SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
Atajibeba, kwani alikuja jf bila wa kuwa na mtu wa kumjua?
Mie nilipewa mwaliko na naniliyu.
Sio naniliu kweli...mmmh!
Atajibeba, kwani alikuja jf bila wa kuwa na mtu wa kumjua?
Mie nilipewa mwaliko na naniliyu.
Una maana mtu juu ya mtu afu kitu ndani ya kitu?
ndio twajuana.....
Tena twajuana kwa vilemba....loh
hii thread itakuchanganya .. Alhakuna anayemjua mwenzake hapa .. Tunatoa stress na kurelaksisha mind zentu. ila unakaribishwa
Mwambie pia kuna majirani zetu Preta, PakaJimmy na Filipo ,.......sis Vin Diesel ni shemejio kwa nani tena?
Unaweza ukawa unamtongoza dada yako humu
mwajuana ama mwafahamiana? :biggrin1:
cousin mbona nimekumiss sana, ulifichwa wapi?
kujuana kupi kukubwa kudogo?
Mwambie pia kuna majirani zetu Preta, PakaJimmy na Filipo ,.......sis Vin Diesel ni shemejio kwa nani tena?
Nimepokea Ukaka wa Hiyari...Familia imebarikiwa Haswaaaa...cousins wa kutoshaa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
charminglady nimegundua kwamba nilivamia jukwaa bila kukaribishwa!!@Erickb52 Arushaone @Fillipo blackwoman niombeeni msamaha jukwaani!!
Kwa heshima,Hodiiii!!! Naombeni japo udada wa hiari!!!