Chit-chat imetokea kuleeee.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa. Napata furaha sana ninapo mcheck Vin Diesel akiwa na Mamndenyi huku pembeni namuona charminglady na baba yake watu8 pia nawaona dada zangu wapenzi king'ast na Arabela kwa mbaaaali namuona my waifu wangu mtarajiwa Evelyn Salt akiwa katika pozi lake matata. Mh! Kwakweli tumetoka kuleeee!
 
Last edited by a moderator:
Slave Baba V anauza taulo,amelitumia miezi miwili tu yaani bado kama jipya vile ndio maana hujamuona siku kadhaa anatafuta wateja
 
Last edited by a moderator:

yeah kaka wenye chuki na chitchat shauri yaooo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe nilikuwaga siasani kulee pindi nilipojiunga....Nilipopata ban ya mwezi baada ya kurudi nikiwa bado nina wenge la ban mara nkadondokea CC nikawa naliwazika huku.....Long live cc...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…