Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #81
Hehehehe! Mwambie huyo! Kwaajili yako hata nyumba ya urithi ntauza.
Kiroba kina potea kwa kitimoto
heri ya "boxing day" siku ya kufungua makablasha..
Viroba vyako made in Unga Ltd
Viroba vyako made in Unga Ltd
Hahahaha, kama sio ung ltd basi ni ngarenaro
Mh! Cna imani na huyu kama alikula na mkewe
Hahahahaha! Na wewe nyoa umfungie mtu lol.Asante mkuu' box nimelifungua nimekuta nywele
Hahahaha, kama sio ung ltd basi ni ngarenaro
Hahahahaha! Na wewe nyoa umfungie mtu lol.
Wameenda kwenye sensa
Wameenda kwenye sensa
Ngoja anyweanywe kwanza ili akijikuta kwenye mtaro ajue dunia duara au pembe nne
Hahahahaha! Na wewe nyoa umfungie mtu lol.
Atakuwa alikuwa anakula na hawara