kwani we mkunga mama? Ama una maana gani? Unajua hizi biashara za kutowauliza mama zenu vizuri unaweza kuta unabishana na babako mzazi humu, halafu tena uko Mwanza?? Muulize mamiyo kwanza, sawa mamaa?