Chit - Chat member mpo wapi

Una ubavu huo, sasa ivi nakuona tu hapo umevaa makoti kama mgonjwa wa ngili kwa ajili ya baridi
watu na vipaji vyetu bana, nnekamata kakuku ka kienyeji hapa maeneo ya mama john na baridi ya mbeya hii raha kwelikweli,ni kufyongonyolana kwa kuruka vihunzi
 
Hahahaaa
Aombe asirudishe chenji maana yatakayomwagika hapo ni balaaa
Lol

na akirudisha chenji lazima zitoke coins tu,hakuna noti hata ya miatano. Chezea sikukuu na ukata wewe
 
heri ya "boxing day" siku ya kufungua makablasha..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…