page
Kuna mtu niliona anamvizia vizia ila sina uhakika kama TF kachomoka ila ngoja tuwangoje wazee wa udaku waje na Breaking NewsThe Finest asante sana Birthday Imeshaje? wamekubakiza salama mkwe?
Mkwe FirstLady1 hebu usikilize huu wimbo hapa chini najua utaupenda tu..
P square - Beautiful Onyinye. - YouTube
Hahahaha!!! afrodenzi hapo haujamuona klorokwini anaruka hayo majoka...lol
Imeisha vizuri ila Kongosho kaondoka na uma, visu, na sahani za wenye hoteli sijui anaenda kufungua mgahawaThe Finest asante sana Birthday Imeshaje? wamekubakiza salama mkwe?
kifungua kinywa kabisa.
Hahaha!! Sipatii picha mtu anakunywa Absolute Vodka na chapati pembeniHahahaaaa sasa siitakuwa ngano kwa ngano?
Dah ila vikiwa vya baridi vina raha aiseee lol
Yaani huu nimetokea kuupenda ghafla tu ...hahahah asante sana Mkwe wangu The Finest
Umenikumbusha weekend iliyoisha nilienda sehemu
Nikaomba Special song Chop my money by P.Square
kuna mdada anaupenda kila saa utasikia chop ma money
BADILI TABIA unadhani kazi huwa zinaisha ...pole sanawikiend naimaliza ofisini huku kijijini.....
Nina kifusi hakina dalili ya kuisha..........