mimisa natumaini mume wangu kipenzi watu8 amekufafanulia sihitaji kuongeza, karibu nyumbani kwetu lunch jumapili baada ya ibada....Ngoja nikutoe tongotongo...naona ushaanza mazereuuu!!
measkron ndio mke wangu, ndio laaziz wangu, mwandani wa moyo wangu na mama wa watoto wangu charminglady, WiseLady, sweetlady na Davie S.M...
Una jingine??
heheh!!...inatumika sayansi na teke linalokujia, we mwenyewe utapenda
nimekuelewa ss watu8 naungoja huo mkaguo
Subiri babu ODM yupo kwenye riheso!!!
Hapo ni ukaguzi wa VIPIMO vya kanyela mumo!!
Ahsante mpendwa... Mimi hiyo ya katikati yenye wekundu nimeipenda
@ladyfurahia hujui kua mie ndio C.E.O wa C.C.B? kwani
Subiri babu ODM yupo kwenye riheso!!!
Mpwa hebu endeleza huo ukaguzi...bi mkubwa huyo hapo juu kwa maneno yake katoa go ahead...
Sasa utakaguliwaje ukiwa with?nimekam with
Sasa utakaguliwaje ukiwa with?