CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Oky ingia humu ndani utatukuta tumetulia kama pishi la mchele langojea kuingizwa katika tui la nazi karibu na anza kuonja hii juice kidogo nimekutumia hapa na chagua uipendayo hapo jerrytz
huku zanzibar pia tupo mabachelor!tuwasiliane jamani japo tupate juice hapo forodhani
 
Hapana sio wewe noahism ni Donn bhana acha kuniyeyusha mie haya kunywa hii juice nimekutumia na chagua uipendayo hapa ila ya parachichi naona inakufaa wewe View attachment 82184
 
Last edited by a moderator:
naam! ngoja niandae silaha zangu muhimu kwa ajili ya shughuli hiyo:
1. Pilipili
2. Ndimu au Mbilimbi
3. Ndizi

itabidi nikualike kwenye ubweche wa kwangu maana naona una kiu na njaa ya kupata ikitu hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…