Chit-Chat Full time Job...iVi Mnajuana ama?

Afu Bishanga siku hizi kafulia snowhite .....tunamtoa kwenye list ya matajiri!

Alikomba akiba yote akalipia jf sahizi anauza ndizi arudi kwenye mstari kama zamani!

af kama maneno yako yana ukweli vile ila toka aende kupima nahisi kama ameadimika humu ndani!ila mi simo na wala sijasema shaurilo shosti!akija hapa hayo mapovu yake!
 
Umeonae? Masikini sijui majibu yake hayakuwa mazuri lol
Jana nilikuwa naupitia ule uzi wake alokuwa akiomba sala zetu......nahisi sala zilidunda mpendwa.......mie pia simo hahahaha!
 
umemsahau Mentor akiwa dady yake eversmiling,catherine mkewe mentor,beibe nasty akiwa aunt na wifi yake catherine,arabela akiwa dada yake eversmiling zubedayo miss u shem cjui ban bado haijaisha
 
Haaahahahahah hahahaha ahahaha atetetete ryt tetete!!!!!1
Siyo ya kucheka haya sweetlady lakini nashindwa kujizuia... Check hapo pembeni The secretary anamtafuta.
 
Last edited by a moderator:
Oooh masikini tushamkosa Bishanga hivi hivi.......wa kumfuata wako wengi Arushaone lol

Sina lawama nilimuimbia sana aache akawa mbishi kama nini............... Asiuesikia la mkuu ndio hivyo tena sweetlady.
Nway ngoja aje hapa atoe taarifa rasmi ili tujue. Si unakumbuka hata majibu alikataa kuyaweka hadharani akisema mjadala klosed?
 
Umeonae??? Tumsubiri kama basi ana huo ubavu wa kurudi jf!
 
duh. kuna familia kabisa humu. nikianza kwa lovely daddy watu8, mummy measkron, sis sweetlady na WiseLady. shem Vin Diesel bila kumsahau muume wangu kipenzi @C6. btw unakaribishwa kuwa kaka wa hiyari katika familia yetu, kwani wazazi wetu walibarikiwa watoto wa kike tu DAVIES S.M
 
Last edited by a moderator:
umemsahau Mentor akiwa dady yake eversmiling,catherine mkewe mentor,beibe nasty akiwa aunt na wifi yake catherine,arabela akiwa dada yake eversmiling zubedayo miss u shem cjui ban bado haijaisha

cousin mbona nimekumiss sana, ulifichwa wapi?
 
Back
Top Bottom